mifugo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mifugo kuwa na bei kubwa hvi

    Short and clear Ipo hivi, ukitoa mambo mengine yote ninayoweza kufanya Kwa ajili ya kujipatia kipato na kuchangamsha akili basi ni ufugaji wa ngombe wa maziwa ,samaki, kuku na samaki na kilimo kiufupi nafurahia Sana kwenda mashambani na kukaa huko,inanisaidia Sana kupunguza stress, uchovu na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mifugo kuwa na bei kubwa hvi

    Short and clear Ipo hivi, ukitoa mambo mengine yote ninayoweza kufanya Kwa ajili ya kujipatia kipato na kuchangamsha akili basi ni ufugaji wa ngombe wa maziwa ,samaki, kuku na samaki na kilimo kiufupi nafurahia Sana kwenda mashambani na kukaa huko,inanisaidia Sana kupunguza stress, uchovu na...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu ahimiza ushirikiano wa kikanda kudhibiti magonjwa ya mifugo

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na FAO, Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH), Umoja wa Afrika, jumuiya za kikanda, na wadu wengine katika kuimarisha uwekezaji na mifumo ya kudhibiti magonjwa ya mifugo kwa lengo la kuchangia kutokomeza Sotoka ifikapo...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mkakati Mpana Afya ya Mifugo Tanzania

    “Kwa sasa, mkakati wetu hauishii katika utoaji wa chanjo pekee. Tunaimarisha mifumo ya utambuzi na ufuatiliaji wa mifugo, ufuatiliaji wa magonjwa, uchunguzi wa magonjwa katika maabara, pamoja na huduma za mifugo. Kwa maana nyingine, tunawekeza katika kujenga na kuimarisha mifumo madhubuti...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ukamate?Utaifishe Mfugo? Uue mfugaji ,kisa Mifugo imeíngia Mbugani kula Nyasi/Majani wakati wa Kiangazi ?.

    Yaan Mfugaji aloingiza Ng'ombe , Mbuzi na Kondoo wake, kula Majani na Nyasi, kuhusu yeye Kuliwa na wanyama wakali atajijua mwenyewe . Kwann sasa Ukamate Mifugo yake?? Utaifishe?? Umuue hata Mfugaji??. Ila inapotokea Tembo kala Mazao ya wakulima, kavamia makazi ya watu ,kaua watu, aaahh hiyo...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Serikali imeondoa sheria iliyokuwa ikiruhusu mifugo ya wananchi kutaifishwa na kuelekeza mapitio ya sheria na kanuni.. - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Serikali imeondoa sheria iliyokuwa ikiruhusu mifugo ya wananchi kutaifishwa na kuelekeza mapitio ya sheria na kanuni nyingine zinazohusiana na mifugo. Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani Simiyu. 📍Itilima - Simiyu. 📅 Septemba 14, 2026.
  7. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Songwe: Mwalimu auwawa akizuia mifugo isipite katikati ya Shule

    Mwalimu wa Shule ya Sekondari Galula wilayani Songwe, Nisetas Dimoso amefariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wanaodaiwa kuwa wafugaji, kufuatia jitihada zake za kuzuia mifugo kupita ndani ya eneo la shule. Mwalimu Dimoso alifariki dunia Julai 28, 2026 katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya...
  8. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Kimila wa ki-Maasai atoa wito wa kuwepo uwiano endelevu kati ya binadamu, mifugo na wanyamapori Ngorongoro

    Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia ya UNESCO kilihitimishwa katika Kituo cha Maonesho cha BEXCO jijini Busan, Jamhuri ya Korea, Julai 29, 2026. Mkutano huo wa kihistoria wa siku 10 uliidhinisha jumla ya maamuzi 28 kuhusu maeneo mbalimbali ya urithi wa dunia, huku maeneo mapya 25...
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu procedure za duka la pembejeo na mifugo (kilimo na mifugo)

    Wakuu kheri nyingi kwenu. Happy Sunday!! Nimevutiwa sana na biashara ya duka la kilimo na mifugo lakini kwakweli sijui vigezo ambavyo napaswa niwe navyo ili nifungue duka hilo na changamoto zake pia. Hivyo nilikuwa naomba sana kwa wenye uzoefu na hii biashara wanipe ABC za kuanzia na pia...
  10. Clark cian

    JamiiForums Tanzania Kwa madaktari wa mifugo wa Dar es salaam

    Habarini za muda WanaJamiiForums. Mimi ni kijana ninayesomea udaktari wa mifugo( BVM) chuo kikuu cha kilimo SUA mwaka wa mwisho. Kwa sasa nipo dar es salaam Kwa mafunzo ya vitendo (Field Attachment ) ili niweze kukamilisha elimu yangu hii ya miaka mitano. Nilikuwa naomba Sana nafasi ya kuweka...
  11. Clark cian

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa mifugo tunapitia changamoto Sana

    Habarini za Leo waungwana wa jamii Forum. Mimi ni daktari mtarajiwa wa Mifugo ninayeishi dar es salaam pande za Mbezi mwisho naipenda Sana hii kazi na ndio maana huwa naifanya Kwa uaminifu wote chini ya madaktari washauri wangu. Lililonileta hapa Leo baada ya miaka mitatu kukatika ni juu ya...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Nafasi mpya za kazi ajira portal leo kwa sekta kama mifugo, Afya, elimu, uongozi nk

    Kwa wanaotaka kuomba. kama una changamoto ya mfumo tuwasiliane kwa 0623446608 (Whatsapp na kawaida) Au 0792715343 unikusaidie kirahisi. Usisahau kuwa Mimi siyo mfanyakazi wa PSRS ila natoa msaada ingawa nimeona "flagging" ya malalamiko ya wadau. Kwa ufupi njia zangu za kusaidia watu ziko open...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Nafasi mpya za kazi ajira portal leo kwa sekta kama mifugo, Afya, elimu, uongozi nk

    Usiache kuomba na kama una changamoto tuwasiliane unikusaidie kirahisi. Usisahau kuwa Mimi siyo mfanyakazi wa PSRS ila natoa msaada ingawa nimeona "flagging" ya malalamiko ya wadau. Kwa ufupi njia zangu za kusaidia watu ziko open kulingana na utaalamu wangu ingawa sioni sababu ya kuweka public...
  14. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania KWELI Mifugo hufariki wakila maganda ya mihogo mibichi

    Katika jamii ya Kitanzania, baadhi ya mifugo kama vile mbuzi na ng’ombe hufariki wanapokula maganda ya mihogo mibichi. Hali hii huwastaajabisha wafugaji wengi, kwa kuwa mihogo hiyo huwa salama na hata tamu kwa matumizi ya binadamu, lakini inapoliwa na baadhi ya mifugo husababisha madhara...
  15. ormystatus

    JamiiForums Tanzania Koneksheni ya tenda ya kukusanya/ kununua/ kusafirisha mifugo ya kuchinja Eid (ng’ombe/ mbuzi/ kondoo)

    Habari zenu, Assalam alaykum, Shalom. Baada ya kumshuru Mwenyezimungu, shukrani zangu za dhati ziende kwa admini wa group kisha kwa wanakundi kwa support muliyonipatia kijana mimi wa miaka 25 nilipoandika andiko langu la kwanza la Kutafuta muwekezaji. Nashukuru nilifanikisha kupata na biashara...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga azuia uwanja wa mpira wa Halmashauri kutumika kwa mazoezi ili achungie mifugo yake

    Umepita mwezi sasa uwanja wa mpira wa Halmashauri ya mji umezuiliwa kutumika. Hii ni mara ya pili, mwanzo ilizuiliwa Mkurugenzi akaruhusu mazoezi kufanyika na ukafunguliwa. Ghafla tu umefungwa kila watu wakifuatilia hakuna sababu zinazoeleweka kuhusu kuzuilia watu kutofanya mazoezi hali ambayo...
  17. nitazoea

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kusimamia shamba la mifugo na kilimo yupo

    Habarini wanajukwaa.... Kwa yeyote mwenye shamba la kilimo na ufugaji na anahitaji matokeo bora katika mradi wake yupo kijana ana uzoefu wa kutosha kwenye kilimo na ufugaji hasa kuku na nguruwe, pia ni mtalaamu wa tiba za mifugo hiyo. Kiufupi kijana amenyooka katika ufugaji na kilimo na yupo...
  18. Frank Mazagazaga

    JamiiForums Tanzania Ndani ya Incubator za home made (kienyeji) Kuna Siri Ambayo Huamua Mafanikio au Hasara

    Kwa mfugaji mmoja mdogo, kifaa kimoja kilimuokoa kati ya hasara nakuleta matumaini. Andiko hili linahusu kitu ambacho wafugaji wengi hukipuuza mwanzoni — udhibiti sahihi wa joto na unyevunyevu. Kitu kinachoonekana cha kawaida, lakini madhara yake ni makubwa sana. Kuna mfugaji mmoja, alikuwa...
  19. Nchiyanguu

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kazi kwa kijana anayeweza kutunza mifugo

    FURSA FURSA Natatafuta vijana wanaoweza kufanya kazi za kutunza mifugo kama ng'ombe, mbuzi Nk Majukumu Kuandaa malisho ya wanyama Kulisha wanyama Mshahara: 100,000 Kula na kulala buree Vigezo: usiwe na umri wa zaidi ya miaka 22 Piga:0765 049 904
Back
Top Bottom