tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
 1. M

  Hivi inakuwaje mwezi uandame Kenya halafu Tanzania usiandame?

  Bila jazba Wala povu, nauliza? Nimeona Matangazo wenzetu Kenya wanasema wameuona Mwezi na Leo ni Idd ElFitri! Huku kwetu tunaambiwa mwezi haujaandama? Hii huwa inatokeaje, kijigrafia mbona tupo Ukanda mmoja, hili linawezekanaje? Na wala si mara ya kwanza utata huu kuwepo? Tatizo ni Nini! Ni...
 2. Suzy Elias

  Tetesi: Aibu bandari ya Tanga shehena ya clinker inayoelekea Rwanda imekwama

  Wheel loader pekee iliyokuwa inafanya shughuli ya kupakia shehena ya clinker kuelekea Rwanda imeharibika tena tokea majuzi na operation ya kupakia shehena ya clinker imekwama hali iliyosababisha msongamano mkubwa wa maroli bandarini hapo. Ikumbukwe wheel loader lile lilianza kuharibika tokea...
 3. S

  Kinana apata mapokezi ya kishindo Handeni mkoani Tanga

  Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Ndg Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa wananchi waliojitokeza kumlaki Mkata, wilayani Handeni leo, Jukapili 24 Aprili, 2022 alipowasili mkoani Tanga kwa ziara ya siku moja ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika mikoa minne. #ChamaImara #KaziIendelee
 4. E

  Huduma ya underground Water Survey - Mkoani Tanga

  Habari wadau Huduma ya utafiti na upimaji upatikanaji wa maji unaendelea sasa Tupo mkoani Tanga, kama upo mkoa wa Tanga au jirani na mkoa huu na unahitaji huduma hii basi sasa ndio wakati muafaka wa kuwasiliana nasi sasa. Kumbuka kuchimba kisima bila kufanya vipimo ni sawa na anayecheza bahati...
 5. JanguKamaJangu

  Polisi: Magari ya abiria kuingia Tanga mwisho saa sita usiku

  Jeshi la Polisi Mkoani Tanga limepiga marufuku, magari yanayosafirisha abiria kufanya safari usiku wa zaidi ya saa sita na kwamba atakaekaidi agizo hilo atachukuliwa hatua za kisheria. RPC wa Tanga, Safia Jongo amesema: “Ukiwa unatokea Dar kama hesabu zako zitakuonesha kuwa utafika Mkata zaidi...
 6. Chachu Ombara

  Tanga: Auawa wakigombania unga na dagaa

  Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linamshikilia mkazi wa kijiji cha Bwembwela wilayani Muheza kwa tuhuma za kumuua, Eliasa Omari (55) kwa kumkata mapanga akidai kumuibia unga na dagaa. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatano Aprili 20, 2022 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Safia Jongo...
 7. B

  Wakurugenzi wa halmashauri, DC na RC Tanga na Mwanza kupangiwa kazi nyingine?

  Tumeona Mhe. Waziri akionyeshwa temporary houses zisizoendana na Bei Lakini pia tumeona mateso ya machinga Mwanza. Handeni na Mwanza Jiji wameonyesha Haina ya viongozi tulionao wasiowajibika Hadi wawajibishwe. Je kuwatumbua ni adhabu tosha kwao?
 8. Faana

  Korogwe: Watu 6 wafariki Dunia, 19 wajeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka

  SITA WAFARIKI KWA AJALI TANGA. Kutoka Tanga. Watu sita wamefariki Dunia na wengine 19 wamejeruhiwa baada ya gari waliokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka wilayani Korogwe mkoani Tanga. Akithibitisha kutokea Kwa ajali hiyo kamanda wa polisi mkoa wa Tanga Safia Jongo amesema ajali hiyo...
 9. S

  Kinana ukiingia Tanga mtafute Bhoke Nyarobi, Afisa Elimu aliyenyanyaswa akaacha kazi

  Katika mapokezi ya makamu mwenyekiti wa CCM bara ndugu Abrahaman Omari Kinana jana, amesema amepewa maelekezo na mwenyekiti wake aanze kupitia baadhi ya mikoa ikiwemo mkoa wa Tanga. Kinana utakapo karibia Tanga fanya liwezekanalo hata kwa dakika chache uonane na aliyekua afisa elimu taaluma...
 10. fastum

  Nimeipenda Tanga

 11. Suzy Elias

  Mheshimiwa Makame Mbawala/Mbalawa huku TPA Tanga makumi ya maroli yamekwama.

  Makumi ya maroli ya kubeba shehena ya clinker yamekwama TPA huko Tanga kwa sababu ya kijinga kabisa! Wheel loader ya TPA Tanga imevuta miss tokea jana na mafundi wanatengeneza kwa kujisikia eti kwa madai wanamkomoa operator kwa sababu huwa hawapi chochote. Ifahamike tatizo hilo utatuzi wake...
 12. JanguKamaJangu

  Tanga: Ajali ya Fuso yaua sita wilayani Lushoto, wengine wajeruhiwa

  Watu sita wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari aina ya Fuso lenye namba za usajili T 239 AFB walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kutumbukia kwenye korongo katika eneo la barabara ya Soni/Mombo wilayani Lushoto mkoani Tanga. RPC wa Tanga, Safia Jongo amesema ajali hiyo...
 13. Suzy Elias

  Tatizo la ubovu wa kijiko cha bandari ya Tanga lakwamisha makumi ya malori ya kubeba shehena ya clinker

  Hii nchi ina vituko sana! Huko Tanga wheel loader ama kijiko kwa lugha maarufu kimekwama kupakia maroli ya kubeba shehena ya material ya kutengenezea cement yaani clinker kwa ubovu wa kuvuta miss. Hali hiyo imesababisha makumi ya maroli kukwama kubeba shehena hiyo kwa sababu hilo la mashine...
 14. BigTall

  Tanga: Ashikiliwa kwa tuhuma za kuua baada ya kumfumania mkewe

  Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linamshikilia mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Mohamedi Bakari Lukindo, mwenye umri miaka 43 kwa tuhuma za kumuua Athumani Dolly baada ya kumfumania na mke wake nyumbani kwake majira ya saa tisa usiku wa kuamkia leo, nyumbani kwake Mtaa wa Vunja Bei Wilayani...
 15. M

  Mradi wa bandari ya Tanga ulifia wapi?

  Hakuna asiyeujua umuhimu wa bandari kwa maendeleo mapana ya nchi yoyote iliyojaliwa kuwa nayo. Tunaweza kushabihisha umuhimu huo kwa kuangalia mifano halisi ya bandari zilivyochochea uchumi wa mataifa kama Singapore, Vietnam, Malaysia (bandari ya Klang), China (bandari za Dalian, Xiamen...
 16. JanguKamaJangu

  Handeni: Ajali mbaya ya magari imetokea, wanne wafariki, mashuhuda wa ajali nao wapitiwa na Coaster

  Ajali mbaya imetokea Sindeni, Handeni mkoani Tanga usiku wa kuamkia leo, idadi ya vifo na majeruhi haijatajwa, usiku wa kuamkia lo Machi 16, 2022. “Coaster ilivamia Hiace ilivyokuwa imeharibika pembeni na kuwasomba abiria wote. Ajali ni mbaya kwa kweli,” amesema Siriel Mchembe, Mkuu wa Wilaya...
 17. MPINGA UKAWA

  Nafikiria kuanzisha biashara ya kuwauzia maziwa viwanda vinasindika maziwa kama vile Tanga fresh na vinginevyo

  Wakuu nawasalimu Wakuu nimeona fursa katika biashara ya maziwa natamani sana kufanya biashara hii Biashara hii haswa natamani kuwauzia viwanda vinavyo sindika bidhaa hii Kama vile Asas , tanga fresh ,shambani milk na vinginevyo hata vidogodogo vyenye uwezo wa kuchukua kuanzia lita 50 Hadi 100...
 18. Jamii Opportunities

  Buyer II at Tanga Cement PLC

  Tanga Cement PLC believes that for employees to play their full role in the achievement of the Company’s business objectives, there should exist an on going comprehensive and effective training and development process at all levels. The company therefore invests in personal and professional...
 19. J

  Ni vema mkutano wa Kamati Kuu ya CHADEMA pakawepo ulinzi wa polisi yasije yakatokea kama ya Mrema enzi za NCCR kule Tanga

  Ni ushauri tu kwa sababu kikao hiki kinaweza kuwa cha kihistoria kufuatia mambo makubwa yaliyotokea hivi karibuni. Ni wazi kuna kamgawanyiko fulani ndani ya Chadema baada ya mwenyekiti wao Freeman Mbowe kumualika nyumbani kwake KC wa ACT wazalendo Mh Zitto Kabwe. Mwaliko ule umetafsiriwa kama...
 20. John Haramba

  Kamati inayochunguza mauaji yaongezewa siku 7, ni yale ya Mtwara, Tanga

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameridhia kuongeza muda wa siku saba kwa kamati maalum iliyopewa jukumu la kuchunguza mauaji yaliyofanyika Mtwara na Kilindi, Tanga. Kamati hiyo iliyoanza kazi Februari 4, 2022 ilipaswa kukamilisha ripoti yake ndani ya siku 14, zilizoishia Februari 17, 2022, lakini...
Top Bottom