mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. M

  Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Yanga inakata upepo kipindi cha pili

  Naona kuna kawimbo kanaendelea kakusema yanga inakata upepo kipindi cha pili, mimi sikubaliani na icho kitu kwakuwa sijaona timu inayokata upepo ikiwa ikiwa inaruusu nafasi za wazi kwa wapinzani kunufaika nazo. Mara nyingi timu inayokata upepo aiwezi ikacheza mechi zaidi ya moja bila kuruusu...
 2. Rapa Gentamycine

  Tushaurini sisi wateja wa Halotel tuhamie mtandao gani?

  Huku Halotel tayari kumeshachafuka, hakufai tena. Vifurushi havishikiki, tushaurini tuhamie mtandao gani wakuu?
 3. FRANCIS DA DON

  Mwenge flyover ni mwisho wa matatizo. Ujenzi wake unaanza lini?

  Video kama hizi zilikuwa zinaleta hamasa kubwa sana na ikiketw fahari kuwa mTanzania , kwa sasa nchi imepoa sana. Anyway, ujenzi wa flyover ya Mwenge unaanza lini, maana hali ni mbaya sana, hapafai!
 4. Kasomi

  Nini hatima ya Nyerere Day? Lini mwisho wake?

  Huwa nakaa chini nafikiria sana juu ya Hatima yaani mwisho wa kumkumbuka au kumbukumbu ya Nyerere. Leo inatimia miaka 22 bila Mwalimu tangu alipo tutoka tarehe na mwezi kama wa leo mnamo Mwaka 1999. Maswali yangu juu ya Hatima hii leo imetimia miaka 22 pasipo kuwa na Nyerere. Je, Mwaka gani...
 5. kidadari

  Tunasubiri mwisho wa Kodi/Tozo ya REA

  Wakati asilimia kubwa ya nchi inakaribia kuunganishwa umeme hasa maeneo ya vijijini ambapo palikua hapajafikiwa kwa asilimia kubwa. Ikumbukwe kodi/tozo ya REA iliwekwa mahsusi kwa ajili ya kusaidia kupatikana kwa fedha za kusambaza umeme vijijini ambapo mpaka sasa zaidi ya 84% ya vijiji vyote...
 6. BAK

  Uzee mwisho Chalinze

 7. Superbug

  Rais Samia, Mimi kama mwananchi wako nakushauri kwa mara ya mwisho juu ya polisi, nanawa mikono juu yao

  Mh Rais Samia Mimi kama mwananchi wako nakushauri kwa mara nyingine tena ili kusiwe na hatia juu yako Ila ni wazi kabisa polisi wetu wanakuchafulia na kukutia doa utawala wako. Mpumzushe Sirro msaidie apumzike kwa heshima jeshi la polisi chini yake limechafuka Sana na Askari wengi wanaumizwa...
 8. Fundi Madirisha

  Polisi acheni kutumika kisiasa kuwalinda CCM, Corona ipo Upinzani tu, CCM hakuna?

  Nina mashaka kabisa kama kweli tuna jeshi la polisi hapa Tanzania kama siyo sehemu ya chama cha mapinduzi. Kwa sasa polisi bila haya wanatumika kisiasa kuilinda na kuitetea CCM huku wakikandamiza vyama viingine vya kisiasa. Kama CCM wanakagua utekelezaji wa Ilani yao, ni kazi ya upinzani pia...
 9. M

  Story of Change Mateso na manyanyaso wanayopata wajawazito mahospitalini mwanzo hadi mwisho wa mimba

  Inashauriwa kuwa mara tu mwanamke apatapo mimba [ujauzito] aanze kuhudhuria kliniki kwa ajili ya kupatiwa vipimo, ushauri pamoja na kujua maendeleo ya mimba [ujauzito] wake kwa kuendelea kuhudhuria kliniki katika siku alizopangiwa hadi siku atakayo zaa [jifungua]. Binafsi ninaona kuwa utaratibu...
 10. N

  Kuna uhusiano gani kati ya kuwasili kwa aliens duniani na machafuko ya siku za mwisho

  Kuna movie inayoitwa 'hornet' nimetoka kuicheki hapa karibuni, na pia niliona imerushwa kwenye channel ya maisha magic bongo ya dstv hapa juzi usiku ikiwa imewekewa script za kiswahili. Hii movie inaonekana imetolewa na serikali ya marekani na katika maelezo yake ya awali inaonekana ni...
 11. Superbug

  Nauona mwisho wa umaarufu wa Sunday Haji Manara

  Simba ni club kubwa Sana na yenye kila Aina ya ushawishi. Ukikosana na Simba tegemea nux na anguko vitakuandama. Toka Bugatti kahamia yanga ni mikosi tu inamuandama yeye na timu. 1.Kufungwa kwenye Yanga Day. 2. Aliyewafunga Ana jina baya. 3.Tukio la mama J. (Kashfa) 4. Kufungwa na Rivers ya...
 12. M

  Kiburi cha Polepole kimefika mwisho

  Katika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza kutikisa kwasasa. Muombeeni Polepole, anapoeleka ni kubaya zaidi alipotoka yeye si katibu mwenezi wa...
 13. H

  TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

  Aliyekuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Simba, Hans Pope amefariki usiku huu katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya UVIKO-19 na alinukuliwa na kituo cha E-FM akisema alikuwa ICU akipambana na maradhi hayo. Marehemu Hanspope...
 14. K

  Diamond muombe msamaha mzee Abdul la sivyo huu ndo mwisho wako

  Tokea Diamond na mama yake wamuaibishe huyu mzee kwny media, mambo si mambo kwa Diamond. jamaa kila anachofanya raia kama hawaoni kabisa katoa nyimbo tatu na zote zimebuma kama hajatoa kitu. BET akala mweleka vibaya mno. Alitangaza ujio wa raelity show na nyanya wake wa SA nayo imezimika kama...
 15. Chizi Maarifa

  Visa vya Uchawi na Ushirikina Mkoani Kigoma Mwisho wa Reli

  Kigoma Visa vya Uchawi na Ushirikina. Kigoma ni moja ya Mikoa ambayo inasifika kwa Uchawi nchini Tanzania. Huu mkoa kiasili una watu wachapa kazi sana. Si wazembe ukilinganisha na mikoa mingine yenye ushirikina kama Tanga,Pwani au Zanzibar. Kigoma maeneo ambayo yanasifika sana kwa Uchawi ni...
 16. TheDreamer Thebeliever

  Kwa mara ya kwanza mwaka huu nimeingia Ikulu ya Magogoni

  Habari wadau..! Mwaka huu nimepata bahati ya kutinga moja kwa moja white house mjengoni pale Magogoni, asikwambie mtu ikulu patamu. Wapo wanaosema 2025 mama hatagombea mimi nawaambia ni uongo, yaani hata ningekuwa mimi nisingekubali kuondoka kirahisi mjengoni kuna raha. Mama atagombea na...
 17. B

  Katiba Mpya: Mapambano yako katika Hatua za Mwisho

  Mapambano ya kudai katiba mpya ni mapambano kudai haki, uhuru na demokrasia. Demokrasia ni kuwa na utawala unaowajibika kwa wananchi. Siyo utawala unaowajibika kwa watawala. Kwenye demokrasia: 1. tozo za miamala ya simu zisingekuwapo, 2. bambikizaji za kesi zisingekuwapo, 3. polisi...
 18. The bump

  Nafasi ya kazi kwa mwanamke, eneo Mbezi Mwisho...

  Natafuta mwanamke anaeweza kutumia kompyuta kwa ajili ya kufanya kazi ya kuingiza nyimbo kwa wateja,Mwanamke wa umri wowote anaeweza kutumia kompyuta. najua si rahisi au yawezekana haujawahi kabisa kufanya hiyo kazi ila usijali utafundishwa na mwanamke mwenzako anaefanya kazi hiyo hiyo,kama...
 19. mdukuzi

  Koffi Olomide amekuwa cheap, amefikia mwisho

  Tunaomjua huyu mwamba kuanzia mwanzoni mwa muaka ya 90,hatuna budi kusema amefikia mwisho wa umaarufu.kipimo cha msanii aliyejuu ni kupitia diary yake,wasanii maarufu diary zao ziko full booked mwaka mzima au zaidi,sasa huyu mwamba kwa mwaka hui kazuru Tanzania mara nne kitu ambacho enzi zake...
 20. YEHODAYA

  Ukimsikiliza huyu mtu kuanzia mwanzo hadi mwisho halafu usiweze kuwa na maendeleo makubwa ya kwako binafsi basi wewe una tatizo kubwa mno

  msikilize huyu mtu ana hoja nzito zinazoweza kufanya upige hatua kubwa sana kwenye maisha yako msikilize mwanzo hadi mwisho mswahili mwenzetu huyu ana hoja nzito mno
Top Bottom