Taasisi ya kimataifa ya utafiti wa masuala ya amani na usalama SIPRI, imesema matumizi ya kijeshi kote duniani yameongezeka kwa asilimia 7, ikiwa ni sawa na dola trilioni 2.43 kwa mwaka 2023
Taasisi hiyo ya SIPRI iliyoko mjini Stockholm, Sweden, imesema ongezeko hilo la asilimia 7 ni kubwa...
Serikali ya China imetangaza kuwa uchumi wa China kwa mwaka 2023 ulikuwa na ongezeko la asilimia 5.2. Habari ambayo wachambuzi wa maswala ya kiuchumi duniani wanaiona kuwa ni habari inayoleta ahueni kwa dunia, hasa ikizingatiwa kuwa hali ya uchumi wa dunia kwa ujumla bado haijatengemaa.
Kwenye...
WAZIRI MHAGAMA: MWAKA 2023 WATUHUMIWA 10,522 WA DAWA ZA KULEVYA WAMEKAMATWA
Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe.Jenista Mhagama amesema kwa mwaka 2023, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kuwakamatat watuhumiwa 10,522 ambao kati yao...
Na Mwandishi wetu
Dodoma
Serikali kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imesema imepata mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya ambapo kuanzia mwezi Januari hadi Disemba 2023 kilogramu zaidi ya milioni moja za aina mbalimbali za dawa za kulevya...
Katika kujipanga kutoa huduma bora zaidi, baadhi ya Watendaji wa JamiiForums walikutana Jijini Arusha kwa lengo la kutathmini shughuli zilizofanywa na Taasisi mwaka 2023 pamoja na kupanga Mikakati ya kuboresha zaidi mwaka 2024. Hii ilijumuisha kujengewa uwezo katika maeneo muhimu ya kiutendaji
Zaidi ya vilabu 1000 vya soka duniani vilitumia dola bilioni 9.63 katika uhamisho wa mwaka jana na kusajili ongezeko la 48.1% la takwimu kutoka 2022.
Wachezaji wa kitaalamu walichangia 31% ya takwimu za uhamisho lakini walitawala matumizi ya klabu.
Wachezaji kumi bora walitumia 10% ya pesa...
Ndugu watanzania, tuamke kumekucha! Tuamke tupiganie haki yetu ya msingi ya kupewa elimu bora na sio bora elimu. Leo wakati katibu mtendaji wa NECTA anawasilisha matokeo nimemsikiliza kwa makini sana. Amedai eti ufaulu wa mwaka 2023 umepanda kwa 0.87% ukilinganisha na ufaulu wa mwaka 2022...
Ripoti ya Ribo ya Mwisho wa Mwaka 2023 inayoangazia Huduma za Mawasiliano Nchini, imeonesha katika kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2023 kulikuwa na Majaribio ya Udanganyifu 21,788 katika Mikoa 29 huku Mkoa wa #Rukwa ukiongoza kwa majaribio 7,666.
Aidha, Mtandao wa #Tigo umeongoza kwa kurekodi...
Kulingana na data kutoka Shirika ya Hali ya Hewa ya Copernicus, wastani wa joto la Dunia mwaka jana 2023 lilikuwa nyuzi 1.48 Celsius joto zaidi kuliko miaka iliyotangulia.
Wataalam watahadharisha mataifa kufanya mabadiliko ya haraka kutoka kwenye nishati chafu la sivyo joto litakuwa kali zaidi...
Warabu wa ajabu sana kama nyumbu wa Serengezi vile1! ninyi kimya tu mnabaki na 'alahwakbaru' jamani hata kukemea au kuandamana ninyi mnakula starehe tu wenzenu mizoga parestina nzima wenzenu wahanga wa vita sasa wanakufa njaa ninyi poa tu. shame on you.
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu leo January 10,2024 ametoa taarifa ya hali ya utoaji huduma za afya nchini kwa mwaka 2023 katika mkutano wake na Waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam ambapo amesema katika mwaka 2023 jumla ya Watu 8,145,576 walipima Virusi vya UKIMWI (VVU) na Watu...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hadi kufikia Desemba 2023, jumla ya Wagonjwa 1,622,979 walilazwa katika Hospitali na Vituo vya Afya nchini Tanzania kulinganisha na Wagonjwa 1,630,722 waliolazwa mwaka 2022
Pia, Mahudhurio ya Wagonjwa wa Nje (Wasiolazwa) yalikuwa Milioni 41.3 kulinganisha na...
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Upimaji kwa darasa la Nne na Kidato cha Pili kwa mwaka 2023 mchana wa leo.
Kwa link ya matokeo ingia kwenye website yao www.necta.go.tz
Idadi ya waandishi wa habari walio fariki mwaka jana, imefanya 2023 kuwa mwaka mbaya zaidi katika muongo mmoja kwa wafanyikazi wa vyombo vya habari. Shirika lisilo la kiserikali Press Emblem Campaign (PEC) yenye makao yake makuu mjini Geneva ilitangaza hapo jana (Jumatano).
Kulingana na PEC...
Nani yupo nyuma ya huu mchakato mchafu wa kumchafua waziri wa Afya Ummy Mwalimu?
Kwa maoni yangu Waziri Ummy japo sio mhalisia katika sekta ya afya ...yaani sio mtaalamu wa afya lakini amejitahidi sana kuielewa sekta hii.ameitendea haki kwa kadri ya kipaji alichonacho.
Japo naona na napata...
Kwa mwaka 2024 kuna mambo ambayo serikali imejiwekea kuyafanyia kazi kwa lengo la kuboresha huduma lakini pia kukuza uchumi.
Kujenga miundombinu ya elimu na afya ni lengo la kila mwananchi. Lakini pia kufungua njia ya uchumi kwa kuanza kutoa huduma kwa SGR 2024 sambamba na kudhibiti kukati kwa...
Habari wakuu, herini wote kwa sikukuu za mwisho wa mwaka.
Tukiwa kwenye siku ya mwisho ya mwaka 2023 ni jambo jema sana kumshukuru Mungu na kumuomba atuvushe salama wote tuuone na kuuanza mwaka mpya wa 2024.
Kama ilivyo kawaida kwa miaka mingine iliyopita, baadhi yetu huweka maazimio ya...
Habari wakuu, herini wote kwa sikukuu za mwisho wa mwaka.
Tukiwa kwenye siku ya mwisho ya mwaka 2023 ni jambo jema sana kumshukuru Mungu na kumuomba atuvushe salama wote tuuone na kuuanza mwaka mpya wa 2024.
Kama ilivyo kawaida kwa miaka mingine iliyopita, baadhi yetu huweka maazimio ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.