Panya road walianza mwaka 2014 wakaendelea mdogo mdogo wakaja kuibuka kuanzia 2022 mpaka leo hii, wakazi wake wengi ni kama Zanzibar, Temeke, Tandika, Chanika, Mwananyamala, Buguruni, Kinondoni n.k.
Panya road wa Zanzibar wakati mwingine hujiita ubaya ubaya.
Sasa kwa nini well organized...