Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
Sio kila kiberiti nichakutikisa, vingine nivya gesi, vitakulipukia - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.
Ametoa kauli hiyo jana (Jumanne, Septemba 15, 2026) wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi Mjini, mkoani Simiyu katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya CCM Saba Saba.
Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe vitambulisho. Lakini tunapokuwa tumetoa kitambulisho, halafu mhusika haendi kuchukua, haya ni mambo ambayo yanakwamisha malengo mapana - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.
Amesema hayo...
Mtangazaji mashuhuri wa habari na burudani, Diva the Boss , amejitokeza na kuishutumu waziwazi kampuni ya Wasafi Media kupitia ujumbe mzito alioochapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram mnamo Septemba 15, 2026 .
Diva amechukua hatua hiyo ya kuweka wazi hisia zake ili kupaza sauti na kuiomba...
https://www.youtube.com/live/98jEfK7jGzk?si=bb1XzVr-LAZ-EwRF
LIVE: Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Septemba 15, 2026 anazungumza na wananchi wa Jimbo la Bariadi Vijijini, Mkoani Simiyu.
Dkt. Mwigulu yupo mkoani Simiyu kwa Ziara ya Kikazi.
Serikali imeondoa sheria iliyokuwa ikiruhusu mifugo ya wananchi kutaifishwa na kuelekeza mapitio ya sheria na kanuni nyingine zinazohusiana na mifugo.
Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani Simiyu.
📍Itilima - Simiyu.
📅 Septemba 14, 2026.
Serikali imeelekeza zaidi ya Sh 1.4 trilioni katika Mkoa wa Simiyu katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, katika utekelezaji wa miradi ya umeme, barabara, maji, elimu na afya.
📍Itilima-Simiyu
🗓️Septemba 14, 2026
——————————
Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani...
awamu
awamu ya sita
katika
kipindi
mkoa
mkuu
mwigulumwigulunchemba
serikali
simiyu
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu mwigulu
waziri mkuu mwigulunchemba
zaidi ya
Kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania likidai kuwa “The Financial Council has approved a new income system” inayofanya fanya kazi na NMB Bank Plc pamoja na Serikali ya Tanzania. Chapisho hilo linawataja Rais Samia Suluhu Hassan, Mohammed Dewji na Mwigulu...
Kila anapotoka nyumbani kwake, waziri mkuu Mwigulu lazima avae tai yenye rangi za bendera ya taifa.
Anajionyesha kama mzalendo wakati ni chawaa tu.
Je, hili wadau huwa mnallichukuliaje kwa vile sisi ndiyo wapiga kura wenyewe?
Nawasilisha baba yenu.
Shekh Mwaipopo amemtabilia makubwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, akimpongeza kwa elimu na usomi alioupata katika ngazi ya chuo kikuu.
Amesema mafanikio ya Dkt. Mwigulu yamechangiwa pia na nidhamu, kujituma, uwezo wa kuwasikiliza wananchi na...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchembaakiwa Bungeni leo Septemba 3, 2026 amezungumzia malipo ya wanajeshi waliopigana katika Vita ya Kagera Mwaka 1978.
Pia soma ~Mafao ya Wanajeshi waliopigana vita ya Kagera imekuwa ahadi isiyotekelezeka
Mara kadhaa Wadau mbalimbali wamekuwa wakihoji kuhusu malipo...
Tumejipanga kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua za Elnino - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
📍Bungeni-Dodoma
🗓️ Agosti 27, 2026.
————————————-
Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Johnston Mtasingwa.
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amempongeza Deogratius Ndejembi kwa kuonekana na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa msaidizi wake.
Jana, Jumatano, Agosti 26, 2026, Ndejembi alipendekezwa na vikao vya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Makamu wa Rais, kuchukua nafasi ya Dkt. Emmanuel Nchimbi...
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba wakati akishiriki katika hafla ya Baraza la Maulid Kitaifa 2026 amesema kila Mtanzania ana wajibu wa kulinda nchi na kuhakikisha amani na utulivu vinaendelea kuwepo.
Watanzania tunao wajibu wa kutunza hali hii. Tunao wajibu wa kutimiza kwa taifa letu. Tunao wajibu wa...
Mpaka sasa kuna 85% ya Makonda kuukwaa umakamu wa rais au Mwigulu Nchemba.
Mmoja kati ya hawa ndiye atakabidhiwa kijiti.
Tuweni wapole , muda utazungumza .
Mungu atuvushe salama kwenye hichi kipindi kigumu tunachopitia watanganyika.
Ninaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuwapongeza na kuwashukuru wakulima, wafugaji na wavuvi kwa mchango wao mkubwa katika uzalishaji wa chakula, malighafi, ajira na ukuaji wa uchumi wa Taifa.
Katika maadhimisho ya Siku ya Wakulima (Nane...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Agosti 2, 2026 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Jengo la Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Mtumba jijini Dodoma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.