kiuchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Maombi yana nafasi yake, lakini usitumie maombi kama mbadala wa mipango, kazi, maarifa na hatua za kiuchumi

    Chochote unachofanya katika maisha haya, usisahau jambo moja: umaskini hauondoki kwa moto. Unaweza kutumia siku saba usiku kucha ukipiga kelele ukitazama dari, ukitokwa na jasho chini ya madhabahu, ukifunga na kujaribu “kumfunga” shetani wa kufikirika lakini mwenye nyumba bado atafika tarehe...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini Tanzania bado haijapata tena mpinzani mwenye nguvu ya kiuchumi na ushawishi wa kisiasa kama hayati Edward Ngowai Lowasa?

    Je, ni kwasababu wapinzani waliopo sasa wameshindwa kabisa kujikomboa wao wenyewe kiuchumi na hivyo automatically wamekosa ushawishi na kuaminika kisiasa kwa wananchi? Nini kifanyike walau wawepo wanasiasa wa upinzani Tanzania, ambao hata kama ni wanyonge kiuchumi, basi walau wawe na agenda au...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Oman na Tanzania waangazia fursa zaidi za ushirikiano wa kiuchumi

    28 September 2026 Muscat, Oman Oman na Tanzania waangazia fursa zaidi za ushirikiano wa kiuchumi Muscat: Mkutano wa kwanza wa mashauriano ya pande mbili kati ya Usultani wa Oman na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulifanyika Jumatatu huko Muscat 28 September 2026. Upande wa Oman...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania DKT. MWIGULU: TANZANIA NA QATAR BADO TUNA FURSA NYINGI ZA KIUCHUMI

    Apigia chapuo utekelezaji wa DIRA 2050 WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema bado kuna fursa nyingi za ushirikiano wa kiuchumi baina ya Taifa la Qatar na Tanzania ambazo zikitumiwa vizuri zitawanufaisha raia wa nchi zote mbili. “Bado tuna fursa nyingi ambazo tunaweza tukanufaika nazo kama...
  5. Mzee Saliboko

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kunufaika na AI kiuchumi

    habari zenyu bhana.......dhumuni la uzi huu ni kuomba wadau wote tupeane nondo za jinsi ya kutumia ai kiuchumi na ai gani zinafaa ambazo zinaweza kutumika kama side hustle/kipato cha ziada au ajira binafsi. karibuni
  6. Red black

    JamiiForums Tanzania Hiyo akiba uliyo nayo inaweza kukulisha kwa muda gani ikitokea umepata anguko la kiuchumi?

    Ikitokea umepata anguko la kiuchumi hio akiba uliyo nayo sasa itakulisha muda gani? kuna raia hawatoboi week Moja.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kufika kipindi ambacho uchumi ulishuka ghafla, ulikubali vipi kubadilisha maisha uliyozoea na presha ya watu kukushangaa au kukucheka ?

    Kupoteza kipato ni jambo moja. Kukubali kubadili maisha uliyoyazoea ni jambo lingine. Aibu ya kushusha maisha ni ya muda. Lakini kulazimisha kuonekana bado una maisha yale yale kunaweza kukugharimu maisha yako yote. Niliwahi kuwa na maisha mazuri kiasi, angalau kwa kijana wa mjini mwenye...
  8. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Suala hili kiuchumi linamaanisha nini?

    Wakenya wanaoishi na kufanya kazi nchini Tanzania walituma nyumbani Ksh bilioni 1.52 (Dola za Marekani milioni 11.72) mwezi Agosti, kiasi ambacho kimezidi fedha zilizotumwa kutoka Saudi Arabia, ambazo zilifikia Ksh bilioni 1.50 (Dola milioni 11.61). Hii ni mara ya kwanza kwa Tanzania kuzidi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI

    Wakuu habari za muda huu. Naitwa Sarah Hizza Umri: 24 Elimu: Shahada ya maendeleo ya jamii nilihitimu mwaka 2024. Mahali nilipo kwa sasa: Tanga Natafuta kazi yeyote ya halali Mawasiliano: +255611084361
  10. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Azania Bank tawi la Moshi na mkakati wa kuwapa vijana elimu ya fedha na kuwawezesha kiuchumi

    Benki ya Azania tawi la Moshi mkoani Kilimanjaro imeanzisha program ya kutoa elimu ya fedha kwa makundi mbali mbali ikiwamo vijana lengo ni kuwawezesha kuwa na uelewa mpana wa namna ya kutunza fedha Mkakati huo utayasaidia makundi hayo kugeuza elimu hiyo kuwa fursa za kibiashara zinazotolewa...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Utalii wa Mikutano Arusha: Madereva wa taksi wafunguka wanavyonufaika kiuchumi

    Mikakati ya makusudi ya kukuza utalii wa mikutano (MICE) ndani ya Jiji la Arusha imeanza kuzaa matunda, huku makundi mbalimbali ya kijamii yakishuhudia manufaa makubwa ya kiuchumi kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja hadi jamii kwa ujumla. Miongoni mwa wanufaika wakuu ni madereva wa taksi ambao...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kushindana na kushinda kiuchumi bila katiba mpya. Kenya mfano

    Hatuwezi kushindana na kushinda kiuchumi bila katiba mpya. Kenya mfano bila katiba leo tungekuwa tumewazidi kiuchumi. Kwasasa umasikini mkubwa wetu umetokana na katiba mbovu
  13. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Wasusi waipa tano Darling Hair kwa kuwakwamua kiuchumi

    Wasusi mbalimbali nchini wameipongeza Kampuni ya Darling Hair kwa kuwawezesha kiuchumi na kuwakwamua kutoka kwenye umaskini kupitia programu yake maalumu inayofahamika kama Loyalty. Pongezi hizo zilitolewa katika hafla maalumu iliyofanyika Sinza, Jijini Dar es Salaam na kuwakusanya mamia ya...
  14. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi familia za kitajiri wanaojiweza kiuchumi huwa wanayapitia haya?

    Naomba kuuliza jamani Hivi hizi familia za kitajiri amawanaojiweza kiuchumi hua wanapitia shida MFANO za magonjwa ? Au shida tu zozote za kiafya, mwanaume hadindishi, MWANAMKE hapati watoto, mapepo, mara majini, ila unakuta Pesa ipo ya kutosha kabisa tena nyingi, ila magonjwa kama yote...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kete za Mapenzi: Hakikisha Mkeo au mwanamke wako anawekeza kiuchumi kwenye mahusiano yenu. Hii ni mbinu ya uhakika.

    KETE ZA MAPENZI: HAKIKISHA MKEO AU MWANAMKE WAKO ANAWEKEZA KIUCHUMI KWENYE MAHUSIANO YENU. HII NI MBINU YA UHAKIKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unajua Pesa inauma kuliko mapenzi? Hili wengi hawalijui. Hasa wale watoto wadogo au wenye upeo mdogo. Sehemu yoyote ambayo hukuweka pesa...
  16. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Comoro kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi

    Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema kuwa Tanzania ina dhamira ya kuimarisha zaidi ushirikiano wa kiuchumi na maendeleo na Serikali ya Jamhuri ya Comoro, ili kuleta manufaa ya pamoja kwa wananchi wa nchi hizo mbili. Mhe. Balozi Omar...
  17. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Lissu angekuwa anaishi Marekani kwa mke na watoto wake Leo hii watumishi wa umma wangekuwa mbali sana kiuchumi.

    Watanzania acheni kushabikia siasa za hovyo...kauli za lissu ndo zimeathiri Kila kitu kwa watumishi na wananchi wa kawaida. Naweza kusema lissu amekuja kuharibu ustawi wetu alaaniwe na Kila mtanzania mzalendo. Leo hii tunaona aibu hata kuomba serikali iongeze mishahara kwasababu tunajua...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuandamwa na mikosi ya kisiasa na kiuchumi isiyokoma ni ishara ya wazi kua huenda kuna laana ndani ya chama hicho cha siasa nchini

    Kwa mfano we cheki, mwenyekiti wake taifa kukutwa ana kesi ya kujibu tofauti na walivyotarajia kwa kujiiga kifua sana tu kwamba hakuna lolote n.k, na kwahivyo wameumbuka hadharani na hiyo maana yake mwenyekiti huyo ataendelea kusota korokoroni. Huenda mkosi huu unatokana na utamaduni wa kiburi...
  19. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji Bandari Mtwara ulivyoibua fursa za kiuchumi

    Wananchi na mawakala wa meli wamezungumzia fursa mbalimbali zinazotokana na uwekezaji mkubwa wa miundombinu uliofanywa na Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) katika Bandari ya Mtwara. Mizigo inayopakiwa na au kushushwa kwenda maeneo mbalimbali ya ndani na nje ya...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kususia uchaguzi ni kujipa stress na kujidhuru mwenyewe hasa kisaikolojia na kujidhulumu kisiasa.

    Hii ni miongoni mwa blunders za hovyo mno za kisiasa, miongoni mwa wanasiasa waliokosa agenda za kuwashawishi na kuvutia kundi kubwa la wapiga kura kuwa upande wao. Mara nyingi wanasiasa hao husense kushindwa uchaguzi mapema sana. Na daima, hatua hii ya kususia uchaguzi, huwa ni sawa na ile ya...
Back
Top Bottom