Stories of Change 2023

Awamu ya Tatu. Maudhui yanayolenga kuchochea mabadiliko chanya na kupelekea kuwepo kwa Uwajibikaji au Utawala Bora

JF Prefixes:

  • Sticky
Jinsi ya kushiriki Shindano la STORIES OF CHANGE Kama tayari una Akaunti ndani ya JamiiForums.com, fungua Kivinjari chako (Browser) kisha ingia jukwaa la Stories of Change 2024 Bonyeza 'Start...
9 Reactions
16 Replies
11K Views
Upvote 47
  • Sticky
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UZINDUZI WA AWAMU YA 3 YA SHINDANO LA “STORIES OF CHANGE” Ndugu Wanahabari, JamiiForums (JF) ni asasi ya Kiraia iliyosajiliwa kufanya uchechemuzi wa Haki za...
27 Reactions
57 Replies
13K Views
Upvote 67
  • Sticky
Habari, Kama bado sio Mwanachama wa Jamiiforums unaweza kujisajili kwa kufuata hatua hizi chache na rahisi zifuatazo: 1. Pakua App ya Jamiiforums kwenye kifaa chako (Simu au Kompyuta) Katika...
4 Reactions
4 Replies
9K Views
Upvote 23
  • Sticky
Mshiriki lazima awe mwanachama wa JamiiForums, ambapo anaweza kujisajili kwa kiunganishi hiki; Register Mshiriki anaweza kutumia jina la kubuni ‘pseudonym’. Mshiriki atatakiwa kutaja jina halisi...
43 Reactions
31 Replies
45K Views
Upvote 88
Utangulizi. Baada ya kuja kwa ubepari , uhuru wa watu kufanya Biashara popote ilichangia kuwa na muingiliano wa wafanyabiashara kutoka sehemu mbalimbali Dunia . Hapo ndipo walanguzi wakubwa...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Upvote 6
Tunahitaji maji katika shughuli za kila siku za kibinadamu (kunywa, upishi na usafi), kiuchumi (kilimo na ufugaji, uvuvi, ujenzi, kuzalisha nishati, utalii, viwandani n.k) na mazingira. Katika...
7 Reactions
14 Replies
3K Views
Upvote 12
Sekta ya mifugo ina nafasi kubwa katika kujenga uchumi imara wa taifa, kuongeza kipato kwa watanzania wanaotegemea mifugo, kutoa fursa za ajira pamoja na kuhifadhi rasilimali za taifa, Jukumu...
2 Reactions
5 Replies
859 Views
Upvote 4
Zumaridi ni msumari wa moto na chachu ya mabadiliko na wala hamuwezi kumpeleka popote. Mnamnanga kwa yeye kujiita ni mungu, hivi kweli ninyi mnaakili sawa? Je mnataka kumpeleka mahakamani...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Upvote 2
ConstantineJ. Samali Mauki Utangulizi Bayogesi ni nini? Kwa mujibu wa Lucía Fernández wa Statistica (Feb 8, 2023), Bayogesi ni mchanganyiko wa gesi ya methane na hewa ya ukaa (kabonidayoksaidi)...
7 Reactions
4 Replies
1K Views
Upvote 6
UTANGULIZI : Kumekuwepo na malalamiko mengi sana kutoka kwa watanzania kuhusu utendaji kazi wa maafisa wa serikali wakiwa ndani ya ofisi za Umma. Hii kero imekuwa ya muda mrefu na ambayo...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Upvote 8
Ni saa tatu za asubuhi, nikiwa nafua nguo nje ya nyumba yangu. Nashitushwa na ujio wa ghafla wa askari mgambo wanne wenye nyuso za shari shari wakiwa wameambatana na mwenyekiti wa mtaa. Japokuwa...
11 Reactions
6 Replies
3K Views
Upvote 15
Miongoni mwa udhaifu mkubwa wa mfumo wa demokrasia ni nadharia yake ya 'wengi wape'. Nadharia maarufu ya utawala inayotaka kiongozi achaguliwe na kundi kubwa la watu bila kujali wasifu au uwezo wa...
13 Reactions
73 Replies
4K Views
Upvote 21
Kitambulisho cha taifa hutumika kuthibitisha uraia wa mwananchi kwenye taifa husika. Lakini namna ulimwengu unavyoshuhudia ukuaji wa kasi kwenye sekta ya teknolojia ni vizuri kuboresha...
351 Reactions
331 Replies
25K Views
Upvote 760
UTANGULIZI Ni ukweli usiopingika kwamba, siku hizi majanga ya kuporomoka kwa maadili katika jamii yanaongezeka tena kwa kasi sana. Miongoni mwa majanga haya ni pamoja na Ushoga, Usagaji...
13 Reactions
36 Replies
4K Views
Upvote 29
Nakumbuka vizuri kuwa ilikuwa ni mwaka 2001 nilipoanza kutumia dawa za kulevya aina ya bangi.Tofauti na watumiaji wengi wa dawa hizi kuanza kuzitumia wakiwa kwenye umri wa balehe ambao kwa wengi...
18 Reactions
36 Replies
7K Views
Upvote 37
Hello kwa miaka mitatu nipo hapa na niye nikiwapa vijana wenzangu ndugu zangu ABC za biashara ya viatu Makala namba 1 https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/36816184 Makala namba 2...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Upvote 7
Ninashauri serikali ije na mkakati mahususi kuwajengea uwezo watendaji wa serikali za mitaa, Kupitia nguvu ya uhamasishi, ushauri na usimamizi wao wananchi unufaika na utekelezaji wa miradi kadhaa...
3 Reactions
2 Replies
797 Views
Upvote 5
Uwepo wa vyoo bora ni muhimu sana katika shule ili kuhakikisha mazingira salama na afya kwa Wanafunzi ili kuwezesha suala la ufundishaji na ujifunzaji. Hata hivyo katika shule jumuishi changamoto...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 2
Utapeli wa kimapenzi kwa sasa umeshamiri katika jamii yetu. Vijana wengine wanachukulia kama imekua fasheni. Katika jamii ya sasa imekuwa ngumu kujua yupi mwenye mapenzi ya kweli au uongo. Yupi...
3 Reactions
27 Replies
7K Views
Upvote 8
UTANGULIZI Kuna fasihi pana ambayo inaunga mkono kwamba urasimishaji wa ardhi utawapa wamiliki wa ardhi manufaa ambayo ni pamoja na: dhamana ya kupata mikopo; kuongeza motisha ya kuwekeza kwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 2
Na DON YRN. Habari za wakati huu wadau wa JamiiForums?, matumaini yangu tupo salama katika ujenzi wa Taifa letu. Lengo langu kutoa mada hii siyo kuleta uchonganishi au kuchafuliana biashara...
6 Reactions
22 Replies
9K Views
Upvote 8
MOYO WA SIMBA: KUIMARISHA UJASIRI NA UADILIFU KATIKA MAAMUZI YAKO Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Maamuzi ni sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Tunafanya maamuzi madogo na makubwa...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Upvote 5
KULINDA HAKI ZA KIKATIBA: JUKUMU LA SERIKALI KATIKA KUWALINDA WANANCHI WAKATI WA MAANDAMANO YA AMANI Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Suala la maandamano na haki za wananchi ni jambo muhimu...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Upvote 9
Back
Top Bottom