Naomba kupaza sauti kuhusu suala linalotukabili baadhi ya wachimbaji walioshiriki katika mchakato wa safari ya Canada kupitia Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA) kwa lengo la kwenda kujifunza, wamekula fedha zetu na hawataki kuzirejesha.
Washiriki tulitoa fedha...
Tunashukuru uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa kufika katika Kituo cha Afya Fumagila wiki iliyopita na kutoa maagizo kuhusu changamoto zilizokuwa zikilalamikiwa, hususan suala la utoaji na upokeaji wa fedha kwa wagonjwa.
Hata hivyo, baada ya viongozi hao kuondoka, hali inaonekana...
Anonymous
Thread
afya
control
control number
fedha
kituo
kituo cha afya
number
uchunguzi
wagonjwa
Aliyekuwa mwajiriwa wa CHADEMA kama Katibu wa Kanda ya Serengeti kuanzia Julai 27, 2013 hadi Desemba 31, 2020 anaendelea kupigania haki yake katika Mahakama kufuatia kuzungushwa na uongozi wa CHADEMA kwa muda mrefu, huenda Nzemo akalipwa fedha zake baada ya kutumia nguvu ya kisheria kudai haki yake.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb) ameiagiza Menejiment ya Hazina Saccos kuhakikisha fedha za wanachama zinalindwa kwa kiwango cha juu, huku akiwataka kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji, ukaguzi wa ndani na udhibiti wa mikopo pamoja na urejeshaji wake.
Munde aliyasema hayo...
Ningependa kutoa mrejesho kuhusu thread ya malalamiko niliyowasilisha hapo awali kuhusu kutolipwa fedha za kujikimu kwa watumishi wa Halmashauri ya Mufindi, Mkoa wa Iringa.
Soma: Mufindi: Watumishi wapya wa kada ya Tabibu Daraja la II na Maafisa Afya hatujalipwa fedha zetu za kujikimu...
Anonymous
Thread
fedhafedha za kujikimu
halmashauri
hapo
iringa
kuhusu
kujikimu
nyuma
thread
Nadharia ya Kijasusi: Nyuma ya Vifo vya Tupac na Biggie; Je, Kulikuwa na ‘Wall Street’, Polisi Mafisadi na Biashara ya Bima ya Maisha?
Wakuu, salamu.
Kwa miongo mitatu, ulimwengu unalishwa hadithi ya uongo—kwamba marapa hawa walikufa kwa sababu ya bifu la mitaani la East Coast na West Coast...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amewaagiza waajiri kuhakikisha wanatenga bajeti ya kulipa stahiki za waajiriwa wapya kabla ya kuwasilisha maombi ya kuongezewa watumishi.
Akizungumza Septemba 23, 2026, jijini Dodoma katika...
Wa JF, habari ya wakati huu, mimi nimevutiwa sana na hii biashara ya kukopesha pesa ndogondogo mtaani, naomba mwenye ufahamu wa namna ya kupata vibali vy kukopesha anifahamishe ili nianze kufuatilia vibali. Asanteni
Mwendeshaji Kipindi: Eh sasa hivi kwenye siku za hivi karibuni taarifa kubwa imekuwa ni El Niño, El Niño, El Niño. Lakini pia Mheshimiwa Rais alisisitiza mara kadhaa na hata juzi akiwa anawaapisha Wakuu wa Mikoa hapa aligusia pia hilo kwamba wananchi waendelee kupewa elimu.
Mamlaka tofauti...
Halmashauri ya Meru (Meru DC), Mkoani Arusha, inachelewesha malipo ya pesa za kujikimu kwa walimu walioajiriwa katika Mwaka wa Fedha 2025/2026.
Walimu tumekuwa tukifuatilia malipo tangu Januari hadi sasa, lakini tumekuwa tukizungushwa bila kupewa maelezo ya kueleweka. Tunaambiwa kuwa fedha hizo...
Benki ya Azania tawi la Moshi mkoani Kilimanjaro imeanzisha program ya kutoa elimu ya fedha kwa makundi mbali mbali ikiwamo vijana lengo ni kuwawezesha kuwa na uelewa mpana wa namna ya kutunza fedha
Mkakati huo utayasaidia makundi hayo kugeuza elimu hiyo kuwa fursa za kibiashara zinazotolewa...
Mtandaoni wana-hubiri fedha ila ukija kwenye maisha ya kawaida mambo ni tofauti sana
👇👇👇
Ukienda uswahilini utashangaa watu wanamaisha magumu na bado wake zao hawawakimbii ukija mtandaoni unahubiriwa utafute fedha kabla hujaingia kwenye mahusiano au ndoa- sasa mbona huku mtaani watu wanakipato...
DKT. MWIGULU: KILA KIJIJI KUWA NA SEKONDARI
▪️Aelekeza fedha zinazookolewa kwenye kubana matumizi zielekezwe kwenye huduma za wananchi.
▪️Aagiza magari ya kubeba wagonjwa yawe na mafuta, aonya wanaowachangisha wagonjwa.
▪️Ampongeza Afisa Elimu aliyesimamia shule kuongoza kitaifa.
WAZIRI...
Mfanyabiashara wa miamala ya fedha Bi. Vaileth Libaba mwenye umri wa miaka 34, mkazi wa Shewa Kata ya Mwakibete Jijini Mbeya, ameuawa na kuporwa fedha taslimu shilingi 300,000/= na simu zake mbili za mkononi za Biashara yake ya miamala na majambazi watano na kati yao watatu wanashikiliwa na...
Sisi watumishi wapya Wilaya ya Ngara walitulipa pesa nusu, mfano Diploma na Degree tuliovijijini walitulipa Sh 80,000 per day kwa siku saba badala ya Sh 130,000 per day kwa siku saba.
Pia, hatujalipwa mishahara ya mwezi wa nne 2025 hadi leo, kila wakati wanasema andika madai lakini hakuna...
Anonymous
Thread
fedhafedha ya kujikimu
kujikimu
ngara
salary
watumishi
watumishi wapya
Job Mrema: Ni sahihi ubaguzi ni kinyume na Katiba yetu ya Tanzania?
Mnyika: Ni sahihi.
Job Mrema: Yale makusanyo ya Tonetone kuna uamuzi ulifanyika kuwa kuna wachache wanufaike na wachache wasinufaike angali wengine wapo?
Mnyika: Sio Ubaguzi. Na ungetaka walipwe wote ukirudi ofisini mshauri...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchembaakiwa Bungeni leo Septemba 3, 2026 amezungumzia malipo ya wanajeshi waliopigana katika Vita ya Kagera Mwaka 1978.
Pia soma ~Mafao ya Wanajeshi waliopigana vita ya Kagera imekuwa ahadi isiyotekelezeka
Mara kadhaa Wadau mbalimbali wamekuwa wakihoji kuhusu malipo...
https://youtube.com/shorts/EeJ0AHAKwSU?si=PQTa1IHifdwM32E4
Uchaguzi wa wizi umefanya misaada mingi na wawekezaji kutoka nchi zinazojali demokrasia umepungua au kukatwa kabisa.
Sasa analaumu wengine kwa ubinafsi wake wa utekaji, wizi wa kura, undungu, uzanzibari, ufisadi, unyanyasaji wa vyama...
Timu ya taifa ya Uganda ya vijana chini ya umri wa miaka 23 ‘Kobs’, imejitoa kwenye mashindano ya kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Vijana weny umri chini ya miaka 23 (AFCON U23) 2027.
Uamuzi huo umekuja baada ya Shirikisho la Soka Uganda (FUFA) kushindwa kupata fedha za kutosha...
Fedha za OC (Other Charges) zinalenga kuwezesha uendeshaji wa shughuli za ofisi, ikiwemo kugharamia stahiki mbalimbali za watumishi zinazohusiana na utekelezaji wa majukumu yao.
Cha kusikitisha, watumishi wa kawaida wanapofanya kazi za ziada (Extra Duty) na kuwasilisha madokezo ya malipo, mara...
Anonymous
Thread
fedha
halmashauri
idara
katika
mbeya
posho
wakuu
wakuu wa idara
wilaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.