bajeti ya serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ubongokid

    Tusome kidogo Bajeti ya Serikali yetu ili tunapodai uwajibikaji na haki tujue tunadai nini

    Ni Jumatatu Nyingine Mahususi kabisa ambayo ni ya kwanza kwa mwezi huu wa February wa mwaka 2024.Nikiwa hapa Ofisini kwangu na mshahara ukiwa bado haujatoka. Pamoja na andiko hili naambatanisha link ya ukurasa ambao utakupatia vitabu vya Bajeti vya Serikali yetu ili tujue Pesa yetu inapelekwa...
  2. Asante CCM

    Tulia: Tusipopitisha bajeti ya serikali Rais anaweza kuvunja bunge

    Unajiuliza, lengo ilikuwa kuwatisha hao wana ndiyo wenzake ama?! Unafikiri bunge letu litakuwa na uwezo wa kuisimamia Serikali kwa ulege lege huo?
  3. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki Hafla ya Kupokea Fedha za Msaada wa Bajeti ya Serikali kutoka EU, leo Julai 4, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Hafla ya Kupokea Fedha za Msaada wa Bajeti ya Serikali kutoka Umoja wa Ulaya (EU) katika Ukumbi wa Karambarage Hazina (Treasury Square) jini Dodoma. === Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu...
  4. benzemah

    Mambo tarajiwa bajeti ya serikali mwaka wa fedha 2023/24

    Serikali inasoma baieti vake ya mwaka wa fedha 2023/2024 leo. Bajeti hivo ni ya majumuisho itaonyesha makadirio ya jumla ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha ujao. Majumuisho yanatokana bajeti za kisekta ambazo kwa kiasi kikubwa ndiyo zinabeba mipan-go inayotaraiiwa kutekelezwa na Serikali...
  5. Roving Journalist

    Dkt. Mwigulu Nchemba awasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali 2023/24

    Maelezo ya Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), Waziri wa Fedha na Mipango, akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2023/24 na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2023/24.
  6. K

    CHADEMA yaikosoa bajeti ya Serikali 2022/23

    Leo nimemsikiliza sana Ndugu J.Mnyika akitoa ushauri juu ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23. Nimemsililiza na mengi nimekubaliana naye hasa ugumu wa maisha kwa wananchi. Anaendelea kushauri kuwa punguzo la bei ya mafuta kwa sasa bado haijamsaidia mwananchi na hivyo Serikali ione...
  7. Roving Journalist

    BAJETI YA SERIKALI 2022/23: Mwigulu Nchemba akitoa Taarifa kuhusu hali ya Uchumi

    Tufuatilie hapa kwa taarifa zote kuhusu bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22 Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajia kusoma bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23 leo Juni 14, jioni bungeni. Bajeti inayopendekezwa ni Tsh. Trilioni 41.9 ikiwa ni ongezeko...
  8. Stephano Mgendanyi

    Ajenda ya vijana katika bajeti ya Serikali iangazwe sekta zote

    AJENDA YA VIJANA KATIKA BAJETI YA SERIKALI IANGAZWE SEKTA ZOTE Na; Victoria Charles Mwanziva: (Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa) Vijana ndio dira ya maendeleo kwa Taifa lolote lile linaloendelea ulimwenguni, huwezi kuyapata maendeleo ya kweli na yenye tija kwa Taifa...
  9. peno hasegawa

    Bajeti ya Serikali ya Tanzania ilisomwa July 2021 sasa ni October 2021 Hakuna miradi ambayo imefanyika.

    Bunge la Bajeti limemalizika July2021, hadi sasa hakuna mradi Hata mmoja umeanza au umefanyika kutoka na Bajeti ya 2021/22. Ukinipa Tarura wako hoi, REA wapo hoi, tanesco wako hoi, halmashauri ziko hoi, Tanroads wako hoi, Kila Anakotembelea Rais Amess Hata kuitaja ilani ya ccm 2020/25 ...
  10. beth

    Nigeria: Serikali kukopa zaidi ya Dola Bilioni 10 kufadhili Bajeti

    Rais Muhammadu Buhari amesema Serikali imepanga kukopa zaidi ya Dola za Marekani Bilioni 10 ili kusaidia kufadhili Bajeti ya takriban Dola Bilioni 40 kwa mwaka 2022 Kumekuwa na malalamiko kuhusu Mikopo ya mara kwa mara ya Serikali lakini Rais Buhari ameendelea kusisitiza kiwango bado ni...
  11. Analogia Malenga

    Dodoma: 94% ya Wabunge waikubali bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22

    94% ya Wabunge wa Bunge la Tanzania wamepiga kur a ya ndio bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2021/22. Bungeni kulikuwa na wabunge 385 ambao kati yao 23 hawakuamua kupiga kura na 5 hawakuwepo bungeni. Bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2021/22 imekadiria kutumia Tsh. Trilioni 36.26 na...
  12. beth

    Mbunge Mwinyi: Kilimo na Ubunifu havijapewa support ipasavyo kwenye Bajeti ya Serikali

    Mbunge Abdullah Mwinyi amesema Bajeti ya Serikali haijaunga mkono ipasavyo Sekta za Kilimo na Ubunifu ambazo zinategemea kuwapa Ajira nyingi kwa Watanzania. Akichangia majadiliano Bungeni amesema, "Lazima turuhusu Ubunifu ustawi na tuulee, sekta hiyo kwa Tanzania ukilinganisha na Afrika...
  13. H

    Bajeti ya Serikali ikishasomwa inaweza kubadilishwa?

    Hivi bajeti aliyosoma Mheshimiwa Mwigulu Nchemba ni final au ipo subject to changes kulingana na Bunge litakavoijadili na je, kuna chance kuwa inaweza kubadilishwa?
  14. Roving Journalist

    Bajeti ya Serikali 2021/2022 ni Trilioni 36.33, Bodaboda na Madiwani Waneemeka, Barabara hadi Vijijini, Miradi kuendelea, Watanzania Kufunga Mkanda

    Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Nchemba leo Juni 10, 2021 katika Bunge la Tanzania jijini Dodoma saa 10:00 jioni anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mwaka wa fedha 2021/2022. Hii inakuwa bajeti ya kwanza kwa serikali ya awamu ya Sita na Waziri...
  15. robby one for really

    Bajeti ya Serikali 2021/2022: Naipongeza Serikali kwa kuitikia kilio hiki

    Pamoja ya yote yaliyomo kwenye bajeti ya mwaka 2021/2022. Nashukuru kwa serikali kwa kusikia kilio changu na mapendekezo yangu ya muda kitambo kwa baadhi ya watendaji wetu wa ngazi za chini huku. NINA MAMBO MAWILI MKUU 1. Swala la madiwani, wenyeviti wa vijiji, vitongoji pamoja na mitaa...
Back
Top Bottom