Kachezeni mnapochezaga!
Sitaki salamu zenu za kichawi msije nipotezea ndege wangu.
Mlifikiri nimekwama na maisha yangu yataishia hapahapa ndani. Hahaha! Hamtaweza na mmeshindwa kwa jina lile la maajabu.
Oooh! Mtibeli usitoe siri zako kuna watu watakuloga safari utajifia. Thubutu! Kusema nasema...
Habarini wapendwa natumai wote humu ni wazima na mko poa kabisa wenye afya zilizo imara. Kijana wenu nimekuoja kuwapa habari kuwa nimepata mwaliko mkubwa kujifunza kuhusu uwekezaji.
Kesho itakua siku yangu ya kuanzia safari mpya ya kiuwekezaji baada ya kupata mwaliko kutoka kwa watu wawili...
Ndio hivyo tena biashara ni ushindani ukilala wenzio wanaamka, mwenye frem anachotaka ni kodi hajali aliempangisha anauza nini na anaetaka kupangisha nae atauza nini shida kodi inaingia
Fremu inayofuata kaingia mpangaji mpya ile kufungua ni copy na paste ya bidhaa ninazouza, cha ajabu kaja na...
Mko poa
Kwa ninavyoona hapa uwanjani mechi itakuwa kali sanaa yaani, na itakuwa mechi ya historia
TANZANIA NA SENEGAL-U17
Kiukweli mechi ni ngumu sana kwa upande wetu ninavyoiona hapa uwanjani ukweli usemwe..
lakini fainal ni fainal yeyote anaweza akashinda
Nipo moroco hotel kinondoni...
Nimepata taarifa kwamba usiku wa kuamkia leo mida ya saa nane, Jeshi la Polisi limevamia nyumbani kwa Yoromu Mbyella, mfanyabiashaa ambae huwa anauza sare za CHADEMA wakidai wanamtafuta kwa kosa la kutengeneza Tshirt zenye maandishi “FREE TUNDU LISSU”
Kwa mujibu wa mtoa taarifa, Mbyella...
Wakuu,
Sijui natokaje kwenye hii addiction ila alietengeneza hiki kitu hakika ni fundi na amenikamata na sijui ametumia formula gani. Kila nikitumia hua kuna maswaali najiuliza huyu ametumia formula gani?
Haipiti siku namaliza chupa hata 3 mpaka 4.
Addiction.
Ataitwa Pastor Kiranga au nabii kiranga au mtume kiranga.
Atakua mlokole haswa anayenena kwa lugha na atakua anatoa mapepo.
Atahubiri na kueneza neno JF na kwingineko. ataweka hadi spika kwenye mikusanyiko na kuhubiri.
Destiny yake nimeshaiona karibu mtume Kiranga
Habari zenu?
Nina mchumba tuko nae kwenye mahusiano huu ni mwaka wa nne.
Sasa imefikia wakti wa kwenda kumtambulisha kwa wazee home ila naona aibu kumtambulisha kwa ndugu na jamaa zangu sababu ya historia ya hilo kabila kuwa mbaya kwenye mahusiano.
Je wakuu nitumie mbinu gani kumtambulisha ili...
Kwa mujibu wa sheria, ili mfanyabiashara asajiliwe kama VAT unatakiwa either ufike makusanyo ua 200m kwa mwaka, au uwe mtoa ushauri wa kitaalamu au uwe na mikataba inayoonesha kazi uliyopata.
Sasa mimi naona nimeangukia hapo kundi la 3 maana japo ni kweli sijafika makusanyo ya 200m kwa mwaka...
Naamini sio mimi tu, tupo wengi, ghafla tu nimepata furaha na faraja kubwa baada ya kushuhudia Taifa stars ikipata kipigo mbele ya Morocco baada ya kuchapwa goli moja kwa bila na kutolewa hatua ya robo fainali ya CHAN 2024.
Hata sijui ni kwanini, lakini hii hali imetokea automatic tu.
Natamani...
Wakuu, hivi ni wamasaai wote huwa wanakeketwa au baadhi
Kuna dem wa kimasaai , anatarajia kunitunuku Mbususu yake ya kimasaai niichape.. huyu ni masaai natural mixer kuvaa mashuka na mashanga , ananukia kabisa madawa ya asili, na kapiga kipara..
Sasa nataka kujua wa aina hii huwa wamekatwa...
Ni wiki 3 sasa tangu nimekutana na mwanamke na hii ni baada ya kupima nae kabla na kukuta hana maambukizi, baada ya siku kadhaa nilikutana nae baada ya kumuamini na ndipo nilipo ona usaa kwenye uume wangu, nilienda hospital nikaanzishiwa Ceftriaxone na tabs Ciproflaxin pamoja na Dox.
Nimetibiwa...
Nimeuza kiwanja changu jana kilichokuwepo Kibaha nimepata milioni 10 nikaona nifanye biashara ya bodaboda. Nizinunue 3 halafu niwape vijana waniletee hesabu. Je itanilipa wakuu Kwa mliowahi kufanya hii biashara au nitaingia loss?
Hakuna haja ya kuomba radhi—swali lako ni la msingi kabisa!
Tofauti ya gharama kati ya “hidden roofing” (paa lililofichwa) na paa la kawaida (linaloonekana) inategemea mambo kadhaa, lakini hapa kuna muhtasari wa tofauti kuu:
* Hidden Roofing (Paa lililofichwa)*
Faida za gharama:
Hupunguza...
Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19
Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa...
Habari zenu wadau.
Kwenye moja na mbili,juzi kati nkaopoa demu moja mkali sana wa kisukuma.ila kwenye kuchati leo kaniambia ana tatizo la majini.
Wazee nilikuwa nimepanga kuichapa leo night.ila kabla sijaiomba nimeona nije kwenu hapa jamvini mshe uzoefu wenu isijetokea ile ya kafia ghetho...
Nimepata habari Kuna parking ya magari kubwa itakayokua na hoteli na super makert ambayo inatarajiwa kujengwa kibaha misugusugu shule je kuna ukweli kugusu Ili jambo ama alieniambia kanidanganya nimeona niulize humu jamii forum sababu ni kisima Cha maarifa Ili tuweze
Habari wakuu
Naomba ushauri na mwongozo
Mimi ni kijana umri 25_27 nimepata ajira kwenye kampuni flani hapa bongo ya kisafirisha mizigo nikiwa kama BM wa mkoa flani mshahara ni mnono kiasi fulani nilipo anza kazi feb mwaka huu allowance ilikua inatoka kila wiki lakini kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.