msingi

Msingi is an administrative ward in the Mkalama District of the Singida Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 6,439. According to the 2012 census, the population had increased to 7,289.

View More On Wikipedia.org
 1. FRANCIS DA DON

  Napendekeza cheo cha umakamu wa Rais kifutwe, sababu za msingi zipo, hasa hasa za kiuchumi

  Majukumu ya Makamu wa Rais yanaweza kufanywa kwa urahisi sana na ofisi ya waziri mkuu, hivyo basi itakuwa ni jambo la busara endapo cheo hiki kikafutiliwa mbali, na majukumu yake akapewa Waziri mkuu, maana hata hivyo hakuna kazi yeyote inayoonekana moja kwa moja ikifanywa na makamu wa Raisi...
 2. beth

  Sweden yamwaga mabilioni kusaidia elimu ya msingi

  Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa Sh196 bilioni kwa ajili ya kusaidia utekelezaji wa awamu ya Pili ya Mpango wa Elimu kwa Matokeo unaohusu elimu ya Msingi (EP4R II). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Oktoba 5,2021 na kitengo cha mawasiliano cha Wizara ya Fedha na Mipango, Maktaba huo...
 3. comte

  Ole Sendeka: Vijana gombeeni nafasi za CCM mwakani

  Mbunge wa Jimbo la Simanjiro, Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amewataka vijana wanachama wa CCM kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za chama hicho mwaka 2022. Uchaguzi mkuu wa CCM kugombea nafasi kuanzia ngazi ya tawi, kata, wilaya, mkoa hadi Taifa unatarajia kufanyika mwaka...
 4. ROBERT HERIEL

  Haki za Msingi za Wanawake na Haki zisizo za Wanawake

  HAKI ZA MSINGI ZA MWANAMKE NA HAKI ZISIZO ZA WANAWAKE Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Kwa mujibu wa mtazamo wangu na ambao ninajiamini; ni hakika, Hapa sitauma Una maneno, sitaficha chochote, nitataja Kwa haki kabisa. Zifuatazo ndizo Haki za msingi za wanawake; 1. Haki ya Kuishi Kama binadamu...
 5. Jabali la Siasa

  Rais Samia: Msingi wa uongozi ni kutumikia wale unaowaongoza, Kafuateni sheria na miongozo ya serikali, mfanye kazi za wananchi

  Nawasalimia kwa jina la JMT, Hiki ndicho alichokiandika Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwenye ukurasa wake wa tweeter,
 6. Suley2019

  Manyara: Maji yarejeshwa katika shule ya msingi Endiamtu baada ya kuripotiwa kukosekana kwa miaka mitano

  Maji yanapatikana hivi sasa shule ya msingi Endiamtu Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wanafunzi wanaishukuru Serikali Kwa kuwapatia maji ila vyombo vya habari Kwa kuripoti tukio hilo. WANAFUNZI wa msingi Endiamtu, Kata ya Endiamtu, Mji mdogo wa Mirerani, Wilayani Simanjiro, Mkoani Manyara...
 7. U

  Vyakula bora vya msingi kwa afya ya jamii

  Tunaambiwa kuwa kuishi vizuri ni pamoja na kula chakula bora na sahihi. Pia, mtu anayeishi vizuri ni yule ambaye hasumbuliwi na maradhi hatari na njia pekee ya kuulinda mwili dhidi ya maradhi hatari ni kujua ipasavyo na kuvitumia vyakula bora pamoja na kufanya mazoezi. Katika makala yafuatayo...
 8. L

  Msingi mkuu wa dini ni hofu au imani?

  Ni swali ambalo nazani ni la mhimu kujiuliza kwa waamini wote
 9. E

  Story of Change Tatizo kubwa katika Elimu yetu ni Elimu ya Msingi na Awali

  Katika lugha ya Kiswahili cha mitaani kitu kuoza maana yake ni kupitiliza mda wake wa matumizi au kupitwa na wakati. Katika makala hii mwandishi ametumia neno “elimu yetu imeoza” kuonyesha elimu yetu imepitwa na wakati na inahitaji kufanyiwa marekebisho makubwa sana. Kwa historia elimu yetu...
 10. Mpinzire

  Gazeti la Raia Mwema lafungiwa kwa siku 30

  Msemaji wa Serikalini Gerson Msigwa, amelifungia Gazeti la Raia Mwema kwa siku 30 Pia soma: Utetezi wa Gazeti la Raia Mwema kabla ya kufungiwa
 11. B

  Kiwanja chenye msingi kilichopo chanika kinauzwa

  Ukubwa 20*20m Msingi wa kisasa Tofali mia mbili zipo Gari inafika Umeme nguzo ipo site Bei 5m, mazungumzo yapo 0712464478
 12. K

  Waziri Lukuvi alitembelea nyota ya Dkt. Magufuli, hana uwezo nje ya dola na mbele ya msingi wa haki

  Mhe. Lukuvi awamu iliyopita alikuwa anazunguka na kutoa amri zakufuta hati kila siku huku akiwatetemesha makampuni ya upimaji wa ardhi yakimbizane na deadlines. Alionekana Kama anajua kazi yake na ana uwezo wakusimamia kazi ikaenda. Leo hii ameondoka aliyekuwa bosi wake na yeye amepotea Kwenye...
 13. S

  Huu ndio msingi wa haya yatayotokea leo na pia ni msingi wa yatatokea siku zijazo

  Tunaweza kuwa tunaimiza vichwa juu ya haya yanayoendelea na pengine tukawa hazipati majibu na tunashindwa kuwaelewa hawa watu tuliowapa dhamana kwanini wanafanya au kutenda haya. Naomba niwaambie sababu kubwa ni hii: "Chama cha siasa au Mtawala ambae yuko madarakani kwa muda mrefu au mfupi...
 14. BROTHER OF BROTHERS

  Story of Change Sayansi ya Kilimo irudishwe na ifundishwe shuleni kama somo la Msingi kwa kila Mtanzania

  Nawasalimu wote mliopo kwenye Mtandao huu wenye Uhuru wa kujieleza. Nimechukua fursa hii kuja na Mada ya kuomba sayansi ya kilimo kurudishwa Mashuleni kuanzia elimu ya msingi Hadi Sekondari. Somo la Sayansi KILIMO ninaamini Wengi wetu haswa kaka na dada zetu walilisoma ingawa kwa uchache ila...
 15. olele

  Naomba kufahamishwa gharama ya Kujenga Msingi

  Habari zenu wakuu, nilitaka kuanza ujenzi ila kwa awamu, sasa nimemuuliza mchora ramani (kuna ramani nataka kuichukua kutoka kwake) vyumba ni vitatu (master included) nikamuuliza msingi wake unaweza kugharimu bei gani? kaniambia mil 12 kidogo nizimie. Ambao mmejenga naombeni mnijuze mlitimia...
 16. B

  Kuelekea Makongamano ya kudai Katiba Mpya, Haki za Msingi ziheshimiwe

  Kudai haki za msingi za yeyote ni masuala yasiyo hitaji ridhaa za asiyehusika na hasa mlalamikiwa. Haki za msingi kwa mlalamikaji haziwezi kutegemea ukubali wa mlalamikiwa. Mlalamikaji na ategemee machungu kamili kutoka kwa mlalamikiwa, ujira wa kutokuchoka kwake ni kupatikana kwa haki husika...
 17. K

  Story of Change Malezi bora kwa watoto ndani ya familia na taasisi za kielimu ni msingi bora katika kuwajenga vijana wenye maadili ,wachapakazi na waaminifu

  Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wengi wetu ni mashuhuda wa kushuka kwa maadili miongoni mwa vijana na watoto wa sasa .Vijana wengi wamekosa nidhamu si kutowaheshimu wakubwa bali hata nidhamu ya kazi imepungua sana kwenye jamii zetu. Watu wengi wamependekeza bodaboda kama...
 18. The Palm Tree

  Aina ya uongozi wa Rais Samia unafaa kwenye nchi au taifa lenye taasisi imara na huru lililojengwa katika msingi imara wa Kikatiba

  [A.] Mahojiano ya BBC na Rais wa Tanzania, Bi. Samia Suluhu Hassan yanatafakarisha sana... Mimi sifanyi tathmini ya aidha amejibu maswali vibaya au vizuri. Ninchotaka kusema ni kuwa, yamefunua vitu vipya incase kama mtu haja - notice. Nitaeleza; 1. Huyu mama kuna kila dalili kuwa she's a...
 19. peno hasegawa

  Serikali itenge fedha za kukarabati shule za Msingi nchi nzima, hali ya shule hizo ni mbaya

  Kwenye bajeti ya Serikali juu 2021/22 sijaona fedha zilizotengwa na Serikali kukarabati shule za Msingi Tanzania. Shule nyingi za Msingi Tanzania sasa zimekuwa magofu. Hapa Kilosa Mkoa wa Morogoro kuna shule ya msingi inaanguka.
 20. The Underboss

  Mwanaume kabla hujaamua kuoa ama kuzaa na mwanamke lazima ujiulize hili swali la msingi

  Mwanaume kabla hujaamua kuoa ama kuzaa, kabla hujaamua kuendeleza kizazi chako lazima ujiulize, je nikifa leo huyu mwanamke ataweza kuwalea wanangu sawasawa ama angalau vile ulivyokua unatarajia? Tuachane na kifo, ujiulize nazaa na huyu mwanamke ama namuoa, je hali yangu ya kiuchumi ikibadilika...
Top Bottom