wote

 1. technically

  Nendeni CCM wote wasaliti wakubwa wa mabadiliko

  Nunuliweni, Peweni vyeo, Pigeni propaganda zote lakini ukweli utabaki pale pale ccm sio chama tena kimepoteza dira wote mliopo ccm na mnaoelekea ccm wote ni wasaliti wa sauti ya wengi. Tutakutana siku ya mwisho hakika mmefanikiwa kusaliti mageuzi lakini nawahakikishia wasindi ndio wale watakao...
 2. M

  News Alert: Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

  Kupitia matangazo ya moja kwa moja yanayoendelea ya channel 10, imemuonesha aliyekuwa Katibu Kkuu wa CHADEMA, Dkt. Mashinji akiingia ofisi hizo akiwa akiwa amevalia nguo za CHADEMA tayari kwa kuijiunga na CCM. Anaeleza baada ya kutafakari kwa kina amebaini CHADEMA haina utayari wa kuleta...
 3. P

  Kwa hili la homa ya Ini, Serikali haiko makini na afya za raia wake. Raia wote wangepatiwa chanjo bure

  Kuna muda unashindwa kuelewa kama viongozi waliopo madarakani wapo kwa maslahi ya wananchi na Taifa hili kwa moyo wa dhati, leo asubuhi vyombo vingi vya habari ikiwemo magazeti wameandika na kuzungumzia usambaaji wa kasi wa hii homa ya Ini. Homa ambayo watawala hawajaichukulia kwa uzito wake...
 4. J

  Mzee Sumaye: Kuelekea uchaguzi mkuu wapinzani wanapaswa kuwa wavumilivu amani ikitoweka wote tutavurugikiwa

  Waziri mkuu mstaafu mzee Sumaye ameviasa vyama vya siasa na hasa vya upinzani kuwa na uvumilivu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu ili kuilinda amani yetu. Sumaye amewaasa viongozi wa vyama vya siasa kukumbuka kuwa nchi iliyovurugwa na amani kupotea huwa haitawaliki. Kwahiyo pasipo na amani sote...
 5. J

  Serukamba: Serikali iige Rwanda ambako raia wote wana Bima ya afya na wale "wanyonge" wanakatiwa bima na Serikali

  Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya Huduma za jamii ameitaka serikali kwenda kujifunza Rwanda ambako raia wote wa nchi hiyo wana Bima za afya. Serukamba amedai wananchi wanyonge wa Rwanda ambao ni kama 4% ya wananchi wote wanalipiwa bima zao na serikali. Serukamba amesema hayo wakati akifunga...
 6. J

  Lema: Wabunge wa CCM kumbukeni kuwa mambo yakiharibika tutazama wote bila kujali itikadi ya mtu

  Mbunge wa Arusha mjini mh Lema amesema wabunge wa CCM wanajisahau sana lakini mambo yakiharibika ni kama " mafuriko" yatawazoa wote bila kujali itikadi. Lema amesema atagombea ubunge mwezi octoba ili kuacha alama kwamba katika mminyo wa demokrasia kuna " wanaume" wachache walisimama hadi...
 7. J

  Makonda: Kufikia tarehe 01/03/2020 wanafunzi wote wa sekondari watakaa madarasani kila mmoja na dawati lake, wazazi hawatachangishwa!

  Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh Makonda amesema jiji la Dar es Salaam lina upungufu wa madarasa 381 baada ya wanafunzi wengi kufaulu. Hivyo mkoa utakamilisha ujenzi wa madarasa hayo kufikia tarehe 28/02/2020 na mnamo tarehe 01/03/2020 kila mwanafunzi atasomea darasani akiwa na kiti na meza...
 8. Mwanahabari Huru

  Waraka wa Tundu Lissu kwa wanamabadiliko na watanzania wote

  (1) Ni muhimu kutambua kwamba kipindi tunachopitia hakijawahi kuwepo katika historia ya mfumo wa vyama vingi vya siasa nchini na hata wakati wa chama kimoja. (2) Hatujawahi kuwa utawala wa kikatili wazi wazi kama huu. Hatujawahi kuwa na utawala usioheshimu Katiba na Sheria za nchi yetu wazi...
 9. K

  Ujumbe maalumu kwa wasaidizi wote wa Rais Magufuli na Viongozi wa CCM

  Mimi ni raia wa kawaida wa nchi hii. Nachukuwa fursa hii kutoa ujumbe wangu kwa wasaidizi wa Mh Rais wetu wote kwenye Serikali na Chama (CCM) Historia ya nchi yetu imepata doa ndani ya miaka 4 ya utawala wa JPM hilo halina ubishi. Ama iwe ni kwa bahati mbaya, makusudi au kwa kutojuwa ni DHAHIRI...
 10. areafiftyone

  Makundi mbalimbali ya Watanzania wanaoichukia serikali ya Rais Magufuli na kwanini wanaichukia...

  Tumeshudia Rais Magufuli akitukanwa kwa sababu zisizo za msingi kabisa,tena wakati mwingine kwa kufanya mambo ya msingi ambayo kama nchi tunayahitaji.Tumeshuaudia pia akibezwa na kudharauliwa.Lakini ni akina nani hasa wanahusika na vitendo hivi ambavyo si vya kiungwana kabisa, vyenye nia ovu ya...
 11. G

  Haki sawa kwa wote

  Wana jamvi ili limekaaje mimi ni kondakta wa daladala hapa town nimekaa na kutafakari ivi kwanini watumishi wa jeshi wanapanda daladala bila kulipa nauli mini natumai kila mtumishi wa umma ni muhimu serikali ifike maala wanunue magari ya taasisi zao.. ndani ya gari hapa nina wanajeshi sita...
 12. ACT Wazalendo

  Zitto Kabwe: Mkopo wa Benki ya Dunia kuboresha elimu, Serikali ililenga kuinufaisha CCM kwa kununua vyuo vilivyo chini ya chama hicho

  Tazama mahojiano ya BBC jinsi Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe anavyopangua propaganda dhaifu za CCM na Serikali ya Rais Magufuli kuhusu kusogezwa mbele kwa maamuzi ya Benki ya Dunia (WB) kuipa mkopo wa elimu Tanzania kutokana na hoja zilizotolewa na Zitto na wanaharakati wa Tanzania...
 13. J

  Prof Kabudi: Rais Magufuli na serikali yake hawawabagui wanafunzi wa kike, wote wanapata haki sawa wapinzani wasipotoshe

  Zitto kaumbuliwa mchana kweupe kwa uzushi wake juu ya wanafunzi wajawazito kubaguliwa. Prof Kabudi ataenda UN kuieleza dunia ukweli kutokana na uzushi huu wa Zitto. Maendeleo hayana vyama!
 14. Analogia Malenga

  Paka mkubwa kuliko wote duniani

  Paka aliyevunja rekodi ya ukubwa anaitwa Hercules, ambaye ni chotara wa mchanganyiko wa simba na chui milia, ambaye sasa anaishi Myrtle Beach Safari, hifadhi ya wanyama pori South Carolina, USA. Ana urefu wa mita 3.33, kimo chake ni mita 1.25 na ana uzito wa 418.2 kg (922 lb). Hercules anakula...
 15. Rebeca 83

  Hongereni wakina Mbowe. Nakaribisha maoni/ ushauri na maswali

  Hello JF! Leo nimeona tukutane kwenye huu ‘mkutano’ tujadili upinzani, nafasi yake kwa sasa na muelekeo ama future direction iweje. Nawasihi tuifanye hii topic kimaswali na majibu ili kustimulate minds zenu. Kwanza, tumpongeze number moja upinzani Mbowe, amepitia mengi kama yeye na kwenye...
 16. Mkaruka

  Election 2020 Kuelekea Uchaguzi: Tafadhali wale wanasiasa wote ambao hampendi, mnateseka sana mkikosolewa au mnahisi kuvunjiwa heshima mnapokosolewa, Msigombee!

  Hello Wana JF, Tanzania ni nchi ya vyama vingi tangu 1992! Tulikubaliana wenyewe kwamba tuendeshe nchi yetu kwa taratibu za kidemokrasia kwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi. Na kwa mantiki hiyo, kila mtawala anaeapa kwa mujibu wa katiba tuliyonayo anapaswa kuheshimu taratibu tulizojiwelea...
 17. FRANCIS DA DON

  Je, nini kifanyike kuboresha mipango miji ya Manzese? Napendekeza walipwe fidia na watimuliwe wote

  Napendekeza nyumba zote za Manzese zifanyiwe tathmini na wamiliki wake walipwe fidia ili kupisha uboreshaji wa mandhari ya jiji, ile takataka inayoitwa Manzese haivumiliki, no way!
 18. R

  Mahakimu na kupata Ujaji (Baadhi, sio wote please)

  Kwa utawala huu, awamu ya tano, lazima kila mmoja ajitahidi kutimiza beuracratic competition! Kila mmoja (sio wote) anajitahidi kumfurahisha fulani hata kama kuvunja sheria/kutotoa hukumu ya haki etc! Ya Meya wa DSM ndio matokeo ya hiyo! Ya Kabendera na hakimu huyo huyo!
 19. erythroccyzed

  Matokeo yule binti aliefiwa na wazazi wote(Anna Zambi)

  Salam wakuu, hivi yule binti aliepoteza wazazi na wadogo zake kwa ajali alipokua akijiandaa na mitihani ya kidato cha nne, nani anajua matokeo yake alifaulu? ==== Sent using Jamii Forums mobile app
Top