Vijana wa Lyatonga Mrema Walioanzia Siasa Nccr Mageuzi, TLP wengi sio wa Kuwaamini.
Mzee Mrema alikua mbobezi sana kwenye Kuandaa miamvuli, Vipanya ndani ya Vyama vya siasa.
Wenye akili wamenielewa.
Nccr , TLP, iliwazaa akina Mabere Marando , Godii Lema, Mch Msigwa ( karudi kazini), Josee...