godbless lema

Godbless Jonathan Lema (born 26 October 1976) is a Tanzanian Chadema politician and Member of Parliament for Arusha City constituency from 2010 to 2015. He was also a candidate for the same constituency in the 2015 general election which was conducted on 25 October 2015. However, the parliamentary election for Arusha Constituency had to be postponed following the death of Estomoh Malya who was the parliamentary candidate for the Alliance for Change and Transparency, a newly established opposition political party in Tanzania.
The by-election was scheduled for 13 December 2015 and Lema was expected to win since Arusha is one of the Chadema strongholds. In the October 2015 general election, his party won 23 out of 24 members of the Arusha City Council. Lema has been vocal and well known following his activists politics against the ruling Chama cha Mapinduzi. He led a number of political rallies and protests against the government and CCM, some of which resulted in serious injuries and deaths after fierce police confrontation. However, his leadership increased Chadema popularity in the Northern City of Arusha and for the first time, its council is led by the opposition.In 2020 he moved to Canada as a refugee, after being arrested without cause in a government crackdown on the opposition Chadema party following the 2020 Tanzanian general election.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Godbless Lema kujivua nafasi zake zote za uongozi CHADEMA

    Haijabainika maramoja, sababu wala lengo la uamuzi huo wa Lema kisiasa. Wala haijawekwa wazi atatangaza uamuzi huo kabla au baada ya hukumu ya mwenyekiti wa chadema taifa. Una maoni gani dhidi ya hatua hii ya lema ndani ya chadema? Kuna mahali anaelekea kufanya siasa na kupata changamoto mpya...
  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Adv. Alute Mughway Lissu (kaka wa Lissu) akanusha tuhuma za rushwa ya Abdul na Samia kulazwa Sea Cliff Hotel chini ya ushenga wa Godbless Lema

    https://youtu.be/mSwjE0vLsH4?si=3rPplPdtVQr3X7j- Anasema: 1. Mara ya mwisho yeye kuwa DSM kwenye kesi ya mdogo wake ni tarehe 10 - 15/8/2026, akarudi Arusha nyumbani kwake na toka wakati huo amekuwa anaumwa na kuhudhuria matibabu ikiwemo kulazwa kwa siku 6 hospitalini... 2. Amemtaka mtu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania MADA: Uchambuzi: Sakata la Godbless Lema na Onyo kwa CHADEMA Kuhusu Mtego wa "Siasa za Kutenganishwa," Wanaharakati Mamluki, na Mateka wa Kifedha

    Wana-JamiiForums, Hivi karibuni kumekuwa na mjadala mzito mtandaoni na kwenye ulingo wa kisiasa nchini unaomhusu Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema. Tuhuma za yeye "kulamba asali" zilizosambazwa mitandaoni baada ya yeye kuchapisha salamu za pole za Mwenyekiti Tundu Lissu kwenda kwa...
  4. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa Godbless Lema ni Kijana Makini sana hakika ni Hazina kwa taifa

    Mwanasiasa Machachari Godbless Lema namuona atafika mbali kisiasa kwa haiba na akili yangi makada wa vyama vya upinzani wana la Kujifunza kwa huyu jamaa hakika ni Mfano wa Kuigwa.
  5. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema Wamekustukia Mangi?

    Vijana wa Lyatonga Mrema Walioanzia Siasa Nccr Mageuzi, TLP wengi sio wa Kuwaamini. Mzee Mrema alikua mbobezi sana kwenye Kuandaa miamvuli, Vipanya ndani ya Vyama vya siasa. Wenye akili wamenielewa. Nccr , TLP, iliwazaa akina Mabere Marando , Godii Lema, Mch Msigwa ( karudi kazini), Josee...
  6. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Maswali matano kwa Godbless Lema

    Nani alimtuma kuandika ujumbe kwamba Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alitoa salamu za rambirambi kwa Rais Samia Suluhu Hassan aliyefiwa na mumewe, Hafid Ameir? Hata kama kweli Lissu alimuuliza Makamu Mwenyekiti wa chama hicho wa Zanzibar, Said Mzee Said, kulikuwa na haja gani ya ku hype hizo...
  7. lord atkin

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Wanaopigana na mimi wataadhibiwa na Mungu muda siyo mwingi

    Anaandika Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Godbless Lema: =============== Kwanza, Kamati Kuu ya CHADEMA, mahali popote, haijawahi kujadili AJENDA ya Maridhiano tangu Oktoba 29 mpaka sasa. Pili, hakuna watu wawili, watatu au kikundi cha watu ambao wamewahi kwenda kwa Makamu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lema: Nimeona sintofahamu mtandaoni baada ya pole kwa Mama Samia. Tunaodai kupigania uhuru wa maoni na demokrasia, hili linapaswa kutufikirisha

    Nimeona matusi na sintofahamu nyingi mtandaoni baada ya kuchapisha ujumbe wa kutoa pole kwa Mama Samia, hasa niliponukuu salamu za pole za Mwenyekiti Lissu kutoka gerezani. Kwa sisi jamii tunaodai kupigania uhuru wa maoni na demokrasia, hili linapaswa kutufikirisha. Kutofautiana kwa hoja...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Bifu la kisiasa baina ya team Lema dhidi ya team Heche, nani hasa ni changamoto baina ya mafahali hawa wawili ndani ya CHADEMA?

    Kwa maoni na mtazamo wako, unadhani vita hivi baridi vya maneno kisiasa, baina ya mafahali hawa wawili wa kitaifa ndani ya chadema, Je, inakwenda kukigawanya na kukisambaratisha chama au inakwenda kukimarisha chama na kua imara na bora zaidi? Kivipi kwa mfano? Nani anaweza kua changamoto zaidi...
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Let love lead! Mama, mtoe Lissu kwenye kuta za gereza

    Leo ndugu Lema, mbunge wa zamani wa Arusha mjini ambaye pia ni mnufaika wa michango ya CHADEMA kama tonetone, join the chain na mingine mingi, katoa salamu za pole kwa Mheshimiwa Rais Mama Samia kwa kufiwa na mumewe pia kafikisha salamu za mwenyekiti wake anayekaribia kuhukumiwa kwa kosa la...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Lema kwa Kitila: Jamii inayoheshimu elimu lakini inaadhibu fikra huru, hujenga wasomi lakini si wenye hekima

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Godbless Lema ameandika; Bwana Kitila Mkumbo!! Taifa halifi kwanza kwa kukosa rasilimali, hufa pale watu wake wanapoanza kuogopa kutumia akili zao. Kuna tofauti kubwa kati ya elimu na akili. Elimu ni zao la akili. Kabla ya kuwepo shule, vitabu na vyuo...
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Arusha chukueni hatua kama alivyosema Lema kuwalinda mabinti zenu na huu uselamavi unaozidi kuota mizizi Arusha

    Kiukweli huyu mnufaika wa michango ya CHADEMA na Mbunge aliyestaafishwa Godbless Lema huwa ana madini sana kwenye mambo ya familia na ndoa. Mimi huwa natofautiana naye kiitikadi ila kwenye ishu za familia na ndoa namkubali sana. Media zimeamua kupromoti upuuzi unaofanywa na vijana wachache...
  13. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Arusha inaharibiwa na uselamavi

    Je haya madai ya Godbless Lema yana ukweli? Imekuwaje Jiji la Arusha ambalo lina sifa zote za kitalii likaendekeza uselamavi na wadudu?
  14. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Godbless Lema amesema "Tunaonekana wasaliti ndani ya CHADEMA"

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na machapisho mbalimbali yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mojawapo ya machapisho hayo yanadai kuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Godbless Lema, amesema kuwa kwa sasa anaonekana...
  15. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Lema: Uchawa unafanya wanaosema ukweli waonekane maadui

    My Take Tutaelewana tuu, tena Bora CCM huko CHADEMA kumejaa watu ambao wanawaona kina Heche na Lisu ni miungu watu ambao Kila wanachoambiwa wao ni ndio Mzee Ni hivi zile zama za zidumi fikra sahihi za Mwalimu ndio ziko huko CHADEMA Kwa sasa, na Bado watakuwa na kutumikishwa sana huko. Wazee...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema atakapobanduliwa chadema unadhani anaweza kujiunga na chama gani cha siasa nchini?

    Maana kuna viashiria vya wazi kabisa na tuhuma za usaliti zinamzonga na kumuandama mwanasiasa huyu wa chadema kutoka kanda ya kaskazini ya chama hicho cha upinzani. Endapo hilo litatokea, na akabanduliwa uongozi na uanachama wa chadema, Kwa haraka haraka na kwa mtazamo wako, unadhani Godbless...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa kudinda kutibua minywele kama wengine, Godbless Lema anaweza kubanduliwa CHADEMA?

    Na kwamba, Godbless Lema ni msaliti kwa mambo ya chama kama vile kutibua minywele? Na eti kwa kutokuvaa t-shirt za free Tundu Lisu ni usaliti wa kiwango cha juu sana kwa chadema? Au kuna jambo jingine zito zaidi linataka kufunikwa na kufichwa na kwamba Lema ndio mfichuzi na amelishupalia sana...
  18. I

    JamiiForums Tanzania GODBLESS LEMA: NDOA HAIJENGWI KWA ELIMU YA DEGREE

    Ujumbe wa aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini @godblessjlema1 kuhusu suala la ndoa baada ya @pastor_roseshaboka kusema ana Degree 4 hivyo hawezi kuishia kupika na kufua. "Tatizo la zama hizi ni kwamba tunawasilisha ndoa kana kwamba ni gereza la ndoto, wakati ukweli ni kwamba ndoa bora ni mahali...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Lema amjibu Rose Shaboka: Kufua boxer au kupika ukiwa na degree nne si udhaifu

    Kufuatia Mjadala uliosambaa Mitandaoni baada ya kauli ya Mtumishi Rose Shaboka kuongelea kuhusu uwa na Elimu 'Degreee' na kuishia kuwa Mke wa kufua boxer na Kupika, basi Godbless Lema amesema yake; ------ Naandika kwa ajili ya binti yangu Brilliant! Tatizo la zama hizi ni kwamba tunawasilisha...
Back
Top Bottom