Bungeni is a large sprawling rural settlement situated on top of one of the foothills of the Soutpansberg mountain in Louis Trichardt, Limpopo Province, South Africa. The Levubu agricultural plantation, where avocado, bananas, litch, Macadamia nuts, peaches and mangoes are grown in abundance is just 3km away north of Bungeni village. It lies 35 km east of Makhado, with the R578 road (South Africa) passing through it. With more than 30 000 people, Bungeni is the largest Tsonga village in Makhado local municipality. In 1994 and in 2016, administrative control of this western portion of Gazankulu has been sub-divided in half and allocated to two Municipalities, first in 1994 to Makhado Local Municipality and in 2016, to the New Malamulele Municipality in the Vhembe district. As of April 2016, the Western portion, known as 'Bungeni West' by the locals, has remained in Makhado local municipality, while the eastern portion, known as 'Bungeni east', has been allocated to the new Malamulele Municipality.
LEO KATIKA KUMBUKUMBU
10 Septemba 2021 — Uteuzi wa Dkt. Stergomena Tax
Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan tarehe 10 Septemba 2021 alimteua Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Dkt. Stergomena Tax aliteuliwa katika nafasi za wabunge kumi wanaoteuliwa...
Wakati wa sakata la Chadema kuwafukuza Covid 19 baada ya kugoma kufika kwenye kamati yao maadili, ccm na spika waliwalinda hadi wakamaliza muda wao wa ubunge. Ccm wote wakawa wanawachafua cdm kuwa hakuna demokrasia. Usiku wa deni haikuwahii kukucha, ccm wote sasa wanaonyesha kuwa wamemfukuza...
Spika wa Bunge Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) leo tarehe 28 Agosti 2026 amepokea jina la Makamu wa Rais Mteule lililopendekezwa na Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi.
Jina hilo limewasilishwa kwa Mhe. Spika na Katibu wa Rais Bal. Ali Jabir Mwadini akiwa ameambatana na Mpambe wa Rais (ADC) Brig...
Miaka yote tangu uhuru, tumeona Bunge likipokea jina la mteule wa nafasi ya Makamu wa Rais na kulipigia kura ya kumuunga mkono au kumkataa.
Kumbukeni kwa uteuzi unaoenda Bungeni siyo wa Mgombea Mwenza, bali Makamu wa Rais kuziba nafasi ya aliyeondoka.
KItendo cha Ndejembi kutangazwa kuwa...
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, amehoji hatua zinazochukuliwa na Serikali kutekeleza ahadi ya ujenzi wa Kituo cha Afya Namiungo wilayani Tunduru, akisema ahadi hiyo ilitolewa na aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.
Ado amesema Kata ya...
Kwani Hela wanapeleka wapi? Au wanacheza kindenge🤣
Watu tunaposema Hela za chadema zinagongwa na wakulungwa wa Chama muwe mnaelewa.
imagine mtu aliyepata kiinua mgongo cha ubunge Leo hii ndo anasaidiwa na Maria Sarungi kukamilisha boma lake hii ni aibu. NA HATUJAWAHI SIKIA AMEGOMEA POSHO...
Kilimo, Ufugaji na Uvuvi ni sekta muhimu sana Kwa ustawi wa viumbe hai wa Leo na Kesho. Kilimo, Ufugaji, na Uvuvi haviwezi kuleta tija kama Mazingira hayatunzwi na kuhifadhiwa vizuri. Mfano: Tunahitaji mvua Kwaajili ya kupata maji lkn hatuwezi kupata mvua salama Kwa wakati sahihi bila kuwa na...
Lengo letu ni kuwashirikisha watu wengi kama sio wote kwenye majimbo yote.
Ili waweze kupewa elimu kuhusu umuhimu wa kutunza na kuhifadhi Mazingira Kwa muda mfupi.
Tena tutaweza kuwashirikisha watu wengi kupanda miti na kuigeuza Nchi yetu kuwa ya kijani jambo ambalo litasaidia upatikaji wa mvua...
Habari wana JamiiForums.
Nina ombi la dhati. Mimi ni kijana wa miaka 21 kutoka Tanzania, na moja ya ndoto zangu kubwa ni kupata nafasi ya kutembelea Bunge la Tanzania na kushuhudia kikao cha bunge nikiwa kwenye jukwaa la wageni.
Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya bunge kwa muda mrefu, na nina...
Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema maisha ya ubunge si rahisi kama wengi wanavyodhani, akidai kuwa wabunge wengi wanakabiliwa na changamoto za kifedha isipokuwa wale wanaoshika nafasi za uongozi kama Spika, Naibu Spika au Wenyeviti wa Kamati za Bunge.
Akizungumza...
Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema keki ya taifa ni ndogo sana, hivyo wananchi wanapaswa kuchagua viongozi makini wenye uwezo wa kuipigania ili kuhakikisha maendeleo yanafika katika maeneo yao.
Akizungumza na wananchi wa Musoma, Mkoani Mara Julai 4, 2026 kwenye ziara ya Waziri...
Ndugu wana-jamvi,
Inasikitisha kuona kuwa leo hii nchini, elimu yako, weledi wako, na uchapakazi wako maofisini havina thamani tena. Ili upandishwe cheo, ulindwe usitumbuliwe, au upate mkataba wa serikali, huna haja ya kuwa na akili kubwa—unachotakiwa kuwa nacho ni "Cheti cha Uchawa"...
Mbunge wa Tarime Vijini, Mwita Waitara, amependekeza Mbunge wa Baraza la Uwakilishi Zanzibar, Mohamed Simai Said aondolewe Bungeni, huku akimtaka amtaje mtu aliyemtuhumu kuwa ni 'yuda'.
Soma: Mbunge Simai: Kuna Yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani
Wanabodi,
Baada ya kuibuka kwa fani mpya ya uchawa, mimi nimekuwa nikiwaona machawa kama ni majitu fulani majinga zero brain!, nilipoangalia line up ya wagombea ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini, kupitia CCM, kulikuwa na very good big brain, siku ya matokeo ya kura za maoni ya CCM zikitangazwa...
Kijana Wa Kitanzania Aibuka Mshindi Mashindano Ya Nyuklia Kimataifa
Kijana mtaalamu kutoka Tanzania, Japhet Matekere, amechaguliwa kuwa mmoja wa washindi wa mashindano ya video ya kimataifa ya “Atoms Empowering Africa 2026”.
Mashindano hayo yaliyoandaliwa na kampuni ya nishati ya nyuklia ya...
Ubinafsi ulioonyeshwa na wabunge wetu wakibanwa imewafanya watie aibu katika jamii.
Sakata la vikwazo vya Marekani liko mbele yetu kama nchi.
Wahusika binafsi ni wale waliofanya mambo mabaya dhidi ya umma wa Kitanzania.
Watu hao ni watekati, waliovuruga utaratibu wa uchaguzi, walioua...
Akizungumza leo Mei 16, 2026, Katika Mjadala wa kitaifa kuhusu mwelekeo na khatima ya Tanzania, uliokusanya makada na viongozi wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo ngazi ya Taifa, Othman Masoud amesema licha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.