Hii dunia sio mwamwedi ngamia kuishi congo au nguruwe kuishi jangwani.
Maisha ya dunia yana badilika na kubadilika kila siku.
Leo ulijua kuna mobile money wakati enzi za zamani ulikuwa unatuma pesa kwa kutumia basi.
Hata barua posta ziliogopa email na leo njia ambazo kwa sasa dhahabu au...
JamiAfrica na Ukuaji wa Teknolojia za Ndani
JamiAfrica inapaswa kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kukuza na kuunga mkono teknolojia za ndani. Kama mmoja wa walezi na wakongwe katika tasnia, JamiAfrica imekuwa na mchango mkubwa kwa jamii na Afrika kwa ujumla katika nyanja mbalimbali, ikiwemo...
Ukisimama au kulala chali na kunyosha mikono yako, unatengeneza msalaba.
Ndege zinazotumika kwenda hija ni alama ya msalaba
Mitaa tunayokazita kadhilika
Nyumba tuishimo mapaa yake yamejaa alama hii
Makutano yote yana alama hii
Ongeza alama yako ya msalaba halafu tuangalie kweli kama imani hii...
Habari wakuu,
Mimi ni msomaji wa humu JF kwa muda mrefu, leo naomba ushauri na pia natoa msaada kwa wanaotafuta ajira.
Kama mlivyopitia, mimi ni fresh graduate wa UDSM. Wiki iliyopita dada yangu alitaka kutuma CV yake Ajira Portal. CV yake ilikuwa 3MB, system ya Ajira inataka 1MB.
Akaenda...
Google Messages imeanza kusambaza mabadiliko mapya ya namna ya kuangalia muda wa ujumbe uliyotuma au kutumiwa na kujibu ujumbe moja kwa moja kwa njia rahisi.
Kupitia update mpya ya Google messages version ya 20260910_03_RC02
Program ya Google Messages imefanya mabadiliko kadhaa mapya kwa...
Tunapofikiria mwaka 2035, ni rahisi kufikiria magari mapya, majengo marefu na teknolojia kubwa. Lakini swali muhimu zaidi ni mtu wa kawaida atakuwa anahitaji skills gani?
Teknolojia inaweza kuwa imebadilisha kazi nyingi. AI inaweza kuwa sehemu ya kawaida ya ofisi, shule, hospitali, biashara na...
Motorola imeamua kuingia kwenye vita dhidi ya Samsung mwaka huu 2026🔥🔥.
Kampuni ya Motorola imeamua uzinduzi wa Simu mpya aina ya Motorola Signature 27 itaweza kufanyika Marekani 🇺🇸 ikiwa na lengo la kuingia kwenye ligi ya flagship zinazoshindana na simu za Galaxy. 👀🔥
Kwa ufupi tu kuhusu...
Ulishawahi kujiuliza kwa nini post yako X imezuiwa au reach yake imeshuka ghafla na kuwa ndogo? 🤔
Mtandao wa X sasa imeongeza Mfumo wa uwazi kupitia feature inaitwa “Under the Hood” ambapo mtumiaji anaweza kupata taarifa ikiwa serikali ya nchi yake 🇹🇿 au nchi fulani imeilazimisha X kuzuia au...
Katika dunia ya sasa, watu wengi huzungumzia AI (Akili Mnemba) kama teknolojia inayobadilisha maisha kwa kasi kubwa. Hata hivyo, swali moja muhimu linaibuka: Je, ni AI kweli inayotawala maisha yetu, au ni algorithm zilizopo nyuma ya pazia?
Algorithm ni seti ya kanuni na maamuzi yaliyopangwa...
Tanzania imeamua kuigusa sekta ya Teknolojia kwa njia ya kipekee 🔥🔥🔥
Wabunifu wa Tanzania wamekuja na miwani yenye AI inayolenga kuwasaidia watu wenye ulemavu wa kuona kutambua na kuelewa mazingira yanayowazunguka. 🧠👀
Miwani hii inaweza kutumia teknolojia kama kamera, AI na sauti kusaidia...
ai glasses
bongotech255
meta ai glasses
tanzania
tanzania innovation
tanzania institute of accountancy
tech tanzania
technews
technology
teknolojiateknolojia ni yetu sote
Tunatafuta vijana wenye bidii, ubunifu na shauku ya kujifunza na kufanya kazi katika teknolojia ili kujiunga na timu yetu ya AI na Social Media.
Tunatafuta watu wenye uwezo katika:
Marketing
Social Media Specialist
Content Management
Moderation (Mods)
Graphic Design
Tunathamini mtu anayejua...
BARUA YA MALALAMIKO
Tarehe: 17 Septemba 2026
KWA:
Katibu Mkuu,
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,
S.L.P. 10,
DODOMA.
YAH: MALALAMIKO KUHUSU KUCHELEWA KUTOKA KWA MIUNDO YA MITIHANI YA KIDATO CHA SITA (ACSEE) KWA WANAFUNZI WA MTAALA MPYA
Ndugu Katibu Mkuu,
Tunakuandikia kuwasilisha...
Anonymous
Thread
barua
dodoma
elimu
form six
format
katibu
katibu mkuu
kuhusu
malalamiko
mkuu
mpya
mtaala
mtaala mpya
mtihani
sayansi
sayansi na teknolojia
septemba
tarehe
teknolojia
wizara
wizara ya elimu
Serikali imesema uwekezaji kutoka kwa makampuni ya kigeni, hususan Ujerumani, haupaswi kuangaliwa kwa mtazamo wa mtaji unaoingia nchini pekee, bali pia teknolojia, ajira na fursa kwa wafanyabiashara wadogo na vijana wanaojihusisha na teknolojia.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga...
Ufaransa imeanza kuchukua hatua za kupunguza utegemezi wake kwa programu na teknolojia zinazomilikiwa na makampuni ya Marekani, hasa katika taasisi za serikali.
Hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa Ufaransa wa kulinda “uhuru wake wa kidijitali”, yaani kuhakikisha taarifa muhimu za nchi na mifumo...
Leo ni siku ya watu wanaogeuza mistari ya code kuwa teknolojia inayotumika kila siku. ❤️🔥
Kutoka kwenye Apps 📱, Websites 🌐, Games 🎮 hadi AI 🤖 nyuma ya kila teknolojia nyingi tunazozitumia kuna programmer aliyekaa chini na kuandika code.
Na cha kushangaza? 😮
256 si namba tu… ni siku...
HUDUMA ZA ARDHI KIGOMA KUNUFAIKA NA TEKNOLOJIA YA MFUMO WA e-ARDHI
KIGOMA
Hatua ya Serikali ya kuendelea kuboresha utoaji huduma za ardhi kwa njia za kidijitali imezidi kuimarika baada ya mfumo wa e-Ardhi kutua mkoani Kigoma, hatua inayolenga kurahisisha upatikanaji wa huduma hizo.
Wataalamu...
Hivi utajisikiaje ukaanza kutumia sauti yako kama Comment kwenye mtandao wa TikTok 😄.
TikTok imeanza kuifanya upande wa comments uwe ni zaidi ya maandishi tu! 😮💨📱🔥kwa kuongezea Vipengele vipya kama vile:
🎙️ Voice Comments — badala ya kuandika, unaweza kurekodi comment ya sauti hadi sekunde...
Samsung itaweza kuachia Teknolojia mpya ya Privacy Display kwenye Baadhi ya model ya Simu mpya ya Galaxy S27 sio zote.
Kwa ufupi tu Privacy Display Ni teknolojia ya ndani ya OLED inayo punguza sana kile ambacho mtu aliye pembeni anaweza kuona kwenye screen yako.
Tofauti na privacy glass ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.