Hivi ujenzi wa Barabara ya Mbagala Rangi Tatu mpaka Kongowe imekuwa kero kwetu Watumiaji na sasa hivi hakuna kinachoendelea hata mkandarasi hatumuoni 'site' hii kero itaisha lini jamani.
Nakumbuka Machi 19, 2025, Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam na mkandarasi kutoka...
Anonymous
Thread
barabara
bilioni 54
kero
kila siku
kongowe
kusimamia
mradi
rangi
siku
ujenziujenziwabarabara
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuanza kwa utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara na madaraja katika wilaya za Malinyi na Ulanga, mkoani Morogoro, kwa lengo la kuboresha huduma za usafiri na kuchochea ukuaji wa uchumi wa wananchi.
Miradi hiyo inahusisha ujenzi wa barabara ya...
YAH: OMBI LA UCHUNGUZI WA TUHUMA ZA UKUSANYAJI WA FEDHA KINYUME NA UTARATIBU KATIKA KITONGOJI CHA MAKURUNGE, KATA YA KILUVYA – WILAYA YA KISARAWE
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Kwa heshima kubwa, sisi baadhi ya wananchi wa Kitongoji cha Makurunge, Kata ya Kiluvya, Wilaya ya...
Salaam wadau na wapendamaendeleo.
Wahusika wafuatao wawajibike au kushtakiwa kwa kuhujumu ujenzi wa barabara ya kutoka Bunju B kwenda Mabwepande kwa aina ya ujenzi huu.
Hawa ni; mkandarasi, mjenzi, mshauri, mkurugenzi wa manispaa, meya,diwani, mbunge na waziri wa ujenzi.
Barabara haina mtaro...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla amesema serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tayari imeanza ujenzi wa kipande cha barabara ya Luduare- Serengeti (Km88), akisema barabara hiyo itajengwa kwa kiwango cha tabaka gumu ili kuondoa adha kwa watalii wanaotembelea hifadhi ya...
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, ameitaka Serikali kurasimisha sekta isiyo rasmi inayohusisha wamachinga, madereva wa bodaboda na bajaji kwa kuwa makundi hayo yana mchango mkubwa wa kifedha kuliko inavyofikiriwa.
Akichangia bungeni Juni 19, 2026, Mwalunenge alifafanua kuwa...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wa upanuzi wa barabara ya Dodoma Mjini–Chamwino Ikulu yenye urefu wa kilometa 32 kuwa ya njia sita, mradi utakaogharimu takribani shilingi bilioni 241 hadi kukamilika kwake.
Mkataba huo umesainiwa kati ya TANROADS kwa niaba...
Mnamo mwaka jana 2025 mwanzoni, serikali ilitangaza kuboresha barabara ya Kinondoni kuanzia Wakulima Road (usalama) mpaka Mtaa wa Binti Matola (mtaa opposite na mwembe jini, unaoenda mpaka V Ways) kwa kiwango cha lami.
Viongozi pamoja na mkandarasi walikaa kikao na sisi wakazi wa eneo husika...
My Take
Safi sana Wazanzibari Kwa kuamua kujitegemea na kuonesha mfano.
Mzanzibari hajawahi kuwa na sifa ya ubianafsi Wala ufisadi kama ule upande wa watu wenye mdomo sana.
===========================
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Said Bakari amesema Serikali imeanza...
Nakubaliana kabisa na CAG na hapa tatizo sio kukosa pesa Bali poor planning inayofanywa na wakuu wa taasisi za Barabara ambao ni TanRoads na TARURA.
Kwa sababu haiwezekani Kila mwaka wanakuja na miradi mipya wakati miradi ya zamani imekwama.Hili ni tatizo la wanaohusika na mipango.
Binafsi...
Ujenzi wa kipande cha Barabara ya Kilomita 1.6 kinachopita maeneo kadhaa ndani ya Manispaa ya Bukoba ambacho ujenzi wake ulianza Oktoba 9, 2023 ilipaswa kukamilika tangu October 8, 2024 mpaka leo Feb 16 2026 hakijakamilika na kuta zinazidi poromoka.
Kinachosikitisha zaidi ni kuwa kuta za mawe...
Anonymous
Thread
barabara
bukoba
hii
kukamilika
manispaa
oktoba
ujenziujenziwabarabara
MHE. GHATI CHOMETE AHOJI UJENZI WA BARABARA YA MUSOMA-MAKOJO-BUSEKELA KIWANGO CHA LAMI.
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete leo tarehe 28 Januari, 2026 akiwa katika Mwendelezo wa Bunge la 13, Mkutano wa 2, Kikao cha 2 amehoji kuhusu mkakati wa Serikali kuanza ujenzi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha Shilingi 1,035,047,200/= za ujenzi wa dharura wa barabara ya Kasamwa- Gamashi yenye urefu wa kilomita 18, iliyoimarisha shughuli za kiuchumi kupitia Sekta ya Usafiri na...
Wakuu msada kwa anaeye fahamu kinacho endelea juu ya ujenzi wa njia nne jijini mbeya. Mwaka jana nilishuhudia kero ya vumbi na baadaye matope!
Kisa ni enzi huu sasa jana narudi Mbeya mjini hali ni ile ile! mwaka jana walau wajenzi walikuwa kazini maeneo mengi kuanzia Uyole hadi Mwanjelwa na...
Unajua imekua kama kero hivi, yaani miaka inaendaga inarudi ila kila siku Dar es salaam wapo kwenye ujenzi wa barabara. Hivi ni ujenzi wa miundo mbinu gani hii isiyoisha?
Ujue kuna maeneo Dar ukipita unaweza dhani upo mkoani?
Nauliza tu, kwamba Serikali imeshindwa kutenga hata mwaka mmoja au...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imechukua hatua za haraka kuboresha hali ya kihuduma katika baadhi ya maeneo kufuatia taarifa za uwepo wa Maji yenye muonekano wenye vumbi.
Mamlaka imebaini kuwa hali hii imesababishwa na mambo kadhaa ikiwemo:
1. Miundombinu ya...
Serikali inaendelea na Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne (Dual Carriageway) 29km Kuanzia Uyole (Nsalaga) hadi Ifisi yenye urefu wa kilomita 29, Barabara hii itakao rahisisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika mkoa wa Mbeya na maeneo jirani na kuongeza ufanisi katika sekta ya usafirishaji.
kwa...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa miezi miwili kwa kampuni ya Shandong Luqiao Group kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Mwenge – Tegeta kama mkataba unavyosema la sivyo serikali itauvunja na kutafuta mkandarasi mwingine.
Akizungumza wakati wa ziara yake ya ukaguzi wa miundombinu ya barabara...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameagiza kuwekwa ndani kwa wakandarasi wa kampuni kutoka China ambao wameshindwa kutimiza masharti ya mkataba wa ujenzi wa barabara ingawa serikali imetimiwa wajibu wake kwa kulipa sehemu ya malipo.
Ulega amesema juhudi za kutaka vigogo wa kampuni hiyo kuja...
Mgombea ubunge wa Uyole kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Tulia Ackson amesema atahakikisha barabara ya Juhudi mpaka Ilemi inajengwa kiwango cha lami ili kuondoa adha kwa wananchi katika msimu wa mvua.
Dk Tulia amesema hayo leo Ijumaa Oktoba 3, 2025 katika mkutano wa kampeni wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.