tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Watu Weusi na Waislam tunaenda kutawala Dunia, Wazungu na Wachina hawazaliani tena, wamechoka

    Hii ndio Hali ya Dunia inakoekekea. Japo ndio wavumbuzi wa teknolojia za kisasa zilizorahisosha maisha hapa duniani lakini kwa sasa hawazaliani tena. China, Korea na Japan ni karibia wazee tupu, baada ya vizazi viwili watakuwa wamepungua kwa zaidi ya nusu China wapo bilioni 1.4 sasa hivi ila...
  2. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Mtu, Mfanyabiashara Na Siasa Zisizomuelewa Tena

    Mwandishi wa habari mkongwe, Ansbert Ngurumo ameandika makala hii kupitia tovuti yake ya Sauti Kubwa. Endelea... Freeman Mbowe. Kwa takribani miaka miwili sasa, Freeman Aikaeli Mbowe amekuwa akikabiliwa na kampeni isiyo ya kawaida ya kumchafua kutoka kwa baadhi ya wanachama, viongozi...
  3. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Elon Musk kawa Trillionaire tena.

    Hii ni baada ya hisa za SpaceX kupanda zaidi ya 5% na Tesla pia kuongezeka.
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Itachukua miaka mingi sana ijayo Tanzania kua na kambi rasmi ya upinzani bungeni tena.

    Kwasababu, vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania havikubaliki na wananchi kwasababu havina agenda zenye ushawishi, mashiko au maslahi mapana ya wananchi. Lakini baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani kua vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kumedumaza pakubwa kuaminika kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania unachopitia baada ya kulipiza kisasi (Revenge), Ukipewa nafasi ya kurudia utafanya maamuzi yale yale ?

    Ukipewa nafasi ya kurudia maisha yako, ukarudishwa kwenye ule muda ambao uliamua kulipiza kisasi… 👉 Utafanya maamuzi yale yale? Au leo, ukiwa umeona madhara yake, ungechagua kusamehe, kuondoka, au kunyamaza? Hebu sema ukweli bila kuogopa kuhukumiwa: Ukipewa nafasi ya pili, ungefanya...
  6. Isenye

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ameanza kuvaa chupi aina ya bikini, nilimuonya kabla ila nashangaa amerudia tena

    Jambo Tanzania Miezi kama nane huko nyuma mke wangu alianza kuvaa chupi aina ya bikini,nikamuonya akaacha, Sasa juzi kati naona tena kaanza kuzivaa nimemuuliza anasema ndio fashion ya mjini kwa sasa kwani hata mashosti zake wote wanavaa bikini. Sasa wakuu,binafsi nituonavyo huto tuchupi...
  7. albab

    JamiiForums Tanzania Club ya Rio-De-Janeiro iliyopo bukoba mjini sio salama tena kuelekea mvua za Elnino

    Kwa muda mrefu kumekua na malalamiko dhidi ya club ya Rio De janeiro iliyopo BuKoba Mjini mali ya Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Bukoba Mjini JOAS MUGANYIZI ZACHWA @ PEDESHEE kwamba imejengwa karibu kabisa na Mto Kanoni kinyume na sheria za NEMC. Mara zote walioleta hoja hii wameonekana wabaya kwa...
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Huyu Boss mwenye Custom Number Plate 888 Ni nani? Yupo humu JF?

    Mi nikajua Number Plate hazitakiwi kufanana? Asa Tajiri ana Culinan, G Wagon, RR, Benz, zote number 888. Ni wewe 888I
  9. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Wamefungwa tena bhwanaa.

    Sijamsema mtu Wala timu ya mtu. Lakini niseme,wamefungwa tena bhwanaa.Uzi tayari.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kumekucha tena! Sikiliza cheàp politics!

    Uongo, uongo, uongo! Cheap politics za CCM
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini Tanzania bado haijapata tena mpinzani mwenye nguvu ya kiuchumi na ushawishi wa kisiasa kama hayati Edward Ngowai Lowasa?

    Je, ni kwasababu wapinzani waliopo sasa wameshindwa kabisa kujikomboa wao wenyewe kiuchumi na hivyo automatically wamekosa ushawishi na kuaminika kisiasa kwa wananchi? Nini kifanyike walau wawepo wanasiasa wa upinzani Tanzania, ambao hata kama ni wanyonge kiuchumi, basi walau wawe na agenda au...
  12. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwasababu ya "Bad Weather", Tesla wamesogeza Mbele Tena Event ya Roadster 2, sasa ni October 15.

    Tulitegemea tar 1 October, Tesla wafanye event ya kuzindua Roadster 2, ila imeshindikana kutokana na kutegemea kua na bad weather na Tesla wanasema hii event lazima ifanyike nje. Kwa heshima yenu, naomba tukutane week mbili zijazo, Tesla watushangaze. Kwanini wanalazimisha ifanyike nje? Au ni...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mabasi na malori msikubali yaishe hadi suala la kurenew leseni ya Class C litatuliwe

    Madereva wa mabasi na malori ngoma bado mbichi; wanaweza wakawa wamemaliza suala la kukatwa point za leseni lakini suala la ku-renew leseni ya Cass C bado. Dereva huwezi ukawa una uzoefu wa kuendesha gari miaka 30 leo unaambiwa ukasomee. Sheria hii ilipaswa kutumika kwa maderava wapya...
  14. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Machozi ya Kina Mama Makwa: Pombe Haramu Inaacha Familia Zikilia Tena

    Makwa, Gatundu North, Kaunti ya Kiambu, imeingia tena kwenye mjadala wa pombe haramu baada ya mwanaume mmoja kuripotiwa kufariki baada ya kunywa pombe inayoshukiwa kuwa mbaya. Lakini safari hii, si taarifa ya vifo pekee inayovuta hisia. Ni video ya kina mama wakilia kwa uchungu baada ya taarifa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Miaka zaidi ya 35 imekufanya uache jambo gani ambalo zamani lilikuwa sehemu ya maisha yako ?

    Marafiki - Nipo kwenye stage ambayo nimeshakuwa mtu mzima kujua kwamba marafiki wanakuja na kuondoka, na Urafiki unajengwa mkiwa katika hali sawa mkishapishana hata mlazimishe urafiki hauwezi kudumu, Nina washkaji wengi kwasababu nimezungukwa na watu ambao niwapende au nisiwapende wana umuhimu...
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Jonathan Mabihya, Ateuliwa tena kuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Singida , ila sio maadilifu kabisa

    https://www.jamiiforums.com/threads/inadaiwa-katibu-ccm-kilimanjaro-akwapua-mamilioni-ya-fedha-za-kina-mama-moshi.2065675/
  17. Chief_mataka

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu ulanguzi wa tiketi za mabasi ya mkoani unaofanywa na mawakala

    Tarehe 13/09/2026, nilikuwa na safari kutoka Mbagala, Dar es Salaam, kuelekea mkoani Lindi. Kabla ya kwenda stendi, nilikagua upatikanaji wa tiketi mtandaoni na nikagundua kuwa karibu mabasi yote yalikuwa yamejaa kwa muda ambao nilipanga kusafiri. Niliamua kwenda Stendi ya Mbagala Rangi Tatu...
  18. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hii kesi inawavua nguo mawakili wa serikali nani wa kuwavisha tena? Njia pekee ni kuwateua wawe majaji

    Huu ni ushauri wangu kwa serikali, Yanayoendelea mahakamani ni aibu aibu aibu aibu, Tundu Lissu anawavua chupi mawakili wa serikali mchana kweupe. Ni aibu mh rais wateule wawe majaji tusiwe tunawaona mara kwa mara ni aibu
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kama umri ungerudi nyuma, kosa gani usingethubutu kulifanya tena kwenye mahusiano?

    Jana nikiwa kwenye bajaj niliwasikia Watu wazima wawili wakiongea na aliyekuwa akiendesha bajaj hiyo ambaye bado ni kijana mdogo, maongezi yaliianzia baada ya dereva bajaj kumaliza kumshusha abiria na kuanza kumuomba namba, kisha alipokaa bajaj akasema mtu mwenye mbaya kuliko mwanamke wangu ila...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hapa wamekaa pamoja tena kwa kutabasamu watu ambao miaka 10 iliopita waliwindana kuuana

    Usicheze na GEOPOLITICS
Back
Top Bottom