wahasibu

  1. cold water

    Hii ni kwa wahasibu na wafanyabiashara

    Nitaongelea zaidi uhasibu, kwa sababu ndo fani Ninayoizungumzia zaidi, katika kazi ya uhasibu ina changamoto mbalimbali, kama kulipa loss etc. Mfano siku umefanya mauzo ya sh milioni moja, lakini baada ya kufunga hesabu zako ukapata laki tisa lazima ulipe laki moja ili hesabu ifunge, ndo hivyo...
  2. micind

    Nahitaji kusoma uhasibu, nina cheti cha Kidato cha Nne cha Sita na degree nyingine isiyohusiana na masuala ya kifedha

    Habari zenu, Nahitaji kusoma hii fani ya uhasibu, nina cheti cha kidato cha nne cha sita na degree nyingine haihusiani kabisa n maswala ya kifedha. Nimejaribu kutafuta taarifa kidogo nimekutana na ACCA, NBAA na wale wenye degree za accountancy kutoka kwenye vyuo vikuu vya hapa nyumbani. Sasa...
  3. BARD AI

    Mtwara: TAKUKURU yaomba Kibali kwa DDP kuwafikisha Mahakamani Wahasibu Watatu wa Mahakama

    Kibali kinachosubiriwa kutoka kwa Mwendesha Mashtaka (DPP), kinahusu Kesi yenye Tuhuma za Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 234 dhidi ya Watumishi wa Kada ya Uhasibu wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara. Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa, Jumbe Makoba, amesema walipata taarifa za kuwepo kwa...
  4. TheForgotten Genious

    SoC03 Kuwe na Wahasibu Maalumu katika Sekta ya Afya

    UTANGULIZI Kwa miaka mingi sasa sekta ya afya, masuala ya usimamizi wa fedha na kihasibu, manunuzi na mengineyo yamekuwa yakisimamiwa wa wahasibu ambao niwa kawaida kwa ajili ya biashara za uzalisha ambao wanatambulika kama “CERTIFIED PUBLIC ACCOUNTANT (CPA)”, kwa namna moja ama nyingine...
  5. Idugunde

    Wahasibu na Kibarua TPA kizimbani kwa kuisababishia TPA hasara ya mil 600

    WAHASIBU NA KIBARUA TPA, KIZIMBANI WAHASIBU wanne wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Kibarua mmoja, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye shtaka moja la kuisababishia Bandari hasara ya zaidi ya Sh. Milioni 600...
  6. mshale21

    Spika Ndugai awashukia wasomi nchini, asema anajua watamshambulia katika mitandao

    Spika wa Bunge Job Ndugai amesema anakerwa na kada nne ambazo zinatukuza usomi wao mbele ya Watanzania wasiopenda kujikweza. Amezitaja kada hizo ni wahasibu, wahandisi, mawakili na madaktari wa kusomea ambao amesema kila mtu anataka kuanza na kutukuza kisomo chake wakati si lazima iwe hivyo...
  7. Analogia Malenga

    Tanzania yachaguliwa kuwa katika Bodi ya Shirikisho la Wahasibu Afrika

    Shirikisho la Wahasibu la Afrika (PAFA) lilifanya Mkutano Mkuu wa Mwaka huko Catonou, Benin Ijumaa tarehe 18 Juni 2021. Kati ya dondoo zilizojadiliwa ilikuwa ni kuteua Bodi mpya ya PAFA. Tanzania ikiwakilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NBAA, CPA. Pius Maneno, iliteuliwa katika Bodi ya PAFA kwa...
  8. Infantry Soldier

    Are you dealing with many units? Unahisi wahasibu wako wanakuibia? Njoo PM nikupe solution kwa bei poa

    Mambo vp wadau wa jamiiforums Are you dealing with many units (Magari, Wanafunzi)? Unahisi wahasibu wako wanakuibia? Njoo PM nikupe solution kwa bei poa sana. Kuna mzee mmoja alikuwa anamiliki kampuni ya clearing kule Tunduma mwaka 2013. Wakati ninakaa sehemu moja wanaita Mlowo kwa aunt yangu...
  9. The lost

    Ni muda muafaka kwa sasa Serikali iajiri Manesi, Wahasibu na wataalamu wa manunuzi kwa shule zote za umma

    Nchi yetu inashuhudia tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa sasa. Basi kutokana na shule nyingi za umma kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi basi ni vyema kuajiri Manesi kwa ajili ya kutoa huduma ya dharura ya kitabibu kwa wanafunzi wanaopata matatizo ya afya, wahasibu kushughulikia suala zima la...
  10. J

    Ina maana Mbowe hana wahasibu na washauri wa kodi katika kampuni zake? Tusiichafue TRA kwa faida binafsi za kisiasa!

    Ninavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi. Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA. Freeman Mbowe kuwa jela...
  11. Mongoiwe

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi Knight Support na Wahasibu wake wakamatwa

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi Knight Support (wa kwanza kulia), Bresing Kachambwa na Wahasibu wa kampuni hiyo wakiwa kwenye gari la Polisi baada ya kukamatwa wakituhumiwa kushindawa kuwasilisha NSSF michango ya makato ya wafanyakazi wake kiasi cha Sh bilioni 8.417.
  12. J

    Serikali haifanyi biashara hivyo inachopokea ni Ziada ( surplus) siyo Gawio ( dividend), wahasibu karibuni!

    Mimi siyo muhasibu lakini nafahamu kwamba gawio ni sehemu ya mapato yatokanayo katika faida ya biashara. Hivyo ili upate gawio ni lazima pawepo na faida iliyopatikana katika mwaka husika. Ziada kwa upande mwingine ni ile bakaa inayobakia baada ya kutoa matumizi kwenye mapato ya taasisi zisizo...
Back
Top Bottom