Happy New Month,
Guys, nilikua Tarime for few days, sasa siku ya jumapili tukasema tujipongeze before hatujaondoka, nikauliza kiwanja kinachobamba nikaambiwa CMG Hotel, wakapasifia weeh sijui Mondi ndio anapolala blah blah blah, nikasema poa, sikua peke yangu nilikua na jopo la wafanyakazi...