kimkakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Smt016

    Mayele anatumika kimkakati

    Kuna namna ambavyo viongozi wa Simba wameamua kuwachezea mashabiki wao. Simba ilivyoenda Misri, stori kubwa ilikuwa ni Mayele kuitembelea Simba mara Mayele kuongea kuelekea mechi dhidi ya Al Ahly kisha boss wao Mo akapost kwenye ukurasa wake kaandika "Niseme au nisiseme" hiyo yote ni namna ya...
  2. R

    Si sahihi kupeleka watu walioshindwa katika mikoa ya kimkakati kama Arusha na Songwe

    Mikoa ya Arusha na Songwe ni malango ya biashara nchini. Inahitaji watu wenye capacity yakuweka watu pamoja kuliko watu waliofeli. Unapokuwa na kiongozi aliyefeli kisiasa ni vigumu kiongozi huyo kufanya vizuri kwenye jukwaa la utumishi wa umma. Chongolo na Makonda wapo kwenye frustration...
  3. Mr Dudumizi

    Hawa ndio wanasiasa ambao tayari wameshapitishwa kimkakati kuwa wabunge katika majimbo yao ya zamani, Kinachosubiriwa ni wao kutangazwa tu

    Habari za asubuhi wanaJF wenzangu? Ndugu zangu... kama ilivyo ada, mimi huwa sipendi kuficha ficha mambo haswa yanayohusiana na maslahi ya taifa letu, hata kama mambo hayo kuna watu yatawagusa na kuwaumiza au kuua mipango yao, hiyo ni shauri yao, kikubwa mimi nafikisha ujumbe ili kila mtu...
  4. chiembe

    Baada ya Hayati Magufuli kuombewa Chato, Mwanza nao wanaandaa maombi, binafsi naona haya yanayofanyika baada ya Chato yako kimkakati

    Hawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti. Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi. Busara ya kawaida tu...
  5. S

    Gazeti Darasa Huru ni gazeti makini au la kimkakati?

    Wakuu ni mara ya nne leo ninakutana na gazeti hili mezani. Nimejaribu kulifuatilia stori na makala zake nimebaki kujiuliza swali kuwa hili ni gazeti makini au la kimkakati? Nimekutana na makala za wachambuzi makini kama vile Absolom Kibanda, Victor Makinda Dismas Lyassa na wengine wengi...
  6. GENTAMYCINE

    Nani kawaleta Kawe hawa Panya wa maajabu na wa kimkakati wanaosemekana kutokea nchini Malawi?

    1. Wana mikia mifupi 2. Wana mlio kama wa Mluzi 3. Wamewala Panya wote wa Kitanzania wenye mikia mirefu 4. Hawategeki kwa Sumu yoyote na hata Ukiwakimbiza hawakuogopi na wanaondoka kwa mwendo wa taratibu huku wakiwa hata hawana wasiwasi nawe 5. Paka wala hawaangaiki kuwakamata 6. Lishe yao...
  7. Nigrastratatract nerve

    Waziri Mkuu Majaliwa unadhoofishwa kimkakati ulikuwa unaheshimika ila kadiri unavyoambatana nao na kucheza mziki wao unapoteza mvuto, stuka

    Kassim Majaliwa ulijijengea heshima yako kwa muda mrefu Sana ukaonekana ni mtu usiyekuwa masihara na hauna utani lakini naona unaanza kuambatana na kundi lisilo na mvuto nakuhakikishia heshima yako hii uliyojitengenezea itapotea mithili ya mchanga wa mwambao watu wakubwa na heshima zenu mnaanza...
  8. GENTAMYCINE

    Mawaziri na Wakuu wa Mikoa mmeshajiandaa kwa 'Keka la Kimkakati' la kuelekea 2025 na Kunivusha salama Oktoba 2025?

    Haya ukisoma tu hii Thread yangu GENTAMYCINE kama Wewe ni mpenda Ushirikiano basi Karoge sana na kama ni muamini Mungu kama Mimi basi nakuombea ufanye mno Dua kwani muda wowote nimeoteshwa na Mizimu yangu Mikali ya Kizanaki ( Mara ) na Kiyao ( Mtwara ) kuwa kuna reshuffle kwa Mawaziri na Wakuu...
  9. Stephano Mgendanyi

    Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Victoria Mwanziva amefanya ziara ya kimkakati ya ukaguzi wa Miradi ya Maji Wilayani Ludewa

    Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva amefanya ziara ya kimkakati ya ukaguzi wa Miradi ya Maji Wilayani Ludewa. Akitembelea miradi mbalimbali DC Victoria amesema kuwa Lengo la ziara hii ni kuhakikisha kuwa Wana-Ludewa wanapata huduma ya Maji bora, safi, salama na yenye kutosheleza...
  10. GENTAMYCINE

    Kiufundi na Kimkakati napendekeza Kikosi cha Simba SC leo kiwe ni Kimojawapo cha hivi Viwili tajwa hapa

    1. Ally Salim 2. Israel Mwenda 3. Mohammed Hussein 4. Chemalone Fondo 5. Henock Inonga 6. Fabrice GENTAMYCINE Ngoma 7. Kibu Denis 8. Sadio Kanoute 9. Jean Baleke 10. Clatous Chama 11. Jose Louis Miquisonne au 1. Ally Salim 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Henock Inonga 5. Chemalone...
  11. chiembe

    Familia ya Hayati Magufuli kusimamisha kijana wao Ubunge wa Chato 2025, Samia kuzunguka naye kimkakati mikoa maalum

    Kuna habari za chini ya kapeti kwamba familia ya JPM inajipanga kusimamisha kijana wao agombee ubunge wa Chato. Karata hii inaungwa mkono na watu wa mfumo, hasa kwa kuangalia malengo ya uchaguzi mkuu 2025 na kuzikamata kura za Kanda ya ziwa. Habari zinaeleza kwamba, kimkakati, Mama Samia...
  12. GENTAMYCINE

    Naenda Lusaka nawaachieni Mpoteze muda kujadili Kuwauzeni Kimkakati miaka 30 na Kumteua Makusudi Msiyompenda na nikirejea nafanya M Reshuffle nyingine

    Kikubwa nafanya Makusudi tu ili niwachanganyeni kwani mnajjfanya mnapenda Mijadala, Kunijadili, Kunidharau na Kutoniamini huku mkinisema kuwa nimeshikiwa Akili na Smile King Maker hivyo sasa mtakula Jeuri yenu.
  13. Naanto Mushi

    Nahitaji kuwekeza kwenye kilimo cha kimkakati (perennial crops)

    Kuna haya mazao hapa Almonds Macadamia Cashew nuts Palm Nimeyafanyia utafiti sana na nimeona yana potential kubwa ya kutengeneza pesa. Embu naombeni mawazo wadau. Kuna amefanikiwa kulima hayo mavitu? Nimetafiti kidogo ni mazao ambayo yanahitaji kuwa na subira mfano Almonds na Macadamia...
  14. ACT Wazalendo

    Webiro Wakazi: Tujiandae Kimkakati Kuelekea AFCON 2027

    TANZANIA TUJIANDAE KIMKAKATI UWENYEJI WA AFCON 2027. Tarehe 27 Septemba 2023 Shirikisho la Mpira Barani Afrika CAF katika kikao chake kilichoketi Nchini Misri ,wamezitangaza nchi za Afrika mashariki Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji wa mashindano ya Mataifa ya Afrka ya Mpira wa Miguu...
  15. U

    Miradi ya Kimkakati SGR, Stiglers Kuchelewa Kwa sababu ya Uhaba wa Dola

    Nchi za Kiafrika ikiwemo Tanzania , zinatazamiwa kupata Anguko kubwa la thamani ya Shilingi yake, hii ni kutokana na Uhaba mkubwa wa Dolla, unaosababishwa na Trade Imbalance na mambo mengine ya kidunia yanayotokea huko. Tujikumbushe muda wa hivi Karibuni paundi ya egypt ilipoteza thamani yake...
  16. Roving Journalist

    Prof. Makubi afanya kikao cha kimkakati na Madaktari Bingwa/bobezi ndani ya MOI

    Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Prof. Abel Makubi, leo Julai 12, 2023 amefanya kikao na madaktari bingwa/Bobezi wa MOI ili kujadili kwa pamoja namna ya kuboresha huduma kwa wagonjwa, suala la huduma kwa wateja, uwajibikaji wenye matokeo , kuwa na mtazamo chanya pamoja na kuongeza na kuifanya Taasisi...
  17. K

    Miradi na mipango mikubwa ya kimkakati ni kaburi la siasa za upizani, hili la bandari ni mojawapo. Rais songa mbele matokeo ni mazuri

    Hata nikiamshwa usingizini na nikaulizwa ni mambo yapi yamtambeba Rais Samia au mgombea yeyote wa CCM kwenye uchaguzi mkuu ujao kabla ya kupepesa jicho nitakuambia yafuatayo: Kwanza, furaha na matarajio ya Wananchi. Hapa kuna masuala ya huduma bora, maslahi bora na maisha bora. Pili...
  18. M

    TANROADS mna mpango gani juu ya barabara ya kimkakati inayotoka Kimara Mwisho kuelekea Tabata (Bonyokwa-Segerea-Kinyerezi)?

    Habari za wakati huu! Moja kwa moja nawaelekea TANROADS kuhusu hii barabara ya kimkakati inayoanzia darajani kimara mwisho kuelekea tabata bonyokwa mpaka tabata segerea. Kwa muda mrefu hii barabara imekuwa ikisahaulika kuwekewa lami ilihali ina umuhimu mkubwa sana wa kupunguza foleni ya...
  19. Stephano Mgendanyi

    Tuachane na Utalii wa Mazoea Twende na Utalii wa Kimkakati

    MHE. ZAYTUN SWAI ASISITIZA KUACHANA NA UTALII WA KIMAZOEA, TWENDE NA UTALII WA KIMKAKATI "Sekta ya Maliasili na Utalii ni ya muhimu sana kwa kutuingizia fedha za kigeni, tumeona zaidi ya asilimia 25 ya fedha za kigeni inatokana na Sekta ya Maliasili na Utalii, pia asilimia 17 ya pato la Taifa...
  20. benzemah

    Picha ya Kimkakati: Rais Samia na Watoto wa Kitanzania nchini Namibia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alirejea nchini jana kutoka nchini Namibia. Akiwa nchini humo baada ya kuhitimisha Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Troika Jijini Windhoek nchini Namibia, alipata...
Back
Top Bottom