imepanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Kila kitu imepanda Kenya hadi stima except salary!”

    Kenyans wameamka tena na shock ya mpya kwa bill ya stima after EPRA kuongeza fuel charges, forex adjustment na WRMA levy. Hii inamaanisha every unit ya power imeongezeka cost before hata taxes zingine ziingie. Mtu wa bedsitter anayekuwa anabuy token ya KSh 500 sasa anaona units zikishuka faster...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Leo Imepanda, Kesho Imeshuka, Kesho Kutwa Imepanda Tena” — Serikali Inachezea Akili ya Mwanaichi Kwa Bei ya Mafuta?

    Mwanaichi wa kawaida Kenya amebaki confused na hii mchezo ya fuel prices. Last month tu serikali ilitangaza bei ya mafuta imepanda vibaya, wananchi wakalalamika, pressure ikaongezeka online na kwa ground, then ghafla prices zikashushwa kidogo kama “relief.” Sasa barely a month later, boom...
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gesi ya kupikia imepanda bei au napigwa?

    Wakuu. Mtungi mdogo nilikua nanunua 24,000/= Tsh sahivi napiga simu niletewe naambiwa 28,000/= Jamaa anasema imepanda. Oyaaah! Kama kweli nitapikia kuni aisee.
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Umuzi wa Heche kuanza kuwarudisha CHADEMA wasaliti kama Halima Mdee unaenda kuiondolea imani iliyokuwa imepanda kwa kasi CHADEMA

    Heche ameanza kuvuruga mambo maana Chadema ilishaanzaa kujenga imani kubwa sana kama chama ambacho hakinunuliki kama ilivyokuwa Wakati wa Mbowe. Lakini kitendo cha kuanza kuwarudisha wasaliti kama Halima Mdee na wenzake ambao baadhi yao walitimukia Chauma ni kitendo cha kuanza kuharibu imani...
  5. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hapa Morogoro kuna baadhi ya maeneo bei ya nauli ya bajaji imepanda mara 2 na maeneo mengine kwa nusu bei

    Tanzania hii hasa Tanganyika hali ni tete kwa sasa nipo Morogoro, nashuhudia mashindan ya kupandisha nauli kwa vyombo vya usafirishaji huku wakida EWURA imepandisha bei ya mafuta, wapo waliopandisha hadi mara mbili ya bei ya zamani. Wapo ambao walikuwa wanabeba abiria kwa 500 leo ni 1000 kwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta imepanda kwa 65% Nigeria

    Nigeria inakabiliwa na ongezeko kubwa la bei ya mafuta, licha ya kuanza kazi kwa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote, ambacho ni kikubwa zaidi barani Afrika. Bei zimepanda kwa takribani asilimia 65%, huku sehemu kubwa ya mafuta yake yenyewe imefungwa katika makubaliano ya kulipa madeni kwa...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bei ya DNA Tanzania yaongezeka kwa asilimia 112, siyo Laki tena ni 212,000

    Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko amesema Gharama za kufanya vipimo vya Vinasaba vya Binadamu “Human DNA” zimeongezeka kutoka Laki moja kwa sampuli moja hadi kufikia Laki mbili na kumi na mbili kwa sampuli moja kutokana na Gharama za mchakato wa vipimo hivyo. “Gharama kwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Simba imepanda kuwa timu ya nne kwa ubora Africa kwa vigezo vya CAF 5 Year ranking,

  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania KITIMOTO KUPANDA BEI WAKATI WA MFUNGO MNATUAMANISHA NN 11000-15000..SERIKALI MTUSAIDIE

    Habari za uzima Nkauliza tu mbona Hawa wah wanaouza kitimoto wakatili hivyo Toka tar 5 kitimoto inepanda JUMLA Toka 8000 mpaka 11000 Kawaida Toka 12000-15000 Hivi hamna dini NYIE wauzaji Mheshimun Mungu huu sio mda WA KUONGEZA bei ya vyakula kabisa
  10. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Azam energy imepanda bei maradufu! Ni kodi, gharama au kiburi?

    Azam energy imepanda bei, kutoka 500/- ikaja 600/- Sasa imepanda bei maradufu mpaka 800/- Je, ipi sababu ya bei kupanda? Labda kodi imeongezeka, gharama za uzalishaji zimekuwa kubwa, kiburi na jeuri ya kujiona hana mpinzani au ni Nini? Gharama imeongezeka na kuwa kubwa ghafla sana. Huko kwenu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa wa sukari imepanda hadi 34

    Habari wakuu, Nina mdogo wangu wa kiume Umri miaka 32 juzi gafla alizidiwa akawa hana nguvu kabisa jasho jingi, tukachukua jukumu la mpeleka hospitali ndogo ya mtaani akapewa drip ila wakamshindwa wakamrefferal Amana. Kufika Amana kapatiwa huduma Toka juzi saa tatu kufikia Jana saa tano asubuhi...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Cement imepanda bei, tutanunua hadi 18500. Tatizo lipo wapi?

    Leo viwanda vimetangaza upandaji wa bei ya cement, sasa itauzwa kwa kati ya 18,000 hadi 18,500 kwa dar. Najiuliza viwanda tunavyo hapahapa tatizo lipo wapi? Wataalam mtusaidie..
  13. Mburia

    JamiiForums Tanzania Tanesco kodi ya jengo imepanda?

    Wanajamvi leo nimenunua umeme wa 25,000/= na makato yalikuwa kama ifuatavyo: MAKATO 1. VAT 2,803 2. EWURA (1%) 155.74 3. REA (3%) 467.21 4. DEBT COLLECTED 6000 TOTAL 9,426 BALANCE FROM MY 25,000 = 15,574 Sasa hii 6000/= ni ile kodi ya majengo imepanda?
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Wakulima wa Kahawa Kagera ni Shangwe Tupu, Bei ya Kahawa Imepanda

    WAKULIMA WA KAHAWA KAGERA NI SHANGWE TUPU, BEI YA KAHAWA IMEPANDA: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameipongeza Wizara ya Kilimo kwa kusimamia vyema Maono ya Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuwainua Wakulima wa Kahawa na kuwezesha bei ya...
  15. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wameisahau Kengold kuwa imepanda ligi kuu, wanaisifu Pamba muda wote kwa kua wamepewa supu ya Ng'ombe na mboga ya kupeleka nyumbani

    Hili ndiyo taifa lenye wachambuzi wa ajabu kabisa katika tasnia ya mpira wa miguu, wachambuzi wengi walijifungia Mwanza toka waliposikia kuwa timu itachinja ng'ombe 25, wamesahau kabisa kuwa kengold kutoka Mbeya nayo imepanda ligi kuu na ndiyo timu iliyoongoza kwa point 70 na kufuatiwa na pamba...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Kengold na Pamba zimepanda ligi kuu, Mbeya kwanza na Biashara kucheza playoff na vibonde wa ligi kuu

    Kengold kutoka Mbeya imetwaa Ubingwa wa Championship Hatimaye baada ya miaka 23 timu ya Pamba Jiji FC ya Mwanza imefanikiwa kupanda ligi kuu Bishara United Mara na Mbeya Kwanza watasubiri Playoff Kujaribu bahati yao KenGold FC Pamba FC Mbeya Kwanza FC Biashara United FC TMA FC Mbeya City FC...
  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Profesa Janabi: Bei ya sukari imepanda juu, take advantage

    Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amezungumza kuhusu ongezeko la wagonjwa wa kusafisha figo ambapo amesema kwa siku hospitali hiyo inahudumia wagonjwa 120 hadi 130, hivyo ameihimiza jamii kuchukua tahadhari na kufuata mtindo bora wa maisha. Profesa Janabi...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Bei ya chai kwenye mighahawa imepanda maradufu

    Wanakambi, kuna mghahawa mmoja nilizoea kupata chai ya asubuhi na vitumbua maarufu kama "Kwa Mama P" ni hapa Mwenge jijini Dar es salaam. Siku zote tulikuwa tukiuziwa kikombe cha Chai Shilingi 150. Leo nimeshitushwa baada ya kumaliza kunywa chai yangu na vitumbua vinne (200@) badala ya kulipa...
  19. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Wapagazi chapeni kazi ,mishahara imepanda

    Leo asubuhi wpagazi wanaofanyakazi ya kubeba mizigo ya wageni katika mlima Kilimanjaro maarufu kwa jina la 'wagumu'wamekutana mjini moshi na habari kubwa kwao ni kupanda kwa mishahara yao ambayo kwa miaka nenda rudi wamekuwa kwenye harakati za kupambania maslahi yao. Mwaka 2008 yapata miaka...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Washindwa kula nyama krisimasi bei imepanda Kg Sh 11000. Chalamila hajaliona hili?

    Nilikuja hapa kununua nyama leo sikukuu watoto wakale lakini nimekuta bei zimebadilika hadi elfu 11 kwa kilo, naomba serikali itusaidie udhibiti wa bei ambazo zinapanda mara kwa mara.”- Dickson Kitanda, Mkazi wa Mwananyamala
Back
Top Bottom