nyingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais kuna course za degree zitafutwa, nyingine zitahamishiwa masters, nyingine zitapunguzwa idadi ya wanafunzi, na nyingine kuungwanishwa

    Kwa sahivi kuna lundo la course zinatolewa ambazo hazina tija na nyingi zinatakiwa kufutwa, zinatakiwa zihamishiwe kwenye masters na phd sababu ni kama zinatolewa na vyuo kwa ajili ya kupata faida na huku wanafunzi akihitimu anakua na nafasi ndogo sana ya kupata ajira, nyingine zitapunguzwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya walimu wakuu kuwalaza wasimamizi wa mitihani ya taifa madarasani ipigwe marufuku

    Huu ni ukweli kabisa ambao nimeushuhudia kwa macho yangu. Ni kuhusu walimu wanawake wanaokuwa wamepata nafasi ya kwenda kusimamia mitihani ya taifa kulazwa madarasani tena madarasa ambayo hayana madirisha au yenye madirisha yasiyowahakikishia ulinzi dada, wake na mama zetu. Kituko kingine...
  3. youngkato

    JamiiForums Tanzania UNAUZA MCHELE, MAHARAGE, MAHINDI AU NAFAKA NYINGINE? KUFUNGUA DUKA NA KUJAZA MAGUNIA PEKEE HAITOSHI!

    Unaweza kuwa na mtaji, sehemu nzuri ya biashara na wateja wengi, lakini kutokamilisha taratibu zinazohitajika kunaweza kuiletea biashara yako usumbufu usio wa lazima. Kabla na wakati wa kuendesha biashara ya nafaka kwa rejareja Tanzania, haya ni baadhi ya mambo muhimu ya kuzingatia: 1️⃣ Usajili...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania LATRA tumieni technolojia kudhibiti madereva barabarani kabla ya kuongeza sheria nyingine.

    Kama madereva wana uwezo wa kutumia teknolojia ya kidigitali kuhamasishana kugoma nchi nzima kwanini nyinyi LATRA mnashindwa kutumia teknolojia hiyohiyo kuwadhibiti madereva wasifanye makosa barabarani yanaosababisha ajali?. Badala yake bado mnatunga sheria zitakazofanyakazi manually kuwapa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Lissu aliona mbali: Leo Katuga anaiamba mahakama kuwa adhabu sio lazima kunyongwa, bali mahakama inaweza kutoa adhabu nyingine

    Aliyoyasema Lissu jana kuwa adhabu ya kosa analotuhumiwa nalo ni kunyongwa na kwamba mahakama isiambiwe kitu cha tofauti na hukumu ya kunyongwa au yeye(Lissu) kuachiwa huru Sasa hii hapa chini ni sehemu ya final submission ya Katuga leo mahakamani: Waheshimiwa Majaji kwa kuelezea kwa kirefu...
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hizi tafiti nyingine mmh..❗

    Unatoa gesi mara 32 kwa siku, Wanasayansi watengeneza nguo za ndani kuthibitisha hilo https://bbc.in/4iMWAQn
  7. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Ndoa nyingine ni mtego: Mtu akistuka tusitie maneno zaidi

    Katika pitapita yangu leo nimekutana na andiko katika Biblia kitabu cha ; 1 Samweli 18:21 "Naye Sauli akasema moyoni, Mimi nitamwoza huyu, awe mtego kwake, tena kwamba mkono wa Wafilisti uwe juu yake. Basi Sauli akamwambia Daudi mara ya pili, Leo utakuwa mkwe wangu". Baada tu ya kusoma mstari...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hali ya ulinzi na usalama Tanzania ni nzuri na ya uhakika zaidi kuliko nchini nyingine yoyote katika eneo la maziwa makuu.

    Na ndio maana kila uchwao, idadi ya watalii na wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wanaongezeka Tanzania mwaka hadi mwaka ukilinganisha na nchi zingine za maziwa makuu, ambazo shughuli za utalii na uwekezaji zimezorota sana kutokana na kudorora kwa usalama. Lakini pia uhakika wa usalama...
  9. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Phd nyingine ya maelekezo inaenda kutolewa.

    Zile PhD za Wanasiasa zinaendelea kugaiwa kwa wingi huko Open. Nakukumbuka Kaenerugaba Msemakweli.
  10. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Kuwa singo ni stori nyingine

    Lakini kukosa ata mtu wakugegeda, hiyo inauma kinoma
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara nyingine tena Dada wa Taifa Mange Kimambi ametibua mipango ya waharibifu.

    Kama kawaida yake, katika nyakati usizomtegemea, huku akiwa amefungiwa mitandao yake ya jamii, lakini sauti yake iliyao nyikani imeweza kupenya na kuwafikia watanzania juu ya uhuni wa kisiasa unaoendelea nchini. Dada wa Taifa kama kawaida yake amelinusuru taifa dhidi ya wahuni wa kisiasa nchini...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania ID zenu nyingine tunazijua

    Why can't you just be real!? Woga wa nini sasa😀🙌🏿❗ ID mlima kama zinaleta pesa!? You just can't hide your inner self...! Your reaction...! Your handwriting...! Your cycles...! Your puppetism...! ID ya kusifu watu. ID ya kutukana na kukashifu. ID ya mizinga. ID ya utakatifu feki🙌🏿🙆🏿‍♂ ID za...
  13. Mad Max

    JamiiForums Tanzania 9 September 2026: Apple wazindua simu tatu, iPhone Duo, iPhone 18 Pro, iPhone 18 Pro Max na accessories nyingine!

    Leo Tarehe 9 September, CEO mpya wa Apple John Ternus (amemreplace Tim Cook alieachia madaraka mwanzoni mwa huu mwezi), amezindua products mbalimbali za Apple kwenye event yao waliyoiita "Surprise and Shine"! Event hiyo iliofanyika kwenye Steve Job's Theater, Apple Park California, USA, usikute...
  14. Thecoder

    JamiiForums Tanzania Kwenye kila Mimi ni kama huwa kuna Mimi nyingine nyuma ya hiyo Mimi, je Mimi ni nani?

    Embu anza kuangalia kwenye namna unavyojimililisha vitu, utaona ni kama kuna Mimi ambayo iko nyuma ya Kila Mimi. Ukiulizwa jina, utasema naitwa fulani, utasema mwili wangu, utasema mkono wangu, utasema moyo wangu na kadhalika. Kwenye Kila umiliki hapo utaona ni kama imekaa hivi… mkono wangu...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania JENGO JIPYA LA ABIRIA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA HII NI HABARI NYINGINE

    Ukarabati na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma umefikia zaidi ya asilimia 67. : 𝐌𝐑𝐀𝐃𝐈 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐌𝐊𝐀𝐊𝐀𝐓𝐈 𝐔𝐍𝐀𝐎𝐅𝐔𝐍𝐆𝐔𝐀 𝐋𝐀𝐍𝐆𝐎 𝐉𝐈𝐏𝐘𝐀 𝐋𝐀 𝐁𝐈𝐀𝐒𝐇𝐀𝐑𝐀 𝐍𝐀 𝐔𝐓𝐀𝐋𝐈𝐈 Huu ni miongoni mwa Miradi ya kimkakati inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa lengo la...
  16. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Katika kitu kimebakia kama nchi tunachojivunia ni hichi tuu

    Safarilager Moja ya bia nzuri zaidi kuwahi kutengenezwa kwenye uso wa Dunia.
  17. lord atkin

    JamiiForums Tanzania Sioni dalili ya Lissu na CHADEMA kunyoosha mikono, Serikali iangalie njia nyingine

    Laiti kama serikali ingekuwa inamfuatilia Tundu Lissu na kuisoma akili yake ingegundua siyo mtu wa kumtishia na kesi. Siyo mtu wa kumtishia na jela, mahabusu wala hukumu ya kunyongwa. Upo msemo kwamba ukimjua adui yako ndiyo unaweza kumshinda. Njia ya kesi na jela ilizaa matunda kwa Freeman...
  18. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua Aingia Raundi Nyingine ya Vita vya Kisheria: Je, Impeachment Yake Ilifuata Katiba?

    Aliyekuwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua ameanza rasmi safari yake ya kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu uliodumisha kuondolewa kwake madarakani kupitia mchakato wa impeachment. Katika rufaa hiyo, Gachagua anapinga hoja kwamba uamuzi wa Seneti hauwezi kuchunguzwa au kubatilishwa na...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Fifa waandikiwe barua nyingine ili Tff wapewe adhabu. Huwezi kupeleka mechi ya ngao ya hisani Zanzibar wakati Zanzibar wana ZFf na ligi yao.

    Kwa ujumla huku ni kuleta siasa kwenye mpira. Na ni kinyume na misingi ya Fifa inayozuia kuingiza siasa kwenye soccer👇
  20. J

    JamiiForums Tanzania KERO Ameripoti katika Kituo cha Kazi na kuambiwa vitendea kazi ni vichache hivyo hawezi kufanya kazi hapo. Hii ni sawa?

    Ndugu yangu ameitwa kazini kama Afisa Usafirishaji na katika barua yake ya ajira ameagizwa kuripoti Dodoma. Alifika mapema katika kituo alichopangiwa na kuanza taratibu za kuripoti kama alivyoelekezwa. Hata hivyo, alipofika katika kituo hicho, aliambiwa kuwa kituo kina magari machache na hivyo...
Back
Top Bottom