bandarini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kmbwembwe

    Je, uwekaji flow meter bandarini zinawekwa mara ngapi?

    Nchi hii vigogo wapigaji wa hela ya umma wanafikiri watu ni wajinga wote na hawana kumbukumbu. Suala la ufungaji flow meter bandarini wengi tunakumbuka lilifanyika kipindi cha awamu ya nne ya JK lakini zikawa hazitumiki kwa kuhujumiwa. Iko hivi, yaani uwekaji wenyewe ni dili maana kuna ulaji...
  2. G

    Vitu gani vya muhimu unatakiwa uwe navyo ili kutuma au kupokea mzigo bandarini?

    Habari, Kwa wale wazoefu wa kutuma mizigo na kupokea kutoka nje ya nchi kwa njia ya bandari hapa Tanzania, hivi ni vitu gani ambavyo ni vya muhimu mtu anatakiwa awe navyo wakati wa kutuma au kupokea mzigo kutoka nje ya nchi?
  3. Jicho la Tai

    Kuna shida kubwa Bandarini, Serikali ipo kimya!

    Je Hii ndio DW Word imeanza kazi? au bado bandari wanasuasua? Kuna wakati ilitoka habari humu kuwa meli zinakaa muda mrefu bila kushusha mizigo mpaka ikafikia hatua meli zinahama bandari lakini Mamlaka ya Bandari wakakanusha pengine ni ukweli ambao ulifichwa. Hii dhambi ya kukanusha taarifa...
  4. Pfizer

    TPA: Hakuna Mgomo katika Bandari ya Dar es Salaam

    Jumapili Machi 03, 2024 kupitia mitandao ya kijamii na makundi sogozi, zilisambaa taarifa za kudorora kwa utendaji kazi ya kuhudumia Meli na Shehena katika Bandari ya Dar es Salaam kunakohusishwa na mgomo wa wafanyakazi wenye madai mbalimbali likiwemo kufutiwa mikataba yao ya kazi. Kufuatia...
  5. Msanii

    Tetesi: Kuna mashaka Bandarini. Serikali itoe tamko ya kinachoendelea ili kama yanayoripotiwa ni tetesi yasilete taharuki

    Nimepitia mtandao wa X na kukuta mjadala kwenye kurasa wa Martin Maranja M asese almaarufu MMM kuhusu DP World kusitisha mikataba ya wafanyakazi ili kuleta wafanyakazi wao. Serikali ambayo ni sehemu ya huu mkataba uliopigiwa kelele na wananchi, itoe maelezo kukanusha ama kufafanua...
  6. mirindimo

    Bandarini meli zinachukua muda mrefu kuliko kawaida

    Hili suala la Bandari tatizo tumeingiza sana siasa ndani yake lakini Meli inaweza fika Dar mapema ikacheleweshwa kupangiwa siku ya kushusha mzigo kiasi kwamba kufika inaweza chukua wiki 2 au 3 halafu ikasubiri tena wiki 3 hadi 4 kupangiwa kushusha mzigo. Tanzania jamani sijui ni nani katuloga...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Zijue mashine na mitambo mbalimbali inayotumika bandarini kupakia na kupakua mizigo na shehena mbalimbali

    Leo nakuletea orodha ya mitambo na mashine mbalimbali zilizotengenezwa mahsus kwa ajili ya kupakia na kupakia mizigo na shehena mbalimbali bandarini. 1. Reach stacker Reach Stracker ni mtambo unaotumika kupanga makontena ndani ya bandari. Mtambo huu una uwezo mkubwa wa kuinua kontena na...
  8. R

    Mamlaka ya Bandari Tanzania mnapotoa ufafanuzi wa hoja kuweni makini; meli kukaa bandarini siku 20 ni sifa?

    Bandarini kuna shida, viongozi wanashangilia meli kukaa zaidi ya siku ishirini bila kukamilisha huduma. Mamlaka inatuambia ongezeko la meli kwao ni kikwazo badala ya kuwa fursa. Kibaya zaidi pamoja na mifumo waliyonayo ila wanadiriki kuwaambia waaguzaji mizigo kama wana malalamiko waende...
  9. D

    DOKEZO TAKUKURU ni kweli hamjui wanachofanya maafisa TRA bandarini

    Note. Huu ni uhalisia wa kinachoendelea bandarini na sio habari za kuchafuana. Mimi kama mmoja wa wadau wa kubwa wa sekta ya bandari nachukizwa sana na matendo yanayofanywa na maafisa wa TRA bandarini(TPA) na bandari kavu(ICDs). Wenzetu wa TRA wametugeuza customs agent kama mitaji wameset...
  10. Hapana What

    Ushuru wa bandarini ukoje?

    Ninaomba kujua ulipaji wa ushuru wa bandarini ukoje maana nahitaji kuagiza mashine toka China, mashine bei ni $ 2000 dimension zake urefu ni futi 8 upana fut 3 na kimo ni futi 4 lkn nashindwa kutokana na kutokujua gharama ya ushuru bandarini ukoje isije ikawa gharama kubwa zaidi ya mashine...
  11. M

    Ni zipi kozi fupi za Bandarini zinasaidia kupata kazi?

    Wakuu, nataka kusoma short courses zinazotolewa Chuo cha Bandari pale Tandika hivo nilikua nataka majina ya short course ambazo ukisoma labda 4 weeks utapata ajira maana kuna mtu kanambia hii ya kuendesha foko.
  12. Roving Journalist

    TRC: Kichwa cha Treni ya SGR kimefika Bandarini, Majaribio ya safari ya Dar - Moro yataanza hivi karibuni

    Mkurugenzi wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Jamila Mbarouk amesema majaribio ya kuanza kuitumia njia ya Reli ya SGR kutoka Dar es Salaama kwenda Morogoro inatarajiwa kuanza hivi karibuni kwa kuwa kichwa cha treni kimeshafika kipo bandarini. Amesema “Kichwa cha Treni...
  13. JanguKamaJangu

    Kero hii ya foleni Bandarini kwa abiria wanaotokea Zanzibar itaisha lini?

    Mamlaka husika piteni hapo Bandarini abiria wanaotoka Zanzibar wanakutana na kero ya kukaa kwenye foleni kwa muda mrefu sana hadi inakera. Hali hii imekuwa ikitokea mara nyingi lakini nimeona niseme ili kama ujumbe huu utawafikia mamlaka basi wabadilishe mbinu na ikiwezekana wachukue hatua...
  14. Lord Lofa

    DP World wameachia Bandari? TPA yatangaza kutafuta Mzabuni kuhudumia Makasha katika Terminal II

    Haya kelele za Watanzania wengi zimesikilizwa, Wenye sifa waombe kazi hiyo, tupunguze lawama.
  15. Msanii

    Tetesi: Machache aliyonieleza mfanyakazi wa TPA yana ukweli?

    Naeleza kwa ufupi. Wenye kuelewa haraka hongereni. Bajeti ya Bandari inakata Sept 2023 ambapo kwa mujibu wake anasema kuanzia Oktoba TPA itakuwa ktk wakati mgumu kwenye kujiendesha DPW walipaswa kuanza shuguli bandarini mnamo Oktoba 2023. Lakini mpaka sasa seems deal halijafikia muafaka. Siyo...
  16. The Supreme Conqueror

    Wakati KKKT wakiunga mkono Uwekezaji Bandarini Rais Samia asema hakuna wa kuligawa Taifa

    "Nimeyasikia yote uliyoyasema kuhusu usalama, amani, umoja na muendelezo wa taifa letu, niliamua kunyamaza kimya, na naendelea kunyamaza kimya, nachotaka kuwahakikishia hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuligawa taifa hili, na hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuuza taifa hili, na hakuna mwenye...
  17. benzemah

    KKKT waunga mkono uwekezaji Bandarini, TEC nao wataunga tu

    Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetoa msimamo wa kuunga mkono Uwekezaji wa Bandari. Mkuu wa Kanisa hilo, Askofu FREDRICK SHOO ametoa msimamo huo leo Agosti 21, 2023 Mkoani Arusha. ========= Nukuu ya alichozungumza Askofu Shoo Naomba ieleweke wazi Kanisa linaunga mkono...
  18. benzemah

    Mama Bonge wa Kariakoo asimama na Rais Samia Uwekezaji wa DP World Bandarini

    Mfanyabiashara maarufu wa Kariakoo, Sinyali Kimambo, maarufu kama Mama Bonge amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutorudi nyuma katika msimamo wake wa kuleta mageuzi ya uchumi nchini, ikiwemo kuvutia uwekezaji wa kampuni ya DP World kwenye bandari ya Dar es Salaam Mama Bonge, ambaye huagiza...
  19. Ngaliwe

    Chongolo: Watanzania wako tayari uwekezaji wenye tija na mabadiliko bandarini

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amesema Watanzania kwa ujumla wao wameonesha utayari na uhitaji mkubwa wa kuona uwekezaji na uendeshaji utakaoleta maboresho, ufanisi na kuongeza mapato katika Bandari ya Dar Es Salaam, hivyo ameielekeza Serikali ya Chama Cha...
Back
Top Bottom