Viambaza ni sehemu ya urembo na finishing kwenye ujenzi wa nyumba.. Nyumba isiyo na kiambaza ni sawa na mchuzi chukuchuku... Ama mboga isiyo na viungo
Zufuatazo ni baadhi ya viambaza vyenye usanifu wa ubunifu wa kuvutia ... Hasa ukiwa nazo😀 kwa sehemu kubwq unaweza kuona balcony ni za kawaida...
Tunaendelea na topic za ubunifu.. Japo ndio zinafikia tamati.. Leo ni ubunifu wa kutumia mawe laini madogo
Mawe haya huhitaji kuyaponda ili kupata maumbo tarajiwa..yenyewe tayari yana maumbo yake
Nje ya kutumika kama miti kwenye ujenzi na chanzo cha pombe ya ulanzi.. Mianzi pia ina matumizi mengine kwenye kupendezesha nyumba hasa kwa wapendao vitu asilia
Special dedication kwa Malchiah na wengine wote wapendao ubunifu na asili
Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan
Ikiwa zimebaki siku 29 kuelekea Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika, Tanzania inajipanga kuandika historia kwa kuwa mwenyeji wa tukio hili kubwa. Mkutano huu, unaotarajiwa...
ERB ONGEZENI UBUNIFU KUENDANA NA SAYANSI NA TEKNOLOJIA - WAZIRI ULEGA.
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameitaka Bodi ya Usajili wa Wahandisi nchini (ERB), kuongeza ubunifu ili kuendana na kasi mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia.
Waziri Ulega amesema hayo wakati akifungua kikao cha Baraza la...
Kwa nini nauliza hayo?
1. Inasemekana, miaka ya nyuma, kabla ya Magufuli na hatimaye Samia kuingia madarakani, Wakenya walikuwa wanaingia Tanzania na kununua viazi mviringo na kuvipeleka Kenya. Vikifika huko, havipelekwi kwa Wakenya, bali husafishwa vizuri na kisha kuwekwa kwenye vifungashio...
Ni muhimu sana kwa mke na mme kuwa wabunifu kwenye sex kila siku kwa kuzingatia yafuatayo:
1.maandalizi ya sex yaanze mara tu mnapoaganabkwenda makazini
2.amsha amsha ya sex iwe inaendelea baina yenu mnapokuwa makazini kwenu
3.kutafutiana vizawadi vya kuamsha hamasa ya sex baina yenu...
Update: Nimeleta habari za kisomi nashangaa kuna watu wameanza kuingiza mihemko ya kidini, Tatizo nini ?
Katika kampuni za teknolojia, idara ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design) inahusika na kubuni na kuendeleza bidhaa, huduma, au teknolojia mpya kwa kutumia maarifa ya kisayansi...
Siku za karibuni kwa wafuatiliaji wa mambo ya ndani ya Nchi na Siasa za Bongo kumekuwa na kasumba ambayo haijazoeleka ya mawaziri kufungua au kukagua miradi isiyo ya sekta anayoisimamia. Ivi karibuni
1. Deo Ndejembi, Waziri wa Ardhi alionekana Msalala Kahama kwenye miradi ya shule iliyopo...
Wakulima wa miwa wa bonde la Kilombero wanatarajiwa kunufaika na ubunifu sambamba na teknolojia za kisasa za kilimo zitakazooneshwa kupitia maonesho ya siku ya wakulima wa miwa Kilombero, yatakayofanyika kuanzia tarehe 10 hadi 12 Oktoba 2024.
Maonesho haya ya siku tatu yanaungwa mkono na...
Salaam wakuu!
Bango hili lipo sehemu nimekutana nalo ni njia panda (Samahani nimezoom simu yangu haijatoa clear).
Naomba kuuliza swali, Je mmiliki wa hii sehemu pendwa kwa ukanda wa vingunguti, gongo la mboto na viunga vyake, na sehemu nyingine ambapo mimi sijafika.
1. Amefanya ubunifu ili...
Hii inamaanisha kuwa kuna mtu ana kitu yani akikifanyia kazi anaweza kufika mbali lakini amekaa nacho ndani anawaza.
Utawaza hadi lini na umekaa ni fursa ndani? Unamsubiri nani aje akutoe huko uliko akuonyeshe njia?
Unachelewa changamka! Unataka kuwa mfanyabiashara mkubwa leoleo?
Ni kitu...
Nike ilipiga bao sana mwaka 2002 kwenye kombe la dunia, jezi hizi zilivaliwa na timu nyingi kama
Brazil, Italia, South Korea, Arsenal n.k. zilikuwa nzuri sana na zilitrend kwa kipindi hicho.
Toka mwaka huo sijaona tena jezi maarufu mpaka mwaka huu.
2024 ukiangalia michuano ya Euro na Copa...
Katika ulimwengu unaobadilika kwa kasi, Tanzania ina nafasi ya kipekee ya kuibuka kama kiongozi wa maendeleo endelevu barani Afrika. Ili kufikia azma hii, ni muhimu kuwekeza katika ubunifu na maendeleo kwa miaka kumi na kumi na tano ijayo. Hii itahusisha kuboresha sekta mbalimbali kwa kutumia...
Tanzania inakabiliwa na fursa na changamoto nyingi katika juhudi za kujenga taifa imara na lenye maendeleo endelevu. Katika miaka kumi hadi kumi na tano ijayo, mkazo mkubwa unatakiwa kuwekwa kwenye ubunifu na maendeleo. Hii itahusisha kuimarisha sekta mbalimbali kama vile elimu, afya...
1.Barabara hazifanyiwi usafi.Wanawatumia wafagiaji wa mafagio ya mkono badala ya mashine.
2.Ile barabara ya ufukwe ilitakiwa ipandwe mfano palm trees
3.Ufukwe wa posta ya zamani ile ni pesa.Wangebuni mfano kile kituo cha mwendokasi kiwe pale kwenye garden na ile garden itazamane na bahari...
Teknolojia ina jukumu muhimu katika kuendesha maendeleo ya kisasa na kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Kuelekea miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inapaswa kulenga katika kukuza matumizi ya teknolojia na kukuza ubunifu kwa lengo la kujenga uchumi wa kidijitali na jamii inayotumia teknolojia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.