• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

canada

 1. Hakimu Mfawidhi

  Kampuni ya uchimbaji dhababu ya Canada, Winshear Gold Corp kuishitaki Serikali ya Tanzania kwa kukiuka mikataba

  Kampuni ya uchimbaji dhahabu kutoka Canada, Winshear Gold Corp imeitaarifu serikali ya Tanzania nia ya kuishitaki kwenye mabaraza ya usuluhishi ya kimataifa baada ya sserikali ya Tanzania kukiuka mikataba ya uwekezaji kati ya Tanzania na Canada. Kinacholalamikiwa hasa ni sheria mpya ya madini...
 2. B

  Wahamiaji: Safari toka Congo kupitia Brazil mpaka Canada kwa miguu

  Ungana nasi kwa kutazama video hii kufuatilia mguu kwa mguu toka wakiwasili jijini Sao Paolo Brazil wakijifanya raia wa Angola ktk utalii Brazil kisha wanaanza safari kwenda Canada. Safari hii ya Wakongomani toka Congo wanaoingia Brazil bila viza kisha wanakutana na wahamiaji wengine toka nchi...
 3. FRANC THE GREAT

  Ndege ya Ukraine ilitunguliwa kwa kombora

  Maafisa kutoka nchini Marekani wamedai kuwa ndege ya abiria ya Ukraine Boeing 737-800 iliyoanguka nchini Iran ilitunguliwa kwa kombora la Iran. Wakati huohuo Pentagon kupitia afisa wa juu wa masuala ya kiintelijensia pamoja na afisa mwingine wa masuala ya kiintelijensia wa Iraq wamenukuliwa...
 4. General Mangi

  Marekani: Iran imehusika kuangusha ndege ya Ukraine

  Idara ya Ujasusi ya Marekani imeripoti kwamba, Iran imehusika na kuanguka kwa ndege ya Ukraine Boeing 737-800 kwa kuangishwa kwa bomu. ===== Iran mistakenly shot down the Ukrainian plane that crashed on Wednesday near Tehran with 176 people on board, US media report. US officials say they...
 5. W

  Kuachiwa Ndege Canada: Lissu, Fatma Karume na Membe muombeni radhi Profesa Kabudi

  Ndugu zangu, Takribani majuma mawili yaliyopita Waziri wa Mambo ya nje Prof.Palamaganda Kabudi aliutaarifu Umma kutokea Dodoma siku ambayo Rais Magufuli alikuwa na kazi ya kikatiba kuwaapisha mabalozi wetu. Prof.Kabudi alimuelezea rais huku akieleza jinsi ambavyo wananchi wa Tanzania...
 6. Bambii

  Nimemaliza masomo Canada ninahofia kurudi nyumbani

  Wana jamvi ninaomba ushauri wenu, Mimi ni mwajiriwa wa serikalini nilipata nafasi ya kuja kusoma Masters kwa ufadhili wa chuo kimoja hapa Canada. Japokuwa nilifanya kazi kwa mwaka mmoja tu kabla sijaja masomoni. Muda wangu wa masomo unakaribia sana kuisha na ninaona nafasi za ajira na maisha...
 7. gango2

  Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

  Rais Magufuli akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi leo amesema Ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa Canada imeachiwa huru na itatangazwa siku itakapopokelewa. Pia Rais Magufuli amesema safari hii ndege hii itapokelewa Mwanza (tarehe itatangazwa). “Ndege yetu...
 8. Mystery

  Watawala wetu, tupeni "updates" ya ndege yetu iliyokamatwa huko Canada

  Tulishuhudia Mara kwa Mara, huko siku za nyuma, watawala wetu wakitupa updates, tena wakati mwingine hata wakitupa taarifa nyingine za ziada kama vile wametuma wanasheria wetu mahiri kwenda igomboa ndege yetu iliyokamatwa huko Afrika Kusini kutokana na deni tunalodaiwa na mkulima wa huko...
 9. GENTAMYCINE

  Je, zile Juhudi za wale 'Maprofesa' waliomshinda Mkulima Afrika Kusini mbona hatuzioni sasa huko nchini Canada?

  Kuna Mmoja wa hao ‘ Maprofesa ‘ ndani ya hilo Jopo lao ( sasa Naibu Waziri wa Wizara ambayo nimeisahau kwa sasa ila nikiikumbuka nitaitaja ) nakumbuka baada tu ya Kufanikiwa ‘ Kuikomboa ‘ Kisheria Mbung’o / Ndege yetu huko kwa Waafrika Wenzetu Afrika Kusini alipohojiwa alikuwa akiongea kwa...
 10. Erythrocyte

  Ubalozi wa Canada nchini Tanzania ujihadhari na maandamano ya kupangwa. Hatujasahau yaliyotokea ubalozi wa South Africa

  Kuna kila dalili ya waandamanaji wa kukodiwa kuvamia ubalozi huu baada ya kulipwa hela ndogo (elfu 5 au elfu 10) kwa kisingizio cha kushinikiza ndege iliyodakwa kwa sababu ya dhuluma iachiwe, kwahiyo ni vema ubalozi ukachukua hatua za kujilinda bila ya kumtegemea yoyote yule, maana pamoja na...
 11. J

  Ni nani huyu anayevujisha habari za Serikali yetu kule Canada?!

  Waziri Prof Kabudi ameuliza swali zuri sana kwamba mbona Dream liner zote mbili zilizotokea Marekani zilifika salama hazikukamatwa, kulikoni Canada? Waswahili walisema " kikulacho ki nguoni mwako". Prof Kabudi aliangalie jambo hili kwa umakini mkubwa maana hawa wapinzani wa kisiasa wa hapa...
 12. mlakimtoto

  Ndege nyingine ya Tanzania yazuiliwa Canada.

  Waziri wa mambo ya nje ameonesha kusikitishwa na zaidi ya hapo kukasirishwa na kitendo kinachofanywa na Canada kila ndege ya Tanzania inapotaka kutoka hapo. Kwa maneno yake...."siyo Canada peke yao ndiyo wanaotengeneza ndege". Natamani tufukue hili kaburi tujaribu kuona kulikoni Canada?
 13. assadsyria3

  Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi Kabudi amesema ndege ya Tanzania Bombardier Q400 iliyokuwa iwasili nchini hivi karibuni imekamatwa nchini Canada na kesi ipo Mahakamani NDEGE NYINGINE YA TANZANIA YAKAMATWA CANADA - Waziri wa Mambo ya Nje na...
 14. bakalemwa milembe

  Vyuo bora vinavyo ongoza kwa scholarship Nchini Canada

  Watanzania wengi wamekua na hamasa ya kutaka kusoma nje ya Nchi ila wanakosa taarifa muhimu za Vyuo bora. Leo nimekuleta Vyuo 10 vinavyoongoza kwa kutoa scholarship Nchini Canada. List ya Vyuo hivyo ipo katika link hii List kamili hii Hapa
 15. moto ya mbongo

  New Barrick eyes several options to end Tanzania tax dispute: CEO

  The new Barrick Gold Corp is considering options for its stake in Acacia Mining PLC including possible sale, as Barrick works to end a nearly two-year-long tax dispute in Tanzania that has effectively shuttered operations there, Chief Executive Officer Mark Bristow said on Wednesday. The new...
Top