kuzamia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. February Makamba

    Nchi gani nje ya Afrika ni rahisi kwa kijana mpambanaji kufanikiwa?

    Tafadhali zingatia: Maokoto Urahisi wa ajira (za kisomi na zisizo za) Urahisi wa maisha kwa mgeni kuweza kufit haraka Ukali wa ubaguzi Urahisi wa kupata Huduma (elimu, afya, usafiri nk.) Hali ya hewa nk. Ni nchi gani ambayo ni Best kwa kijana mpambanaji kwenda ikawa rahisi kutoboa? Kwa...
  2. Boss la DP World

    Nimepata Visa ya Canada, mpango wangu ni kuzamia mazima (SIRUDI TENA)

    Wakuu naombeni kujua jimbo sahihi kuanzia maisha, ntashukia Toronto Pearson International Airport, simjui yeyote na hii ni visa ya matembezi tu kwenye documents niliwaambia ntakaa wiki 1 ila nimeapa abadani afe kipa afe beki sirudi bongo labda waniue. Mkisha nijulisha jimbo, mnijulishe na jinsi...
  3. Kalunya

    Bado una ndoto za kuzamia Ulaya?

    Wale wanaofkiri kuwa Ulaya maisha ni mazuri wala huwezi kuteseka namna ambavyo tunateseka Afrika Acha niwajuze tuu hapo unapoona pichani ni nchini Ufaransa jijini Paris hebu tazama maisha ambayo wanayoishi 😬😬😬 Kubwa zaidi ni pale mwamba hupigiwa simu na ukoo wote ili atoe msaada kwa sababu tu...
  4. Mtamba wa Panya

    Uzi wa kupeana michongo ya 'kuzamia' nchi za ng'ambo

    Habari, Huu ni uzi wa vijana tunaopenda safari, namaanisha kuzamia nchi za Ulaya na America bila kusahau Japan na Australia. Lengo Ni kusaidiana kama watanzania ili kuwezesha wengi zaidi kutimiza ndoto zao za kuishi "mambele mbele" a.k.a duniani.. Tuambie upo chimbo gani na taratibu za...
  5. T

    Kabla hujawa na matarajio makubwa, ni vizuri ukajiridhisha hali halisi ya uchumi wa nchi unayotaka kuzamia

    Kabla ya kuzamia "dream country" yako America, Asia au Ulaya jiridhishe kwanza na mwenendo wa nchi husika kiuchumi kwa kuangalia kiashiria kimojawapo ambacho ni GDP per capita kwa miaka ya 2019 na 2020 kwa mjibu wa data za Benki ya Dunia. Baadhi ya nchi data zake hakuna. NB: Ndio utaelewa kwa...
  6. Analogia Malenga

    UN: Watu 1,146 wamefariki kwa kipindi cha Januari hadi Juni wakijaribu kuzamia Ulaya

    Umoja wa Mataifa (UN) umeripoti jumal ya watu 1146 kufariki wakijaribu kufika Ulaya kwa kuzamia kwenye safari za bahari ya Antlantik na Mediterania Namba hii ni zaidi ya mara mbili ya idadi iliyorekodiwa mwaka jana. Huku wakisema idadi inaweza kuwa kubwa zaidi kwa kuwa kuna ajali nyingi za meli...
  7. IBRA wa PILI

    Latino na harakati za kuzamia ughaibuni mpaka kutoswa baharini

    Anasimulia mwaka 1998 wakati nipo shule ya msingi ndio naingia darasa la saba mama na baba walitengana, ivyo baba akamwambia mama kama unaenda we nenda ila watoto waache mama akaondoka na kutuacha na baba mim na ndugu yangu apo rasmi shule nikaacha. Na darasa la saba niliishia kunusa tu...
  8. Sonship

    Uzamiaji Afrika Kusini: Mikasa katika harakati za kuzamia Afrika Kusini kwa njia za panya

    SAFARI YA KUZAMIA AFRIKA YA KUSINI KWA NJIA ZA PANYA Sehemu ya kwanza. Utangulizi Mimi ni mtanzania mzaliwa wa Mbeya. Kwa sasa umri wangu ni wa kutosha kidogo kwa sababu nipo duniani tangu miaka ya 1980. Wakati nasoma shule ya msingi kwenye miaka ya 1990 hivi tulikuwa tunaimba nyimbo maarufu...
Back
Top Bottom