Magufuli alikua na mabaya yake, Naomba hilo niweke kumbukumbu sawa, ila Magufuli hakuwahi deal na mtu anaeonyesha kuutaka urais mara nyingi alinukuliwa akisema Urais amepewa dhamana ngumu na kazi kubwa sana hii ilionyesha kile kitu hakua na tamaa nacho hata kidogo,..na ilionyesha alikua...
Rais wa Botswana, Duma Boko, amezungumzia hatari zinazoweza kuambatana na madaraka ya kisiasa na jinsi kushika wadhifa kunaweza kumbadilisha kiongozi mtazamo wake kuhusu yeye mwenyewe.
Akihojiwa na eNCA’s CheckPoint Podcast, amesema unapoingia madarakan inaweza kukuchanganya sana na kukufanya...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amesema kuna haja ya kuongeza msukumo kutoka kwa wananchi ili kuwafanya viongozi waliopo madarakani kutambua umuhimu wa kufanya mabadiliko ya Katiba.
Heche amesema chimbuko la baadhi ya matatizo yanayotokea nchini...
Kama kuna jambo moja ambalo Samia linamshinda katika uongozi wake, ni kuwa na uwezo wa kuona mbali katika baadhi ya maamuzi yake na kuletea kujijengea maadui wengi sana wa kisiasa. Kwa mfano, hadi sasa, hawa huwezi tena kuwaita watu wa Samia, pamoja na wale wanaowaunga mkono
Dr. Nchimbi...
Hapo VIP!
Huu ndio ukweli utakaochelewa ila itafika
Yanga ni club ambayo imejipambanua Na kuweka wazi kuwa IPO kisiasa Na ni club yenye mahusiano mazuri Na CCM Na imekuwa ikiisupport kipesa.
Na inatumia sana mgongo huo kuumiza vilabu vingine Na kufanikisha mambo yao.
Sasa itoshe kusema in...
Chini ya sheria na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais aliyeko madarakani hawezi kulazimishwa au kuitwa mahakamani kutoa ushahidi au kushtakiwa kwa sababu anapewa kinga kamili ya kikatiba kulinda hadhi na utendaji wa kiti cha urais.
Kinga ya KikatibaKifungu cha Sheria:
Ibara ya...
"CCM haina mshindani kwenye siasa. Tunashindana na wote ambao wamesajiliwa kisheria. Vyama Vya siasa vinasajukiwa na msajili yoyote aliyesajiliwa sisi wote ni mshindani wetu wa kisiasa. Na sioni Chama cha Mapinduzi CCM kikiondolewa madarakani.
"Unajua Watanzania wanajua wametoka wapi na CCM. Na...
Kwasababu,
mpaka sasa uhakika wa makamu mwenyekiti wa chadema taifa John Heche kuvuliwa nyadhifa zote za uongozi ndani ya chadema taifa na Baraza kuu la chadema taifa September 15 ni 100%.
Pendekezo la azimio la kumbanudua John Heche madarakani linaungwa mkono na asilimia kubwa ya wajumbe wa...
Kwangu mimi binafsi sijali CCM itakaa madarakani muda gani. Nimefika hatua sioni namna CCM itatoka madarakani kwa njia ya amani itakuwa njia mbaya sana wao kutolewa madarakani.
Sasa kama hawawezi kutolewa madarakani basi bado wanacho chumba cha kujifanyia reforms.
Sisi sio nchi ya kwanza...
CCM kama chama cha siasa kilishakufa siku nyingi sana. Sasa hivi ni genge wa wahuni wamejivika mamvuli wa chama cha siasa. Lakini ni typical group la wahuni na wezi.
Sijawahi kuona mwizi ana ambiwa tu acha kuiba na akaacha. CCM ni wezi hawako tayari kuacha wizi kwa mazungumzo. Hiyo tusahau...
Kuna Ugumu ndio Maana anajiamini atakaa hadi 2030.
Ingawa Inawezekana akaondolewa madarakani.
Iwapo amefanya vitendo vinavyovunja Katiba au Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.
Pale anaposhindwa au kuacha kutekeleza kazi na majukumu ya kiti chake.
Kama amepatikana na hatia ya kosa la jinai...
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Karim Khan ambaye pia ni Mtaalamu wa masuala ya Ngono ameondolewa madarakani kwa kujihusisha na uhusiano wa kimapenzi na mtumishi ngazi ya chini wa ICC, na kutaka kumzuia kuwasilisha malalamiko yake.
Khan ambaye ni mwendesha...
Sijatumia neno kustaafu maana ya Mungu mengi,
Rais utoka madarakani ama kwa kumaliza muda wake, Kupinduliwa, au kupatwa na Mauti
Je Una lipi la kumkumbuka ?
Britanicca
Kwa uwekezaji na mali inazomiliki CCM nchi hii hakuna siku hiki chama kitakubali kuondoa madarakani kwa kura katika uchaguzi.
CCM kukubali kuondoka madarakani ina maana ni kupoteza ukwasi wake wote wa mali kuanzia viwanja, majengo mpaka migodi, sio kupoteza dola tu.
CCM Imefanikiwa sana kulinda amani kwa haya makundi ya watu
1. Mafisaidi
2. Wezi
3. Mapuyanga/mapapai/ mchicha mwiba, madafu.
4. Al munafiqina
5. Wachawi/Machawa
Huwezi kuwa katika makundi au kundi ilo alafy ukajifanya kuichukia ccm. Utakuwa na kichaa. Watu atutakuelewa hata kidogo.
Kauli za Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Shamsa Mohammed kuhusu uwezo wake wa kifedha pamoja na nafasi ya viongozi wastaafu ndani ya chama zimeibua mjadala miongoni mwa wanachama wa CCM na wadau wa siasa.
Katika video inayosambaa mitandaoni, Shamsa alizungumza kuhusu uchaguzi ujao wa ndani wa...
Ni maoni yangu kuwa hawa wahuni waliojipachika madarakani inafaa wanapofanya mikutano yao ya hadhara kumalizana hapohapo, je wadau mnaonaje hilo pendekezo? Hapa nataka watu wenye sound mind pekee sio machawa.
Jana nilikuwepo pale Mlimani City kwenye usiku wa Bongo fleva, audience ilikua ni vijana wa zamani (millenials) kwa wingi. Na hao hao ndio waliozomea pale Mwana FA alipoingiza mambo ya serikali.
Ukiingia mtandaoni na mitaani utakuta GenZ hawaikubali kabisa serikali.
Je tunaelekea wapi kama...
Tulionya kuhusu October 29 kwamba serikali kujipachika madarakani kwa kutegemea vyombo vya dola itakosa uhalali wa kisiasa na ungwaji mkono wa wananchi walio wengi sasa kiko wapi...
Tulionya kuhusu October 29 kwamba serikali kujipachika madarakani kwa kutegemea vyombo vya dola itakosa uhalali wa kisiasa na ungwaji mkono wa wananchi walio wengi sasa kiko wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.