mpango

  1. Anna Nkya

    Lema anakubali mpango wa Rais Samia kuleta wawekezaji bandarini

    Jana Lema alikuwa Serena Hoteli kwenye mjadala uliohusu uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu ikiwemo bandari. Alikuwa pale na kina Mzee Ulimwengu, Rostam Aziz, Wasira na watu wengu wengine. Kwenye meza yake, Lema alikaa na Zito Kabwe na watu wengine mashuhuri. Lema alipochangia...
  2. tpaul

    Askofu Kakobe: Tanzania ni mpango wa shetani; Tanganyika inakuja!

    Wakati akihubiri kwenye kanisa lake la FGBF, Mwenge jijini Dar es Salaam, Askofu Zakary Kakobe amesikika akisema kuwa Tanzania ni mpango wa shetani ndio maana kila mara hoja ya kuitaka Tanganyika inaibuka. Hebu msikilize wewe mwenyewe: MAONI YANGU Askofu Kakobe ni miongoni mwa viongozi wa dini...
  3. L

    Japan yapuuza maslahi ya nchi nyingine kwa mpango wake wa kutupa maji machafu ya nyuklia baharini

    Kampuni ya Umeme ya Tokyo ya Japan hivi karibuni imeanza kazi ya majaribio ya mitambo ya kupeleka maji machafu ya nyuklia baharini. Baada ya kumalizika kwa majaribio hayo, Japan inatarajia kuanza rasmi mpango wake wa kutupa maji machafu ya nyukilia kwenye bahari ya Pasifiki. Mwaka 2011...
  4. M

    TANROADS mna mpango gani juu ya barabara ya kimkakati inayotoka Kimara Mwisho kuelekea Tabata (Bonyokwa-Segerea-Kinyerezi)?

    Habari za wakati huu! Moja kwa moja nawaelekea TANROADS kuhusu hii barabara ya kimkakati inayoanzia darajani kimara mwisho kuelekea tabata bonyokwa mpaka tabata segerea. Kwa muda mrefu hii barabara imekuwa ikisahaulika kuwekewa lami ilihali ina umuhimu mkubwa sana wa kupunguza foleni ya...
  5. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yaja na Mpango Mkakati wa Kumlinda Mkulima wa Korosho Nchini

    SERIKALI YAJA NA MPANGO MKAKATI WA KUMLINDA MKULIMA WA KOROSHO NCHINI. Serikali kwa kushirikiana na Sekta binafsi imeendelea na jitihada za kuimarisha bei ya korosho nchini kwa kufufua viwanda vya kubangua korosho pamoja na kuanzisha viwanda vipya sambamba na kuanzisha kongani la viwanda...
  6. Barieda

    Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

    Wakuu kwema, Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali mzima wa familia yangu (watoto). Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye...
  7. L

    Ushirikiano kati ya China na Afrika katika kudhibiti kuenea kwa jangwa ni wa kutekeleza Mpango wa Maendeleo Duniani

    Tarehe 17 Juni ni Siku ya 29 ya Kupambana naKuenea kwa Jangwa na Ukame Duniani. Watuwanasema kwamba China ina karata za turufutatu za kujitangaza, ya kwanza ni reli ya mwendokasi, ya pili ni ya usafiri wa anga za juu, na yatatu ni udhibiti wa majangwa. Ikiwa mojawapoya nchi ambazo zimeathiriwa...
  8. Boss la DP World

    Nimepata Visa ya Canada, mpango wangu ni kuzamia mazima (SIRUDI TENA)

    Wakuu naombeni kujua jimbo sahihi kuanzia maisha, ntashukia Toronto Pearson International Airport, simjui yeyote na hii ni visa ya matembezi tu kwenye documents niliwaambia ntakaa wiki 1 ila nimeapa abadani afe kipa afe beki sirudi bongo labda waniue. Mkisha nijulisha jimbo, mnijulishe na jinsi...
  9. FIKRA NASAHA

    SoC03 Mpango wa miaka 5 ya kurekebisha vijana - Panya Road

    An Extensive 5 Year Reforms Program for the Youth - Panya Road Hata Wafungwa Wanaweza Kufaidika Kwenye Programu Hii. Tuwatumie Panya Road, Kuimarisha Uchumi kwa Kutoa Mafunzo ya Uzalishaji, Ufundi na Kazi za Amali, Mila, Utamaduni na Uzalendo. Haya Matukio ya Panya Road, yananikumbusha tukio...
  10. LA7

    Sikuwa na mpango wa kukaa mbali na mama yangu, ila tabia ya dada yangu imening'oa nyumbani

    Iko hivi baada ya kutoka mjini nikiwa na mke wangu nilienda nyumbani kwa wazazi wangu baba na mama, sasa pale kuna dada yangu ambeye namfuata yeye ameachika hivo yupo tu nyumbani anadanga Ikumbukwe tulikuwa tunapika chakula cha pamoja tunakula kifamilia, tabia za dada yangu ni mchoyo wa...
  11. Roving Journalist

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, akiwasilisha bungeni mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2023/2024

    Abdallah Hamis Ulega (mb) Waziri wa Mifugo na Uvuvi, akiwasilisha bungeni mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Mifugo na uvuvi kwa mwaka 2023/2024
  12. TheForgotten Genious

    Sielewi mpango w serikali katika kuchochea maendeleo ya sayansi, Teknolojia na Uvumbuzi

    Nimesoma, na nimeisikiliza kwa umakini hotuba ya Wizara ya Elimu,Sayansi na teknolojia,sijasikia wala sijaona kipengele kilichozungumzia kinagaubaga maaendeleo ya sayansi na teknolojia nchini,na katika kudadavua mchanganuo wa bajeti waziri ameorodhesha mgawanyo wa bajeti hiyo lakini sijaona...
  13. Roving Journalist

    Dkt. Mwigulu Nchemba awasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali 2023/24

    Maelezo ya Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), Waziri wa Fedha na Mipango, akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2023/24 na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2023/24.
  14. Roving Journalist

    Makamu wa Rais Mpango aweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa barabara ya Mianzini - Olemringaringa - Ngaramtoni Juu na Olemringaringa - Sambasha - Timbolo

    Katika kuboresha miundombinu ya barabara, Serikali kupitia TANROADS imeendelea kutekeleza miradi kabambe na muhimu ya Maendeleo ya barabara Sehemu mbalimbali Nchini, ikiwemo katika Jiji la Arusha, ambapo Makamu wa Rais Dkt Phillip Isdor Mpango ameweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa barabara ya...
  15. B

    Dkt Mpango avutiwa na ubunifu wa programu ya IMBEJU katika kuchochea ujumuishi wa kiuchumi nchini

    Arusha. Tarehe 18 Mei 2022 - Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ameipongeza Benki ya CRDB pamoja na taasisi yake ya CRDB Bank Foundation kwa ubunifu iliokuja nao kupitia programu ya IMBEJU ambapo amesema ni wenye manufaa makubwa kwa Taifa. Dkt. Mpango amesema...
  16. A

    SoC03 Andiko kuhusiana na suala zima la Uzazi wa Mpango

    Uzazi wa mpango ni suala muhimu sana katika maendeleo ya nchi na ustawi wa wananchi. Hata hivyo, kumekuwa na changamoto kubwa katika suala la kufikia malengo ya uzazi wa mpango kutokana na ukosefu wa utawala bora na uwajibikaji. Serikali inahitaji kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha kuwa...
  17. benzemah

    Dodoma: Makamu wa Rais, Mpango amtembelea Festo Dugange Hospitali ya Benjamin Mkapa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amemtembelea na kumjulia hali Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dk Festo Dugange ambaye amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma akipatiwa matibabu baada ya kupata ajali ya...
  18. JanguKamaJangu

    Tetesi: Mason Greenwood hana mpango wa kuichezea Manchester United tena

    Inadaiwa mshambuliaji Mason Greenwood ameitoa kauli hilo kwa marafiki zake Kutokana na kutofurahishwa na kuendelea kuwekwa nje wakati anataka kucheza. Greenwood (21) alikuwa akikabiliwa na mashtaka ya ubakaji ambayo yalifutwa Februari, lakini bado yupo nje ya uwanja baada ya klabu kudai...
  19. BigTall

    Tanga: Idadi ya Wanawake waliopata huduma ya uzazi wa mpango kwa njia ya kisasa imepanda kutoka 40% hadi 59% Muheza

    Elimu inayotolewa kwa makundi ya vijana Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga imechangia kupunguza idadi ya mimba za chini ya umri wa miaka 19 (mimba za utotoni). Kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni zilizotolewa na Mratibu wa Afya ya Mzazi na Mtoto Wilaya ya Muheza, Angelina Sengwaji anaeleza kuwa...
Back
Top Bottom