maji

 1. L

  Siku hizi Maji na rambaramba vimeadimika wakati wa mchana

  Wakuu siku hizi maji ya kunywa na zile icream (rambaramba)za bhakresa zimeadimika sana wakati wa mchana ,ni kama sizioni kabisa kwenye folen barabarani hapa Dar.kulikoni? au ndiyo mambo ya mfungo? na hawa machinga wanaishije? vipi huko mikoani
 2. Prince Mhando

  Natafuta kazi, maji yamenifika shingoni

  ndugu zangu wanajamiiforums, poleni kwa majukumu mazito yanayotukabiri kila kukicha. maisha yamenipiga Mtanzania mwenzenu, hali yangu kiuchumi inazidi kuwa mbaya kila kukicha nipo kwenye ajira sekta binafsi, lakini naishi nikiwa nimeshaumaliza mshahala kabla sijaupokea.... naona kabisa kwenye...
 3. Magonjwa Mtambuka

  Maji yaadimika Nairobi

  Na hii covid-19 hawa nyang'au sijui watanawa wapi wiki hizi mbili zijazo. Wao wamekalia kuilaumu Tanzania tu.
 4. P

  Msaada wa kiufundi: Gari kupoteza maji kila siku

  Gari yangu 1KZ inapoteza nusu lita ya maji kila siku, lakini haichemshi kamwe. Radiator ilishasafishwa hivi majuzi, mfuniko ushabadilshwa mara mbili, lakini bado inapoteza maji. Kwenye reserve tank yako hayaongezeki hayapungui, na hakuna dalili zozote za engine oil kwenye radiator wala reserve...
 5. FRANCIS DA DON

  Fahamu nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ , mithili ya kujaza maji kwenye ndoo iliyotoboka

  YOYO ni kidude cha kuchezea ambacho kinakuwa na kamba kama ya spring ambacho kinashikwa mkononi na kuchezewa ambapo kinashuka chini na kupanda juu chenyewe. Nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ ni kwamba, ni either uweke lockdown hadi wagonjwa wafike 0 kabisa (practically impossible) au usiweke...
 6. FRANCIS DA DON

  Fahamu kwa undani nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ , mchezo wa kujaza maji ndoo ilitoboka

  YOYO ni kidude cha kuchezea ambacho kinakuwa na kamba kama ya spring ambacho kinashikwa mkononi na kuchezewa ambapo kinashuka chini na kupanda juu chenyewe. Nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ ni kwamba, ni either uweke lockdown hadi wagonjwa wafike 0 kabisa (practically impossible) au usiweke...
 7. Great God

  Naibu Waziri Awesso : " Wasoma mita za maji mnaongeza bili"

  Serikali imewaagiza Wakurugenzi wa Mamlaka zote za Maji nchini wahakikishe watumiaji wa maji wanashirikishwa kikamilifu katika usomaji mita ili kutambua gharama halisi wanazopaswa kulipa na kuepuka kubabikiziwa bili kubwa kuliko matumizi Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa maji Jumaa Aweso...
 8. J

  Serikali yazitaka mamlaka za maji kuwarejeshea huduma waliokatiwa ili waweze kukabiliana na Corona

  Naibu waziri wa maji Mh. Awesu amezitaka mamlaka za maji kuwarejeshea Huduma wale waliokatiwa na kisha kuwawekea utaratibu wa kulipa polepole. Mh Awesu amesema wakati huu wa janga hili la Corona kila mtu anapaswa kuwa na maji ya uhakika ili kuweza kukabiliana nalo. Source: Clouds tv! =====...
 9. FRANCIS DA DON

  Dar es Salaam kila baada ya mita tatu kuna ndoo ya maji na kitakasa mikono, hivi mbona Marekani utaratibu huu umewashinda, au ndoo kwao ni ghali sana?

  Hapa Dar es Salaam kila baada ya mita 2 au 3 kuna ndoo ya maji safi yenye koki ya kunawia pamoja na sabuni ya kubonyeza kwa ajili ya kutakasa mikono, na unaweza kuitumia huduma hiyo ya kunawa popote na muda wowote bila hata kumuuliza mwenye eneo husika. Kwakuwa njia kuu hasa na ya uhakika ya...
 10. Victoire

  Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, aagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Meneja udhibiti na ubora

  Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwasimamisha kazi Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dr. Nyambura Moremi na Jacob Lusekelo Meneja uthibiti na ubora ili kupisha uchunguzi. Sasa wameanza kushughulika na wataalam badala ya kudeal na Corona Dr...
 11. Analogia Malenga

  Mjue Jesus Christ Lizard, mjusi aneyeweza kutembea juu ya maji

  Ni mijusi wanaopatikana kwa wingi Marekani ya Kati na Kusini, ni mijusi aina ya Basiliscus basiliscus, wanatoka katika familia ya Corytophanidae Mjusi huyu anaweza kutembea/kukimbia juu ya maji hadi mita 20 kwa kutumia miguu yake ya nyuma huku mwili wake ukibaki jua anapokuwa anawakimbia adui...
 12. pdpr4662

  Jipatie kisima cha maji lita laki tisa

  JIPATIE KISIMA CHA MAJI KWA LAKI TISA #0754397178 (Nchini kote) Water for All for Africa, Gharama za mradi ni laki tisa kuchimba, Kama kitakuwa ndani ya Mita 20, Na Kila mita moja itakayoongezeka utalipia 50,000/= Ukihitaji kufungiwa Water pump ya Umeme ni laki 7, ya mkono laki 5, zote...
 13. Nyendo

  Fahamu namna ya kupika Tambi (vermicilli) za maji

  Tambi (vermicilli)za maji Recipe Tambi vermicilli half packet (250grms) Sukari nusu kikombe. Cardamon powder (iliki)1 teaspoon. Mafuta kiasi. Maji nusu lita Jinsi ya kupika Bandika sufuria, weka mafuta yakipata moto weka tambi ukoroge hadi ziwe kahawia "golden brown" . kisha weka maji,.sukari...
 14. 1987SANAWA

  Namna Duwasa-Dodoma Ilivyopoteza Mwelekeo Baada Ya Serikali Kuhamia Dodoma

  Habari za mchana! Miaka ya 2016 kurudi nyuma Mamlaka ya maji safi Dodoma(DUWASA) ilikuwa inafanya vizuri sana Kwa kuwa matumizi ya maji hayakuwa makubwa sana na hii ilipelekea wawazuie baadhi ya wasambazaji Wa Huduma za maji kama water project iliyokuwa inasambaza maji maeneo ya Miyuji proper...
 15. J

  Charles Kitwanga apinga bajeti ya Wizara ya Maji akituhumu ufisadi mkubwa kuliko wa Lugumi. Pia ametishia kupinga Bajeti Kuu

  Msikilize hoja yake hapo chini. Wabunge wote wanastahili pongezi kwa kutomkatiza Mh.Kitwanga kwa "taarifa" wakati akichangia. Sina uhakika kama mbunge wa upinzani angeweza kutoa maoni kama ya Mh.Kitwanga bila kusumbuliwa na kubezwa na wabunge wa CCM.
 16. B

  Taharuki!kiwanda cha A-Z chadaiwa kutiririsha maji yenye sumu ,watu na mifugo wako hatarini

  Taharuki!kiwanda cha A -Z chadaiwa kutiririsha maji machafu yanayosababisha athari kwa watu na mifugo. Katika hali isiyo ya kawaida baadhi ya wananchi wa kata ya Ormoti jijini Arusha wamekilalamikia kiwanda cha A -Z kwa kutiririsha maji machafu yanayoleta athari kwa wananchi na mifugo...
 17. blue bahari

  Kwanini kuna baadhi ya watu hupenda kumwaga maji yaliyotumika njiani/barabarani?

  Wakuu kwema! Katika tembea yangu mikoa/maeneo mengi ya Tz, nimeshuhudia bahadhi ya maeneo kuna watu hupenda kumwaga maji yaliyotumika njiani au barabarani ktk eneo aidha analofanyia shughuli za kibiashara au nyumbani kwake. Katika uchunguzi wangu nimebaini kwamba wamama/wakina dada ndiyo...
 18. Sky Eclat

  Tunayo maji ya bomba Tanzania? Maelekezo yote ya corona ni kwa ndoo na madumu

  Wananchi wa kawaida wana huduma ya maji safi na salama yanayotoka kwenye mabomba? Misaada miningi ya kupamabana na corona ni madumu ya kunawia mikono. Kama tungekuwa na uhakika wa maji misaada ingekuwa sabuni za kunawia mikono.
 19. J

  Unafanyaje kuimarisha kinga ya mwili kipindi hiki cha mlipuko wa COVID-19?

  Ugonjwa wa Corona Virus (COVID-19) huathiri zaidi wale ambao kinga yao ya mwili iko chini kama wazee, wajawazito na wale wenye hali nyingine za kiafya kama magonjwa ya pumu na mengine ya mfumo wa upumuaji. Tumekuwa tukipeana mbinu za kujikinga na ugonjwa kama kunawa, kutoshika uso, kukaa ndani...
Top Bottom