china

 1. SemperFI

  #COVID19 China: Maandamo ya kupinga Sheria za COVID-19 yashika kasi

  Mamia ya waandamanaji wanazidi kukabiliana na Polisi kwa kupinga Sheria kali zilizowekwa na Serikali ili kudhibiti hali ya mambukizi mapya yanayorejea tena nchini humo China bado imeweka Sheria ngumu za kuhakikisha inamaliza kabisa janga la UVIKO-19 ikiwemo vizuizi vya kutoka ndani. Nov 26...
 2. L

  Timu ya angani ya Red Bull "Tai Mwekundu" yafanya maonyesho ya safari za ndege yafanyika Nanchang, China

  Maonyesho ya safari za ndege yafanyika Nanchang, China Wakati hali ya hewa katika Uwanja wa Ndege wa Yaohu huko mjini Nanchang ikiwa nzuri, maonyesho ya safari za ndege yalifanyika kwa siku ya pili huko Nanchang, mkoani Jiangxi. Mkutano wa Sekta ya Usafiri wa Anga ya China na Maonesho ya Ndege...
 3. SemperFI

  China yaikabidhi Zimbabwe 'zawadi' ya jengo la Bunge

  Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amesifu uhusiano "bora" na kati ya nchi yake na Uchina alipotoa kwa mara ya kwanza hotuba kwa Taifa katika jengo jipya la Bunge lenye thamani ya mamilioni ya dola ambao China imelitoa kwa taifa hilo kama Zawadi China ilifadhili na kujenga jengo kubwa la Bunge...
 4. L

  Maisha ya Chai ndani ya Fujian, China

  Na Gianna Amani Inawezekana kuwa hujui hili lakini taarifa za kihistoria zilizopo zinaeleza kuwa chai na kinywaji cha chai asili yake ni nchini China na Myanmar na jambo la kushangaza zaidi mataifa mengine yameijua Chai katika karne ya 16. Chai ni kinywaji maarufu duniani kinachokadiriwa...
 5. JanguKamaJangu

  #COVID19 China: Maambukizi ya UVIKO-19 yarejea kwa kasi

  Takwimu zimeonesha kuwa China imerekodi maambukizi mengi zaidi kuwahi kutokea tangu mlipuko wa virusi hivyo ulivyotokea, majiji ya Beijing na Guangzhou yakiwa vinara kwa walioambukizwa. Hadi kufikia Novemba 23, 2022 walioambukizwa ni 31,527 wakati rekodi ya mwisho kwa idadi kubwa ilikuwa ni...
 6. L

  Kituo cha umeme wa jua chajengwa wilayani Xinfeng mjini Ganzhou mkoani Jiangxi, China

  Kampuni ya nishati mpya ya Ruixin iliyoko wilayani Xinfeng mjini Ganzhou mkoani Jiangxi, China imejenga kituo cha umeme wa jua chenye uwezo wa kuzalisha megawati 30 za umeme. Seti 28 za vifaa vya kuzalisha umeme zinaweza kusafirisha kwa wastani umeme kilowati saa milioni 30 kwa mwaka kwenye...
 7. L

  Kutoka G20 hadi APEC, China yatoa mipango yake juu ya maendeleo na usalama ya dunia

  Kuanzia tarehe 14 hadi 19 Novemba 2022, Rais Xi Jinping wa China alihudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kundi la G20 (G20) kisiwani Bali, Indonesia, na Mkutano wa Viongozi wa Kibiashara wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia na Pasifiki (APEC) mjini Bangkok, Thailand. Katika siku hizi...
 8. L

  Kampuni ya China katika usafirishaji na ushauri wake kwa nchi za Afrika

  Na Gianna Amani Kampuni ya utengenezaji wa magari ya King Long iliyopo katika Mkoa wa Fujian imeeleza namna ilivyopenya katika soko la dunia na kuziambia nchi za Afrika juu ya magari wanayopaswa kuchagua hivi sasa. Kampuni hiyo ambayo ilianzishwa mwaka 1988, mbali na kutengeneza magari tofauti...
 9. N

  China imeondoa ushuru kwa bidhaa za Tanzania

  Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Kwa mara ya kwanza Jamhuri ya watu wa China imepitisha uamuzi wa kuondoa kodi (Zero-Tarrif) kwa asilimia 98 ya bidhaa zinazotoka Tanzania kuanzia Mosi Disemba 2022. Msamaha huu kwa bidhaa za Tanzania ni matokeo ya juhudi za Rais Samia katika kukuza diplomasia...
 10. Rweye

  Eti wababe nao US, Russia na China waongozwe na Wabeijing akina Hayanga

  Hii dunia ina tabu sana kusema kweli, na shida hizi zinakuja zaidi kwa vi nchi maskini ama kwa nchi zisizo na malengo yoyote ya kuikamata Dunia hii, kKwa kifupi wale waliyotayari kuendelea kuwa wanyonge wa wengine. US wakili wa demokrasia alipata uhuru 1776, China ndiyo ulikofanyika mkutano wao...
 11. L

  Ushirikiano kati ya China na Tanzania waendelea kuimarika

  Caroline Nassoro Mwaka 2013, ndani ya mwezi mmoja tangu aingie madarakani, rais Xi Jinping wa China alifanya ziara nchini Tanzania, ambako alitumia ziara hiyo kutambulisha sera ya nchi yake kuelekea bara la Afrika, akisisitiza kuwa pande hizo mbili zitaendelea kutegemeana katika nyanja zote...
 12. Roving Journalist

  Mjadala: Je, ni kweli Mikopo na Misaada ya China kwa nchi za Afrika imejaa mitego ya Kisheria?

  Je, ni kweli Mikopo na Misaada ya China kwa nchi za Afrika imejaa 'Mitego ya kisheria'? China inaonesha kwenda kuwa taifa kubwa kiuchumi na kuziondoa nchi za magharibi katika nguvu walizonazo. Je, waafrika wategemee kitu gani? Ungana nasi katika Mjadala na Wataalamu na Wadau wa Uchumi, kupitia...
 13. MANKA MUSA

  Fursa ya kuuza bidhaa zetu China bila kodi isitupite kabisa

  Kupitia kwa balozi wa Tanzania China kuna taarifa muhimu za Biashara kati ya Tanzania na China. Sehemu ya ujumbe huo imesomeka hivi namnukuu. “Serikali ya China kuijumuisha Tanzania kuwa miongoni mwa nchi 10 zitakazonufaika na uamuzi wake wa kutotoza ushuru kwa 98% ya bidhaa zitakazouzwa...
 14. L

  Maonesho ya Biashara ya China CIIE yaongeza idadi ya wateja wa makampuni ya Afrika

  Maonesho ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa nchini China (CIIE) ya mwaka 2022, yamemalizika hivi karibuni huko Shanghai. Maonesho haya yameonekana kuongeza chachu kwenye uhusiano wa kiuchumi na kuufanya uendelee mbele zaidi, baada ya mikataba iliyosainiwa na makampuni yaliyoshiriki kwenye maonesho...
 15. L

  Fursa zaidi za ushirikiano kati ya China na Tanzania zatangazwa wakati wa ziara ya Rais Samia Suluhu wa Tanzania nchini China

  Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini China, baada ya kufanya mazungumzo na mwenzake wa China Xi Jinping na kufikia makubaliano kadhaa, na kusaini mikataba 15 ya utekelezaji wa hatua za ushirikiano. Ziara hii imetajwa kuwa ni ziara yenye mafanikio makubwa, na...
 16. L

  Thamani ya Tanzania kwa China ni kubwa baada ya kuchaguliwa mara mbili na Rais Xi Jinping

  China na Tanzania ni nchi ambazo zimekuwa na urafiki, undugu na ushirikiano wa kina tangu enzi za waasisi Mwenyekiti Mao Zedong na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Urafiki huu umeendelea kudumishwa na viongozi wengine wote wa pande zote mbili waliofuatia baada ya waasisi hao, na kuendelezwa...
 17. L

  Bidhaa za Afrika zaoneshwa kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China CIIE

  Bidhaa za Afrika kama vile kahawa ya Ethiopia, divai ya Afrika Kusini, maparachichi ya Kenya, n.k. zinatangazwa kwenye Maonyesho ya kimataifa ya Uagizaji bidhaa ya China (CIIE). maparachichi ya Kenya pilipili ya Rwanda kahawa ya Ethiopia asali ya Zambia divai ya Afrika Kusini
 18. Analogia Malenga

  Huu hapa mkataba wa Kenya na Benki ya China ya kupata mkopo kwa ajili ya SGR

  Mkataba huu wa Kenya kuomba $1.6 Bilioni, mkopo wa kibiashara ambao una riba ya 2%. Umesheheni masharti ya kutosha kwa kuwa ni kama mkopo wa kibiashara. Aidha vitu vyote vitakavyonunuliwa kwa ajili ya mradi huo havitatozwa kodi.
 19. Shujaa Mwendazake

  Taiwan yarusha ndegevita baada ya kugundua vikosi vya China vilivyo karibu

  Ulinzi wa Taipei umeanzishwa kujibu shughuli za hivi karibuni za kijeshi za Beijing karibu na kisiwa kinachojitawala. Vikosi vya jeshi la Taiwan vimechukua hatua ya kuonya ndege za China na vyombo vya majini vilivyogunduliwa karibu na kisiwa hicho kinachojitawala, hii ikiwa ni pamoja na ndege...
 20. L

  Ushirikiano wa anga za juu kati ya China na Afrika watarajiwa kukua kwa kasi

  Moduli ya majaribio ya Mengtian ya Kituo cha Anga za Juu cha China Tiangong hivi karibuni ilirushwa angani na kuunganishwa kwa mafanikio na moduli kuu ya Tianhe. Kwa hatua hiyo, ujenzi wa Kituo cha Tiangong kilichoundwa na moduli za Tianhe, Mengtian na Wentian umekamilika, na ukurasa mpya wa...
Top Bottom