japan

 1. Sandali Ali

  Nionesheni bodaboda aliyeagiza gari Japan au China kwa kipato cha bodaboda niache kazi ya utumishi wa umma ndani ya saa 24

  Hii sasa ni too much Unamfananishaje mtu anayekufa kama nzi hapa jijini Dar es Salaam na mtumishi wa umma? Unamfaninishaje bodaboda ambaye akipata ajali kubwa tu anakimbizwa Kijijini kwa mama yake akafie huko na mtumishi wa umma ambaye ana bima ya watu 6? Mtu akistaafu anakunja mpaka milioni...
 2. HERY HERNHO

  Kitu kisicho cha kawaida chapatikana katika pwani ya bahari ya Japan

  Kugunduliwa kwa chuma kikubwa cha mviringo kinachofanana na mpira wa miguu katika mji wa pwani ya Japan wa Hamamatsu, takriban kilomita 200 kusini magharibi mwa Tokyo, kumezua wimbi kubwa la uvumi. Mamlaka za mitaa, polisi na kikosi cha mabomu walitumwa kwenye ufukwe wa Enshuhama kuchunguza...
 3. SemperFI

  Japan kupandisha umri wa Watoto kuridhia kufanya Ngono

  Wizara ya Haki imependekeza umri wa Mtoto kuridhia kufanya tendo la Ndoa uwe miaka 16 kutoka miaka 13 ya awali ikiwa ni mabadiliko mapya ya Sheria yanayotarajiwa kudhibiti Uhalifu wa Kingono. Pendekezo hilo pia linalenga kuharamisha Ndoa za Watoto pamoja na kupanua Sheria inayoweka vikwazo kwa...
 4. mdukuzi

  Siku Mchina akianza kutengeneza magari madogo ya kutembelea, uchumi wa Japan utayumba

  Kwenye piki piki, honda na yamaha na suzuki wametolewa sokoni huku Afrika. Mabasi na malori mchina kashika soko, Yutong tatu sawa na scania moja, Kwenye malori ni hivyo hivyo. Sasa siku akiamua kutengeneza gari ndogo za kutembelea, mjapani atapata shida
 5. JanguKamaJangu

  #COVID19 China yazuia visa za wasafiri kutoka Korea Kusini, Japan sababu ya UVIKO-19

  Imechukua uamuzi huo ambao utaendelea hadi vikwazo walivyoita vya ‘kibaguzi’ dhidi ya Wachina wanaotaka kuingia katika Nchi hizo vitakapoondolewa. Japan na Korea Kusini ni baadhi ya mataifa ambayo yameweka vikwazo dhidi ya wasafiri wanaotoka China kutokana na taifa hilo kulegeza msharti ya...
 6. JanguKamaJangu

  Japan: Familia itakayohama Tokyo kulipwa Tsh. Milioni 21.3 kwa kila mtoto

  Uamuzi huo umechukuliwa na Serikali ikiwa ni katika harakati za kushawishi kupunguza idadi ya watu katika Mji huo Mkuu. Tokyo na maeneo ya jirani ya Kanagawa, Sai-tama na Chiba yanatajwa kuwa na idadi ya watu Milioni 35 ikiwa ni 28% ya watu wote wa #Japan, ambapo Serikali ina hofu ongezeko la...
 7. dracular

  Gharama za usajili wa gari aina ya townace kutoka Japan

  Habarini za majukumu ndugu zangu wa Jf. Bila kupoteza muda twende kwenye maada moja kwa moja.. Nina mpango wa kuagiza gari aina ya townace kwa ajili ya biashara nilikuwa naomba kujua kuhusu gharama za usajili ikifika hapa Tanzania mpaka iweze kuingia barabarani inaweza gharimu kiasi gani...
 8. 44mg44

  Mechi ya Ujerumani dhidi ya Japan inaanza saa ngapi kwa masaa ya hapa Tanzania?

  Nina shauku sana ya kwenda kuwaangalia Wajerumani wakiwa wanamfunga mtu! Hii mechi kali na muhimu inaanza saa ngapi wadau?
 9. Ami

  Japan alipigwa kwa nyuklia lakini ni rafiki mkubwa wa Marekani. Ni kwa sababu gani?

  Katika vita vya pili vya dunia 1945 Japan ilipigwa kwa silaha mbaya ya nyulkia na Marekani na ikabidi isalimu amri. Silaha hiyo ndiyo ilikuwa mara ya mwanzo kutumika kwenye visiwa vyake vya Hiroshima na Nagasaki. Watu wake wengi kwa mamia walikufa papo hapo na athari za vita hivyo bado...
 10. MakinikiA

  Baada ya Korea Kaskazini kurusha kombora, Korea Kusini wajibu lakini kombora lashindwa kupaa

  Marekani na Korea Kusini warusha makombora kuijibu Korea Kaskazini Korea Kusini na jeshi la Marekani wamerusha kombora baharini, Seoul inasema, ni hatua ya kujibu Korea Kaskazini kurusha kombora juu ya Japan. Makombora hayo yalirushwa katika Bahari ya Mashariki - pia inajulikana kama Bahari ya...
 11. Lanlady

  Waziri Mkuu kuelekea Japan!

  Huku bei za bidhaa zikizidi kupanda, tozo nazo kila mahali; cha kushangaza ni kwamba, hakuna jitihada zozote zinazooneshwa na viongozi wa serikali kuu katika kubana matumizi! Ziara na misafara imekuwa mingi na ya kila siku. Ni kweli hatuwezi kuwa sawa kiuchumi, lakini angalau zionekane jitihada...
 12. Nasema Uongo Ndugu Zangu

  Kassim Majaliwa akwea pipa kuelekea Japan kumzika ABE

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo Jumamosi, Septemba 24, 2022 kwenda Tokyo, Japan ambako atamwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mazishi ya ya kitaifa ya Waziri Mkuu mstaafu wa nchi hiyo, Shinzo Abe. Taratibu za kutoa heshimaza mwisho zinatarajiwa kufanyika Jumanne...
 13. JanguKamaJangu

  Filamu ya “The Royal Tour” iliyotafsiriwa Kijapan yazinduliwa Japan

  Wageni wanaotembelea Banda la Tanzania katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii yanayoendelea nchini Japan wakiangalia Filamu ya "The Royal Tour" Tanzania imetumia Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japan (Japan Tourism Expo) yanayofanyika nchini humo kuanzia tarehe 22 – 25 Septemba 2022 kuzindua...
 14. Suzy Elias

  Tetesi: Samia kuhudhuria mazishi ya Shinzo Abe Japan

  Inatarajiwa mnamo tarehe 27 mwezi huu Samia atahudhuria mazishi ya Waziri Mkuu mstaafu wa Japan Hayati Shinzo Abe. Abe alipigwa risasi iliyosababisha kifo chake.
 15. JanguKamaJangu

  Japan: Raia ajichoma moto akipinga mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe

  Raia wa Japan amelazwa hospitali baada ya kujijeruhi kwa kuchoma moto akipinga kitendo cha Serikali ya Nchi hiyo kutumia gharama kubwa kuandaa mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani Shinzo Abe aliyeuawa Julai 8, 2022. Serikali ya Japan inatarajiwa kutumia Dola Milioni 11.4 (Tsh. Bilioni 26) katika...
 16. J

  CCM ina hazina kubwa sana ya vijana mahamu, Mtanzania Ndg. Benedict Faustine Kikove Mshauri wa Maswala ya Siasa na Mahusiano kwa Umma Ubalozi wa Japan

  Kidumu Chama Cha Mapinduzi Mimi; BENEDICT FAUSTINE KIKOVE Ninashukuru kwa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wake, mama yetu mpendwa, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kunipendekeza kwenu kati ya wana CCM wengi wanaofaa kuwania nafasi hii kwa hatua hii ya...
 17. Rashda Zunde

  Tanzania yang'ara Japan

  Tanzania imekuwa nchi ya mfano duniani, baada ya Shirika la Maendeleo la Japan (JICA), kuiweka katika mpango wa kuimarisha kilimo cha uzalishaji wa mpunga barani Afrika na miradi mingine mikubwa ya kimkakati ambayo itatumia mabilioni ya fedha. Japan kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya...
 18. J

  Japan yatoa dola bilioni 30 kusaidia nchi za Afrika

  Serikali ya Japan imetangaza kutoa kiasi cha Dola za Marekani bilioni 30 katika kipindi cha miaka mitatu (2022 – 2025) kwa Nchi za Bara la Afrika ili kuziwezesha kutekeleza programu na miradi ya maendeleo itakayoleta mageuzi ya kiuchumi barani humo. Kiasi hicho cha fedha kimetangazwa kutolewa...
 19. SemperFI

  Japan: Mkuu wa Jeshi la Polisi kujiuzulu kutokana na kifo cha Shinzo Abe

  Itaru Nakamura Mkuu wa Jeshi hilo amesema kuwa ameamua kuwajibika juu ya dosari za Usalama ambazo uchunguzi ulionesha kuwa Jeshi halikumlinda ipasavyo Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe aliyeuawa Julai 8, 2022. Taarifa hiyo inakuja wakati ripoti yaUchunguzi iliyotolewa leo ikionesha kuwa...
 20. MK254

  Japan yaandaa mizinga 1,000 ya masafa marefu, yakaa mkao wa kuikabili China

  Duniani mataifa makubwa yameanza kunoa visu na makucha, yanajiweka mkao wa mapambano makali, hivi Waswahili tuko vipi, au tupo tupo tu siku ziende. Tokyo, Japan is considering the deployment of 1,000 long-range cruise missiles to boost its counterattack capability against China, the Yomiuri...
Top Bottom