A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single person or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.
Lazima tukubali ukweli kwamba Waswahili na Wabantu hatuna historia kubwa kuu ya kale kihivyo na kwa hiyo hatuna mengi ya kujifunza, kuchangamsha na kuimarisha misuli ya bongo zetu kutoka kwenye historia yetu na tamaduni zetu wenyewe na kati yetu.
Kwa hiyo kwa kiasi kikubwa tunahitaji...
Kwa mwanamke kipi afadhali kati ya kuwa single mother wa mwanaume tajiri/ kigogo/ mwenye uwezo wa kuhudumia mtoto wake mahitaji yote kuanzia bima ya afya ya maana hadi shule za level ya Feza au ndoa ya kudumu na mwanaume wa kawaida, masikini, kapuku, mbangaizaji ambaye watoto watasoma St Kayumba...
KAMA BABA MWENYE WATOTO. KIUKWELI SITABARIKI KIJANA WANGU AKINILETEA BINTI SINGLE MOTHER.
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli.
Baba.
Miaka yote nawafundisha Moyo usishinde Akili. Bali Akili ndio ishinde Moyo.
Akili ikishinda Moyo utakuwa na upendo lakini sio upendo wa kijinga. Utakuwa na upendo...
Binafsi, siwezi
Sababu ni moja tu.
Yaani baba wa kambo unalea mtoto , kuna wakati unaonekana mkatili na mwenye makosa pale kunakotokea kutokuelewana.
Lakini yule aliemkimbia akamuachia mzigo anaonekana kuwa sio mkatili na wakati mwingine huwa ana heshimiwa kuliko wewe uliejitoa kubeba mzigo...
Staa wa filamu na mrembo maarufu Tanzania, Wema Sepetu, ameibua mjadala mkubwa baada ya kuandika ujumbe mzito kwenye akaunti yake ya Snapchat ambao umeonekana kama kutangaza rasmi kwamba kwa sasa anaendelea na maisha kama single mother.
Kupitia Snapchat yake, Wema ameandika:
“Being a single...
MASWALI MUHIMU UNAYOTAKIWA KUMUULIZA SINGLE MOTHER KABLA HUJAFANYA MAAMUZI MAGUMU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Post hii usije ichukua kama nimekuambia Kaoe single mother. Nope! Mimi kama Kakaako, Babaako, tayari nilishakueleza kijana chini ya miaka 45 hutakiwi kuoa single mother kwa...
NB: Nina Akili Ndogo Sana
Kama rafiki yako wa maana sana alitangulia mbele za haki, jutahidi saana kuwasaidia watoto wake kuliko kulea watoto wa single mother ambaye anawasiliana kwa Siri na mzazi mwenzie.
Binafsi nimekuzwa na kulelewa na mzazi mmoja ambaye ni mama, sijawahi pata hata mapenzi ya baba nilipokuwa mwana.
Kulea mtoto binafsi bila msaada wowote ilikua ngumu sana kwa mzazi wangu lakini alijifunga shuka kiunoni na kutosalimu amri ya uvivu.
Kwakweli malezi ya mzazi mmoja pekee yana...
Waione wafuatao.
1:Single mother/baba
2: Hawakufunga ndoa
3:Wasiotoa michango kwenye kigango/jumuiya.
Wale wote Wana familia na hawajawahi kufunga ndoa awe ME au KE na single mother pamoja na single baba ikitokea hapo Kwako unahitaji huduma ya ibada ya ubarikio,mazishi,ama watoto wabatizwe...
Nilikuwa nimemwelewa single mother flani yupo tunduma, so mara kazaa nilikuwa napita mtaani kwake karibu na ofisi yake anakojumlisha viazi .
Ukizingatia umri wangu umeenda soon naikuta 40, umri niliopanga kuoa ,nilitokea kuvutiwa na yule Binti ambaye age yake 25, basi nikaomba mahusiano ...
Siku hizi wimbi la watoto kulelewa na mzazi mmoja limeshika kasi na linaonekana kama jambo la kawaida ila kwenye malezi tunajua kuna gap kubwa sana kwa mtoto na mzazi
Unaweza kuta mwanaume au mwanamke anamlea mtoto mwenyewe bila mzazi mwenzie. je ni kipi kinacho pelekea kufika ukoo?
Na wale...
90% ya wahudumu wa baa ni ma single mother na ukiwanunulia pombe na chakula unaenda kulala nae.
90% ya wahudumu wa saloon ni ma single mother na tabia zao zinajulikana.
90% ya wanaojiuza barabarani na kwenye gesti house ni single mother
90% ya single mother ni hela kwanza ili akahudumie watoto...
UKIACHWA NA SINGLE MOTHER UNAMPOTEZA NA HUYO MTOTO WAKE UNAYEMHUDUMIA. NI BIG LOSS.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Jamaa mmoja hapa ananisimulia kwa hasira kuhusu mahusiano yake yalivyo complicated, magumu sana. Mwanamke aliyekuwa anaishi naye ambaye alimkuta single mother wa mtoto mmoja...
KABLA HUJAMUOA SINGLE MOTHER JITAHIDI MJUE ALIYEZAA NAYE. KAMA AMEKUZIDI KIPATO SITISHA MAHUSIANO HARAKA. SABABU NI HIZI;
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Kwa Sisi Watibeli Tunaoa wanawake ambao wako Proudly kuwa na Sisi. Yaani wakiwa kwao jina letu linavuma, wanatutaja kwa mazuri...
Kazi yangu ni bodaboda, na nilijuana na huyu single maza kupitia kazi yangu hii, maana yeye anafanya kazi bar hivyo uwa anatoka usiku sana, basi akachukua namba yangu ikawa kila usiku anapiga simu nimfate mda wa kutoka kazinina mazoea yakaanzia hapo.
Baba mtoto wake ni dereva wa halmashauri...
Narudia kusema tena hili kwa sauti kubwa HAKUNA MWANAMKE ANAWEZA KUZAA NA MWANAUME ASIYEMPENDA HAYUPO.
Sasa kama umekubali kuishi naye na hata kumlea mtoto wetu pamoja na mzazi mwenzangu na unajua wazi Sheria ya nchi inaniruhusu kuonana na mtoto wangu kila ninapohitaji kuonana naye na hata...
Wakuu tayari kishanilamba
Huyu single mother ashaanza kuniletea mapicha picha aisee kila rangi naiona
Inafikia muda ananizuia nisimtumie mama yangu hela.
Nilidhani nimepata mke ama kweli nimeamini kuwa single mother hawaolewi.
Mabro na dadaz naombeni ushauri wenu.
Namuachaje huyu kiumbe...
MAMAAKE NI SINGLE MOTHER LAKINI KAMKATAZA ASIOE SINGLE MOTHER.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Rafiki Yangu wa shule(A'Level) na chuo kikuu amenipigia akiwa katika hali ya kuchanganyikiwa.
2. Kitabia ni Mpole, sio mtu wa maneno mengi. Mtu wa Amani, asiyetaka vuruguvurugu. Sio mtu wa...
Wadau natumai mko poa kabisa na wale wagonjwa wote Mungu awape uponyaji. Kufupisha habari mimi ni kijana ambaye nipo kwenye 3rd floor agewise kipindi bado nasoma sikuwa mtu wa mademu sana mara nyingi watu waliniita baba paroko au kwa sasa church boy. Najuta kwanini nimejitunza miaka yote 10...
Kituo kitapokea watoto wote wasiokuwa na baba au wasioshi na baba zao kutokana na migogoro ya kifamilia tumepqnga kutatua changamoto ya kimalezi ili kunusuru maadili ya taifa ili kwa kuwapatia malezi ya baba ambayo wameyakosa kwa muda mrefu kwaio sisi tutaitwa baba zao walezi.
Kwanini wazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.