mpango

  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mpango wa wazungu ni kuua kabisa taasisi ndoa

    Kuna jambo ambalo linaendelea na sio wote wamepata bahati ya kuliona. Ndoa ni baraka ya Mungu. Wazungu hawataki kabisa kukisikia kitu hiki. Walianza na ndoa za kimkataba, hawakutosheka, wakaenda kwenye ndoa za mtu na mnyama, na sasa wanakuja na ndoa za jinsia moja, na pia kuna ndoa na masanamu...
  2. Mparee2

    NIDA waje na mpango wa Vitambulisho Kidato cha nne

    Napendekeza kuwa, NIDA waje na mpango mkakati wa kuwapatia vitambulisho vya NIDA wanafunzi wote wa kidato cha nne wenye sifa. Kama taarifa zao zitachukuliwa mapema, inamaana kabla ya maliza kidato cha nne wote watakuwa wamepata vitambulisho vyao na kuepuka usumbufu usio kuwa wa lazima...
  3. Dr Akili

    Mpango wa waziri Makamba wa kupunguza bei ya petroli kwa 75% na Tanzania kuwa petrol hub umeishia wapi?

    Ni zaidi ya mwaka mmoja sasa tangia waziri wa nishati, Mh. January Makamba, atangaze mpango wa serikali utakaoiwezesha nchi yetu kuwa petrol hub itakayokuwa inasambaza mafuta haya kwa nchi nyingi za SADEC na Afrika Mashariki. Mpango ulikuwa kwa kushirikiana na nchi rafiki za OPEC+ kujengwa kwa...
  4. Ryzen

    Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

    Miaka kadhaa nyuma niliwahi kuleta uzi hapa ni jinsi gani ndoa ni scam, ni jinsi gani ndoa iko pale kumnufaisha Mwanamke. Siku za karibuni kumezuka matukio kadhaa ya mauaji ya wanandoa, au wanandoa kujiua sababu kubwa ikiwa mifarakano ya ndani ya ndoa. Kwa Muktadha huo nazidi kushikilia ule...
  5. K

    Je, ni wakati wa Makamu wa Rais Mpango kuacha unyonge na kusimamia mikopo ya nchi?

    VP Mpango tuna kuhitaji kusimama na kumsaidia Raisi kwenye masuala ya mikopo ya nchi na wizara ya fedha badala ya kukaa kinyonge nyonge kila siku. Hauja chaguliwa kwasababu ya upole pekee lakini ni kwasababu ya uwezo wako mkubwa kwenye miradi na kujua fedha sasa hata kwenye miradi na mikutano...
  6. BARD AI

    Ushindi wa Kombe la Dunia wabadili mpango wa Messi kustaafu

    Siku chache baaa ya kuiambia BBC kuwa Michuano ya Kombe la Dunia 2022 itakuwa ya mwisho kwake, Nyota Lionel Messi amebadili uamuzi huo na kueleza kuwa ataendelea kucheza kama Mchezaji wa Mabingwa wa Dunia. Messi mwenye miaka 35 ameshinda Mpira wa Dhahabu na kuwa Mchezaji Bora wa Kombe la Dunia...
  7. Roving Journalist

    Makamu wa Rais Mpango, ataka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kusimamia ubora wa elimu inayotolewa chuoni hapo

    Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kimetakiwa kusimamia ubora wa elimu inayotolewa chuoni hapo ili kuhakikisha hadhi ya Chuo na elimu ya Tanzania kwa ujumla inalindwa. Hayo yamesemwa leo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Philip Mpango wakati alipotembelea Chuo hicho...
  8. BARD AI

    Mpango mauaji ya Wayne Derek Lotter ulivyosukwa na kutekelezwa jijini Dar

    Agosti 16, 2017 jiji la Dar es Salaam na dunia kwa ujumla lilipokea taarifa ya kusikitisha ya kifo cha Wayne Lotter, Mkurugenzi wa Taasisi ya Protected Area Management System (PAMS), inayojishughulisha na harakati za kupambana na ujangili chini ya mwamvuli wa utetezi na uhifadhi wa wanyama pori...
  9. P

    Hakuna mpango wowote wa kuwanasua Watanzania na umasikini uliyotopea!

    Nilimsikiliza Rais Dkt. Samia akigusia suala la behewa zetu used akisema, zimeagizwa ili zianze kutumika kabla ya zile mpya na nzuri na zenye gharama kubwa kuja, na ambapo amesema zitakuja mwaka kesho 2023. Swali la kujiuliza, kulikuwa na uharaka gani wa kutumia pesa zingine ambazo ninahisi...
  10. Upekuzi101

    CCM mna mpango wa kuwaambia nini Watanzania wakati wa kampeni?

    Hivi kwa Tanzania ya sasa CCM Ina mpango wa kuwaambia nini wamachinga, mamantilie, wakulima, wafugaji, wachimbaji wadogo, Wafanyabiashara wadogo wanafunzi wa elimu ya juu na day workers nini pale watakapokuja kuomba kura. Mind you, hili ndo kundi kubwa la wapiga kura na ndio kundi linalokutana...
  11. Diversity

    KWELI Elon Musk ana mpango wa kuleta huduma ya intaneti kwa njia ya satelaiti (starlink) nchini Tanzania

    MADAI Inadaiwa kuwa Tovuti ya Starlink inayomilikiwa na mfanyabiashara bilionea ambaye pia ni mmiliki wa Mtandao wa Twitter, Elon Musk imetangaza mpango wa kuleta huduma ya intaneti kwa njia ya satelaiti (starlink) nchini Tanzania kati ya Januari na Machi 2023 endapo itaruhusiwa na Mamlaka ya...
  12. Mwl Athumani Ramadhani

    Ili kukabiliana na tatizo la umeme nchini, Serikali ingetumia mpango kazi huu

    Kilio cha umeme kimetamalaki kila kona nchini kwa sasa na Hii inasababishwa na serikali kutumia chanzo kikuu kimoja cha umeme KWA zaidi ya asilimia 90 ya mikoa yote. Chanzo chetu kikuu cha umeme ni maji na Sasa ukame ndio kisingizio kikuu,serikali inapaswa kuwekeza Katika vyanzo vingine vya...
  13. K

    Mpango wa Rais Samia kuimarisha huduma za kibingwa bobezi

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, imeongeza fedha za kusomesha Wataalamu bingwa na bobezi hadi kufikia shilingi Bilioni 8 kutoka Shilingi Bilioni 3 za mwaka wa fedha 2021/22, utakaosaidia kuboresha huduma kwa wananchi na kupunguza Rufaa za nje ya nchi. Mpango...
  14. BARD AI

    Mbunge ahoji sababu za Tanzania kujitoa katika mpango wa Uendeshaji Serikali kwa Uwazi

    Mbunge wa Viti Maalum, Grace Tendega amehoji ni kwa nini Serikali iliamua kujiondoa kwenye mpango wa uendeshaji wa Serikali kwa uwazi wakati silaha kubwa ya kupambana na rushwa ni uwazi. Tendega amehoji leo Jumatano Novemba 8, 2022 wakati akiuliza la msingi bungeni. Akijibu swali hilo, Naibu...
  15. Shujaa Mwendazake

    Bei ya ngano yapanda juu baada ya mpango wa nafaka wa Bahari Nyeusi kuvurugwa

    Urusi ilisitisha makubaliano hayo baada ya Ukraine kushambulia meli zilizokuwa zikihakikisha usalama wa njia za baharini. Hatima ya ngano iliongezeka kwa karibu 8% siku ya Jumatatu baada ya Urusi kujiondoa kutoka kwa makubaliano ya usafirishaji wa nafaka na Ukraine kufuatia shambulio dhidi ya...
  16. Ngongo

    Uzazi wa mpango ni lazima

    Heshima kwenu wanajamvi, Leo Rais wetu Mheshimiwa Samia katutangazia matokeo ya sensa ya watu na makazi. Ukiitazama vizuri idadi ya watu inavyoongezeka (61 million) na ukuaji wa uchumi ni wazi sasa tunatakiwa kuzalisha zaidi bidhaa mbali mbali kuliko kuzalisha watoto ambao watakuja kuangukia...
  17. JanguKamaJangu

    Mpango wa kutokomeza ukeketaji waendelea kushikiwa bango

    Viongozi wa mila wa jamii za kifugaji, kwa kushirikiana na Mangariba Wilayani Kiteto, mkoani Manyara, wameanza kutekeleza mpango wa kitaifa wa kutomokeza ukeketaji, kwa kupiga marufuku mila hiyo Kwa umoja wao wamewataka Mangariba kusalimisha zana zao kama njia mojawapo ya kutokomeza vitendo...
  18. G'taxi

    Rais Vladmir Putin asaini kuichukua rasmi mikoa minne ya Ukraine kuwa sehemu ya Urusi

    Muda huu Putin ana-sign kuzikalia mikoa minne iliyo ndani ya Ukraine. Hii inaonyesha wazi Russia ni taifa lenye nguvu sana dhidi ya watu wa ugaibuni, wangekua waafrika au waarabu, America ingesha wachakaza vibaya. Putin ni mwenye uwezo mkubwa wasiouweza ama utakao wasumbua sana. ===========...
  19. N

    'Chadema ni mpango wa Mungu', 'Mungu ibariki Chadema'; ndo kauli pekee zilizobaki za kujifariji wanachadema! Hakuna jingine teeena!

    Ndo ukweli! Kwa sasa hakuna hoja tena, ni kujifariji na kujifariji na kujisariji na kujifariji kwa kutumia mgongo wa Mungu. Ukiuliza tundu lissu anafanya nini ughaibuni? Utasikia 'chadema mpango wa mungu' Ukiuliza ilikuaje lowassa akagombea kupitia cdm? Utasikia, 'chadema mpango wa Mungu'...
  20. BigTall

    Elimu ya Uzazi wa Mpango bado ni mtihani mgumu kwa Watanzania (World Contraception Day)

    Kupata Mtoto ni kitu kizuri sana na binadamu wengi wanaishi wakiwa na ndoto hiyo, lakini ni vizuri kiumbe huyo akija wakati muafaka. Ujio wa mimba wakati huo ukiwa na mtoto mwingine mchanga au katika mazingira ambayo hujajipanga kiuchumi kuhudumia ujio mpya huwa ni mtihani kiafya na kiuchumi...
Back
Top Bottom