• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

hana

 1. S

  Je, ni kweli kinyonga hupasuka na kunguru hana damu?

  Habari wana JF, Nina maswal mawili yanayonichanganya kchwa chang ktk maisha yangu: 1. Nimesikia kwamba kinyonga anapozaa huwa amapanda kwenye mti mrefu na kujiachia na tumbo kupasuka watoto kutoka na mama hufa. 2. Ni kweli kuwa kunguru hana damu?
 2. muneera75

  Mwenye kalio kubwa sura ya kawaida VS hana kalio kubwa(pasi) sura nzuri...kapuku afu anajua kazi kazi au tajiri ila hajui chochote?

  Boys .. Yupi we una mfeel sana just be honest Mwenye kalio kubwa sura mbaya au ya kawaida tu..au yule hana kalio (pasi)ila sura nzuri Girls Yupi we unampenda sana..? Kapuku ila anajua kufanya mapenzi vizuri mpaka unachanganyikiwa? Au yule handsome,ana hela ila kufanya mapenzi kawaidaa...
 3. LIKUD

  Mahamud Bin Zuberi a.k.a Bin Zubery is the true definition of a person who like what he is doing

  Huyu brother anaujua Mpira wa Tz like no one else. Anawajua wachezaji WA Tanzania. Hakuna mtangazaji na mchambuzi wa soka la bongo anae ujua mpira WA bongo na wachezaji wa soka la bongo kama Mahamud Bin Zuberi. Hakuna mtangazaji WA michezo bongo mwenye kumbukumbu ya mechi za vilabu mbalimbali...
 4. Roving Journalist

  Kesi na. 456 (Jamhuri v JamiiForums): Hukumu yaahirishwa kwa mara ya nne

  Kesi namba 456 (Jamhuri v Maxence Melo na mwenzake Micke William) ambapo Kampuni ya Oilcom iliandikwa katika mtandao wa JamiiForums ikidaiwa kukwepa kodi na kuchakachua mafuta bandarini Dar imeahirishwa tena leo Februari 19, 2020 hadi Aprili 02, 2020. Hukumu hii awali ilipangwa kusikilizwa...
 5. Mwanahabari Huru

  Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD):Alipokuwa mchezaji wa Yanga, Simba walimsema ni bomu (dhaifu) na hana lolote

  Alipokuwa mchezaji wa Yanga, Simba walimsema ni bomu (dhaifu) na hana lolote. Amejiunga na Simba, sasa Simba wanasema wamesajiri jembe la uhakika. Nao Yanga wanasema Simba wamechukua bomu ambalo litawalipukia. Mchezaji mwenyewe alipokuwa Yanga, alisema yeye ni Yanga na Yanga ni yeye. Hata damu...
 6. Nyani Ngabu

  Rais Magufuli amchenjia Makonda?

  Rais Magufuli leo kasema, kama Makonda alizitumia fedha za TASAF, basi na azirudishe. Vilisikika vicheko hafifu na vya chinichini baada ya Rais kusema hivyo. Kamera nazo zikamwonyesha Makonda, aliyekuwa kakaa mbele pamoja na viongozi wengine, akitabasamu kana kwamba hana wasiwasi wowote. Yaani...
 7. Erythrocyte

  Ushuhuda: Tunaposema Shetani hana rafiki hatudanganyi

  Wakuu mtanisamehe sana kwa kuwarudisha nyuma mwaka 2015 kwenye uzinduzi wa bunge Jipya baada ya Uchaguzi Mkuu ambayo ilikuwa ndio siku ya kwanza kabisa kwa Rais mpya kulihutubia bunge hilo jipya na kulizindua. Wabunge wote wa Upinzani waliotokana na (UKAWA) walitoka nje kama ishara ya kupinga...
 8. CalvinKimaro

  Mnadhimu ambaye hana nidhamu; Vituko vya CHADEMA

  Kuna kisa cha wayunani cha kale kuwa kulitokea ubishi nani awe kiongozi wa siku. Wayunani walikuwa wanachagua kiongozi kila siku. Mtu anatawala siku ikipita anachaguliwa mwingine. Mtu hachaguliwi tena mpaka wengine wote wachaguliwe. Ikafika muda walioanza kuchaguliwa wakajihoji: hivi mpaka zamu...
 9. Da'Vinci

  Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambae hana mpango nawe.?

  Inakuaje mtu unakosa raha ya maisha kwa ajili ya mtu mmoja unaempenda hafu yeye hana mpango nawewe.. Duniani tupo watu zaidi ya 7 billion kwanini ujisumbue kung'ang'ania mtu mmoja ambae anaku-Ignore. Ukiwa peke yako unakua unamuwaza ila mwenzio hana habari nawe, unacall na kutext ila mwenzio...
 10. Young_master97

  Mpenzi wangu hana hisia tena na mimi

  Habari wana JF Naombeni ushauri,nina mpenzi wangu tuko kwenye uhusiano kwa miezi saba sasa ila hivi karibuni alibadilika gharfla akawa hanitafuti mpaka mimi nimtafute sasa ameniambia kuwa amepoteza hisia na mimi. Nilipojaribu kumwambia basi nimuache huru kakataa na kuniambia mambo ya maisha...
 11. S

  Fatma Karume atoa ujumbe huu kwa TISS

  Ni kupitia mtandao wa twitter ambapo ameandika maneno haya: Ujumbe kwa TISS: Kila mtu ana saikolojia yake. 1. Sio kila mtu anakuwa MOTIVATED na PESA 2. Sio kila mtu anaFLIGHT kuna wengine wanaFIGHT 3. Sio kila mtu anaOGOPA kufa. Kuna wengine wanajiuwa wenyewe. 4. Sio kila mtu ana AKILI kama...
 12. Mzee Mwanakijiji

  Pendekezo la Kidiplomasia: Diamond Platnumz Apewe Pasi ya Kibalozi (kama hana)

  Na. M. M. Mwanakijiji Naomba kupendekeza kuwa huyu kijana apewe rasmi hati ya kusafiria ya Kibalozi (Diplomatic Passport). Nimekuwa nikifuatilia jinsi anavyoshirikiana na wasanii wengine ndani na nje ya nchi lakini pia jinsi gani anakubalika katika sehemu mbalimbali za Afrika. Nimefuatilia kwa...
 13. Luqman mohamedy

  Profesa Ndalichako aagiza uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuwachukulia hatua viongozi wa serikali ya wanafunzi

  Mama hafahamu mwenye njaa haogopi kufa, kwani hata njaa itamuua. Kuna muda nawaza hawa watu wamesomeshwa na mission nini? Hawajui njaa kabisa. Tuliopitia huu msoto kipindi kile tunaelewa. ===== Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameuagiza uongozi wa Chuo Kikuu...
 14. Synthesizer

  Hivi serikali inawezaje kuona ni sawa mtu kukaa mahabusu tangu Juni 2017 hadi Desemba 2019 na kuachiwa huru na Mahakama kuwa hana hatia?

  Watu wanasema suala la haki ya dhamana ni suala la katiba, hapana, mie napinga kwa nguvu zote kwamba hili ni suala serikali inapaswa kulishughulikia mara moja kwa sababu lina ukosefu mkubwa wa haki za binadamu na uonevu kwa wananchi. Suala la kuwa na makosa ambayo eti hayana dhamana ni uonevu...
 15. J

  Makamu mwenyekiti wa chama cha upinzani hana madaraka wala majukumu yoyote kama aliyonayo yule wa CCM

  Nimejaribu kupitia katiba za Cuf, Nccr, Chadema, TLP na ACT wazalendo nikitaka kuona madaraka aliyonayo Makamu Mwenyekiti wa chama, kiukweli hana majukumu yoyote. Ni kama vile nafasi hii iliwekwa ili kuimarisha muungano japokuwa vyama karibia vyote vya upinzani havilizingatii hilo. Chadema kwa...
 16. KISUNZU YP

  Tabora: Mtoto kazaliwa akiwa hana miguu na mkono mmoja ila hali yake kiafya ni nzuri

  Katika hali isiyo ya kawaida amezaliwa mtoto wa kiume ambaye hana miguu yote miwili na mkono mmoja wa kuume. Mama alijifungulia nyumbani na kumleta katika kituo cha kutolea huduma za AFYA kwa msaada zaidi lakini mganga mfawidhi alijitahidi kuiwasilisha ofisi ya mganga mkuu wa Wilaya ili mama...
 17. jaji mfawidhi

  Mwakyembe ana Shahada 4 lakini hana ushawishi wa Roma Mkatoliki

  Hapo Picha inajieleza, maneno mengi sitaki wakati serikali inayo ongozwa na ma-profesa na ma phd holders ikiprove failure, na huku vituko vikizidi kila uchao, Harisson Mwakyembe ambaye wakati mmoja aliwahi kumshauri JIWE kwamba waifanye TLS (Chama Cha Wanasheria Wa Tanganyika) iwe SACCOS na...
 18. mr yamoto

  Prof. Mussa Assad: Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya

  Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya. Nasubiri kupata taarifa rasmi ya termination kwa sababu niko safarini kikazi - Prof. Mussa Assad akizungumzia uteuzi wa CAG mpya Nilipoteuliwa nilipewa barua ya uteuzi iliyoeleza mambo kadhaa ya kisheria...
 19. Dr. Wansegamila

  Dkt. Shika sasa ana maisha magumu, hana pa kuishi

  'MIA TISA ITAPENDEZA' SASA AGEUKA KUWA 'CHOKORAA' : Dokta Luois Shika maarufu hapa nchini kwa Jina la '900 Itapendeza' alipozungumza kwa uchungu na huzuni kuhusu maisha anayoishi sasa. Dokta Shika alijizolewa umaarufu mkubwa lakini katika maisha yake binafsi amekuwa na panda shuka nyingi huku...
Top