Sikuwa na mpango wa kukaa mbali na mama yangu, ila tabia ya dada yangu imening'oa nyumbani

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,746
Iko hivi baada ya kutoka mjini nikiwa na mke wangu nilienda nyumbani kwa wazazi wangu baba na mama,
sasa pale kuna dada yangu ambeye namfuata yeye ameachika hivo yupo tu nyumbani anadanga

Ikumbukwe tulikuwa tunapika chakula cha pamoja tunakula kifamilia, tabia za dada yangu ni mchoyo wa chakula, anapika jikoni kila mtu anaona ila anaengda kula ndani kwake na mtoto wake mimi nikileta kitu cha kula nyumbani kinakuwa ni cha wote mpaka yeye huyu dada yangu amefuga ng'ombe wawili eti anataka mke wangu akachunge, nikazie kitu hapa, yaani mfano mkachinja kuku ikiwa ni zamu yake kupika, mtaletewa miguu kichwa shingo na mbawa.

Baba na mama hawasemi kitu kuhusu yeye japo wamemkanya mara kadhaa, nikawaambia wazazi wangu wachague moja, yeye ajipikie au mimi niwahame na narudi zangu mjini, mama alikubali dada ajipikie ila baba akamtetea kwa kumuomba aache hiyo tabia,

Hivo nikaona niwaache kuliko kukaa sehemu ambayo kila siku ni kesi ya chakula, mke wangu hakuwa na tatizo lolote kuhusu chakula ila yeye hatumii mlenda, hapo ndo dada yangu alipo mfanyia makusudi kwa kupika mlenda kila siku, japo nilijitahidi ndani dagaa zisikosekane na samaki kila wakati

Lakini sasa anatamani kuja mjini kunitembelea,
 
Kwani Danga kuu lile lihamasishaji la huo upumbavu humu JF TZ linasemaje?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wewe jamaa una akili timamu ??
Yaani unatoka huko uliko unaenda kugombea chakula na Dada yako nyumbani kwenu na una familia yako.
Wewe ndo jinga kabisa, na unakoelekea utaanza kugombea nae bwana mmoja, yaani wewe, mkeo na huyo Dada yako jinga kabisa weee
 
Iko hivi baada ya kutoka mjini nikiwa na mke wangu nilienda nyumbani kwa wazazi wangu baba na mama,
sasa pale kuna dada yangu ambeye namfuata yeye ameachika hivo yupo tu nyumbani anadanga

Ikumbukwe tulikuwa tunapika chakula cha pamoja tunakula kifamilia, tabia za dada yangu ni mchoyo wa chakula, anapika jikoni kila mtu anaona ila anaengda kula ndani kwake na mtoto wake mimi nikileta kitu cha kula nyumbani kinakuwa ni cha wote mpaka yeye huyu dada yangu amefuga ng'ombe wawili eti anataka mke wangu akachunge, nikazie kitu hapa, yaani mfano mkachinja kuku ikiwa ni zamu yake kupika, mtaletewa miguu kichwa shingo na mbawa.

Baba na mama hawasemi kitu kuhusu yeye japo wamemkanya mara kadhaa, nikawaambia wazazi wangu wachague moja, yeye ajipikie au mimi niwahame na narudi zangu mjini, mama alikubali dada ajipikie ila baba akamtetea kwa kumuomba aache hiyo tabia,

Hivo nikaona niwaache kuliko kukaa sehemu ambayo kila siku ni kesi ya chakula, mke wangu hakuwa na tatizo lolote kuhusu chakula ila yeye hatumii mlenda, hapo ndo dada yangu alipo mfanyia makusudi kwa kupika mlenda kila siku, japo nilijitahidi ndani dagaa zisikosekane na samaki kila wakati

Lakini sasa anatamani kuja mjini kunitembelea,
Hivi sio vitu vya kusema huku mkuu mambo yenu ya kifamilia malizeni kifamilia
 
Yaani binti anaachika na anakwenda kuishi kwa wazazi wake?
Hawara zake wanakuwa wana zagaa hapo nyumbani?

Ndio maana sisi mtoto wa kiume hata akiwa mdogo kiumri anakuwa mkubwa kimaamzi dhidi ya dada zake.
 
Mkuu kubali Tu hauna akili!

Kwahivyo wakati dada yako anapika mkeo amekaa anasubiria apikiwe?

Ukishafika stage ya kuoa hapaswi kukaa na wazazi na hata ukikaa wawe jirani Tu kila mtu ale kwake na apike kwake acha ujinga
 
Iko hivi baada ya kutoka mjini nikiwa na mke wangu nilienda nyumbani kwa wazazi wangu baba na mama,
sasa pale kuna dada yangu ambeye namfuata yeye ameachika hivo yupo tu nyumbani anadanga

Ikumbukwe tulikuwa tunapika chakula cha pamoja tunakula kifamilia, tabia za dada yangu ni mchoyo wa chakula, anapika jikoni kila mtu anaona ila anaengda kula ndani kwake na mtoto wake mimi nikileta kitu cha kula nyumbani kinakuwa ni cha wote mpaka yeye huyu dada yangu amefuga ng'ombe wawili eti anataka mke wangu akachunge, nikazie kitu hapa, yaani mfano mkachinja kuku ikiwa ni zamu yake kupika, mtaletewa miguu kichwa shingo na mbawa.

Baba na mama hawasemi kitu kuhusu yeye japo wamemkanya mara kadhaa, nikawaambia wazazi wangu wachague moja, yeye ajipikie au mimi niwahame na narudi zangu mjini, mama alikubali dada ajipikie ila baba akamtetea kwa kumuomba aache hiyo tabia,

Hivo nikaona niwaache kuliko kukaa sehemu ambayo kila siku ni kesi ya chakula, mke wangu hakuwa na tatizo lolote kuhusu chakula ila yeye hatumii mlenda, hapo ndo dada yangu alipo mfanyia makusudi kwa kupika mlenda kila siku, japo nilijitahidi ndani dagaa zisikosekane na samaki kila wakati

Lakini sasa anatamani kuja mjini kunitembelea,
Mpwayungu village.
 
Huyo ni dada yako tu sema nae vizuli
 
Wewe jamaa una akili timamu ??
Yaani unatoka huko uliko unaenda kugombea chakula na Dada yako nyumbani kwenu na una familia yako.
Wewe ndo jinga kabisa, na unakoelekea utaanza kugombea nae bwana mmoja, yaani wewe, mkeo na huyo Dada yako jinga kabisa weee
Pale ni kwao hanaya haki ya kwenda bhana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom