Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.
UMEKUWA UKILIPA KODI MAISHA YAKO YOTE. JE, UNAJUA NANI ALIYEVUMBUA MFUMO HUU NA KWANINI?
Kabla ya kuwepo kwa fedha, benki, serikali, au katiba... tayari kulikuwa na mtu aliyesimama mlangoni kwako akipiga hesabu ya kile unachopaswa kumpa.
Kodi ya kwanza kabisa duniani ilikusanywa miaka 5,000...
Duniani nchi zilizopata maendeleo makubwa bila mapinduzi ni chache sana, hazizidi tano ambazo ni Canada, Australia, New Zealand na Singapore.
Nchi karibia zote zenye maendeleo makubwa ya kutamanisha zilizipitia aina fulani ya mapinduzi. Hata Zanzibar kwa sasa inapiga hatua kubwa sana za maendeleo.
Huu ndio ukweli wenyewe. Miradi mingi imekuwa ikionhezea bei tofauti na gharama halisi.
Barabara ya Morogoro imebomolewa na kujengwa zaidi ya mara tatu, kwanini wasingeipanua mara moja na kujenga barabara itakayodu kwa miaka 50 ijayo? Jibu ni kwamba kwenye ubomozi kuna hela na kwenye ujenzi...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo Sept 23, 2026 ameungana na Mawaziri wenzake kutoka TAMISEMI pamoja na Maliasili na Utalii katika mkutano wa hadhara kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa muda mrefu unaohusu mipaka ya kiutawala na mpaka wa msitu wa Kazimzumbwi...
Katika kukua kwangu nimekutana na idadi ndogo sana ya watu wenye less ego.
Watu wanalinda kujiona hawafai sana, to the extent wako tayari kuku manipulate na kuku gaslight ili usipige hatua.
Hadi wazazi, wako radhi urudi mistakes zao kwa kukuacha uwe less wakati huenda wanauwezo wa kukupa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amefanya kikao kazi na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, wabunge na viongozi wa Wilaya ya Mbinga, kwa lengo la kujadili namna bora ya kuimarisha na kuharakisha utekelezaji wa miradi ya...
22 September 2026
Tandika, Dar es Salaam
Machinga wa jijini Dar es Salaam wasema maendeleo ya vitu siyo msingi wadai maendeleo ya watu
https://m.youtube.com/watch?v=pUFAOzubI44
Chinga hao wa halmashauri ya Temeke eneo la Tandika jijini Dar es Salaam waonesha uelewa mpana wa maendeleo ni nini...
Katika majira ya joto ya mwaka huu, sehemu kubwa ya eneo la kaskazini mwa dunia ilikuwa na joto kali kiasi kwamba katika baadhi ya maeneo barabara ziliyeyuka, misitu iliwaka moto, watu walipoteza maisha na hata kuyumbisha baadhi ya mifumo ya nishati. Hali hii imekumbusha tena umuhimu wa...
Wakuu habari za muda huu.
Naitwa Sarah Hizza
Umri: 24
Elimu: Shahada ya maendeleo ya jamii nilihitimu mwaka 2024.
Mahali nilipo kwa sasa: Tanga
Natafuta kazi yeyote ya halali
Mawasiliano: +255611084361
Wakitoka madarakani watalilia na kutaka HAKI maana wanajua umuhimu wa haki. Hawa wataomba hata Dunia iwasaidie watendewe haki maana haki ni kama OXYGEN.
Lakini kwa vile wakitimiza, WAKITENDA HAKI wataondoka madarakani asubuhi na mapema, ndiyo maana nguvu yao iko kwenye kupuuza Haki! MAJESHI...
Sio mara moja sio mara mbili watu wakileta changamoto zinazowakumba Watanzania humu kumekuwa na kauli chafu kutoka kwa baadhi ya wanaJF ambao nao ni Watanzania/Waafrika pia
Mfano, ukileta tatizo linalokumba jamii za Watanzania utakuta mtu anacomment "Waafrika ni nyani waliochangamka"
Kuna siku...
Hutuwezi kuwa taifa lenye nguvu imara na lenye maendeleo makubwa kama tutaondoa ushindani wa ubora .
Tunaweza kuliua taifa taratibu Kwa sababu ya kikundi Cha watu wachache wenye tamaa wadhaifu wasio na uwezo wasiotaka ushindani.
Kuanzia kwenye mfumo wa ELIMU tunaopaswa kuandaa vijana wenye...
Mnamo mwezi Jan 2026 nilisema namna Mh Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dr Hussein Ally Mwinyi anvyokonga nyoyo za wazanzibar kwa kuwaletea maendeleo endelevu kisiwani humo.
Nilisema pia haya Mwaka mmoja bada ya kuchaguliwa Mwaka 2021.
Kwa mtu ambaye naifahamu Zanzibar kabla ya Uongozi...
TULIPE KODI KWA MAENDELEO YA ZANZIBAR
Na Waheed Muhammad Ibrahim Sanya,
Msajili wa Hazina Zanzibar
Maendeleo ya mtu, jamii na taifa hayawezi kutenganishwa na uwepo wa rasilimali za kutosha za kugharamia mipango na huduma zinazohitajika na wananchi. Miongoni mwa nyenzo muhimu zaidi katika...
Demokrasia ya kiliberali (Liberal democracy) imekufa duniani, imezikiwa na utawala wa Trump, Israel na matajiri mabilionea wa dunia. Tupiganie zaidi utawala unaowajibika kuleta maendeleo ya vitu na unaowajibika kwa raia bila kujali unapatikanaje.
Ni bahati mbaya sana demokrasia imekufa kabla...
Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe vitambulisho. Lakini tunapokuwa tumetoa kitambulisho, halafu mhusika haendi kuchukua, haya ni mambo ambayo yanakwamisha malengo mapana - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.
Amesema hayo...
Watanzania wamebobea kutembea na saikolojia ya kuua Taasisi mbalimbali?
Ukiwa kama mtanzania mzalendo Toa mbinu na mikakati ya kuua chama cha CHADEMA kama Watanzania walivyoua VIWANDA...
Lengo kikawe chama kikuu cha Brifucase
Akichangia mjadala kwenye kituo cha demokrasia MH wasira alisema tujihadhari sana na kupunguza nguvu ya rais , kwa mazingira yetu tukimpunguzia sana rais nguvu nchi haitapata maendeleo.
Hizi akili zimejaa kimazoea sana.
Ni hapo majuzi tu Dr Ryoba alisema nchi zetu zinahitaji viongozi madikteta...
Maendeleo ya mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo mbaya sana ya kuharibu kundi la wanawake wenye makalio makubwa. Mitandao yote ya kijamii sasa kila kona imejaa wanawake wanaotingisha/ tikisa makalio.
Kuanzia maofisi ya umma na binafsi, Bar, Pub, barabarani, kwenye usafiri, sherehe, biashara...
Dangote ameiheshimisha sana Afrika. Refinery yake kwa sasa inachakata mapipa 700,000 kwa siku. Kwa miezi sita ya mwanzo ya mwaka huu imetengeneza faida ya dola 1.8 bilioni.
Kwa mwezi huu na mwezi ujao watauza hisa. Inaingia sokoni kama kampuni ya gharama zaidi kuwahi kuuza hisa Afrika. Gharama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.