14 Septemba 2021 — Rais Samia kuzindua mkakati wa Sensa
Tarehe 14 Septemba 2021, Rais Samia alizindua Mkakati wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
Alieleza umuhimu wa Sensa katika kupata taarifa za idadi ya watu, makazi...
Benki ya Azania tawi la Moshi mkoani Kilimanjaro imeanzisha program ya kutoa elimu ya fedha kwa makundi mbali mbali ikiwamo vijana lengo ni kuwawezesha kuwa na uelewa mpana wa namna ya kutunza fedha
Mkakati huo utayasaidia makundi hayo kugeuza elimu hiyo kuwa fursa za kibiashara zinazotolewa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amekutana na wasanii na watengeneza maudhui 21 aliowaita katika kikao maalumu, akisema wamepewa msamaha wa makosa yao ya awali ya jinai yaliyohusishwa na matumizi ya mitandao ya kijamii.
Soma pia: Wasanii walioitwa na Katambi leo wamesamehewa...
UZALENDO HAUNA VIPANDE
Uzalendo ni kuipenda nchi yako hata pale ambapo hakuna cheo cha kupata, hakuna pesa ya kupewa na hakuna maslahi binafsi yanayokusubiri.
Lakini uzalendo huu unaweza kuyeyuka haraka sana pale ambapo nchi yenyewe inaanza kugawanywa katika hisia, utambulisho na maslahi...
Ndejembi anaweza kudumu kwenye umakamu kwa miaka 9 au 14 kwa kigezo cha katiba mpya ambapo itasemwa rais aliyepo ataendelea mpaka 2035 au 2040 katika mfumo wa katiba mpya.
Soma pia Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais
Kama rais wa CCM mwaka 2030 atakuwa Rizimoko wa Msoga au...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maji inaendelea kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Kidunda mkoani Morogoro, mradi unaosimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), unaotekelezwa kwa gharama ya shilingi bilioni 335.
Mradi huu ni...
Serikali sasa iachane na ujenzi wa stendi za magari na masoko. Haya ni mambo yanayoweza kufanywa na watu binafsi na pia hakuna maana tena ya kujenga majengo makubwa ya kukufanya watu pamoja kama stendi na masoko.
Serikali sasa ijikite katika kujenga miondombinu ya reli na viwanja vya ndege...
Hamjambo!
Naona hasimu wa Lissu wanachokifanya kutumia mbinu ya kumchosha na kumpotezea Muda wake.
Mbinu hii kisiasa hasa zile siasa chafu inafanyaga kazi hasa kwa watu wenye misimamo mikali kama aina ya Tundu Lisu.
Kuna watu huwezi kuwashinda kwa kifo. Na hawaogopi kufa. Lakini mbele ya muda...
Na Mwandishi Wetu
Dar es Salaam.
Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaendelea kuimarisha mazingira yanayowezesha maendeleo ya sekta ya lojistiki, usafirishaji na elimu ya ufundi ili kufanikisha utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo, akisisitiza kuwa sekta hizo ni nguzo...
Katika kipindi kisichozidi wiki mbili, Tanzania imeshuhudia ongezeko la watu wanaofikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka ya ugaidi. Miongoni mwao ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), viongozi wa CHADEMA Students' Organization (CHASO), pamoja na makundi ya watuhumiwa zaidi ya 20...
Hawakosi kuposti thread hata kumi kwa siku zote zikimshambulia..
Hawa chawa Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, Dr wa Manesi, Retired, Troll J kwa mrengo wao na kujinasibu kwao hujitanabaisha kwa ujasiri na bila kificho kuwa ni wana CCM na watetezi wa Samia Suluhu Hassan wakiapa kuwa hata ikitokea...
Habari za muda huu wadau,
bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye hoja, kuna shamba la familia yangu ambalo lina madini, yaliibuka tu gafla na watu wakaanza uchimbaji baada ya muda kama mwezi tuliwasitisha watu kuendeleza shughuli kwenye hilo eneo letu.
Kwa leo nimekuja nipate abc ya namna...
Wimbi kubwa la hivi karibuni la wanachama na viongozi wanaorejea CHADEMA linapaswa kutazamwa kwa tahadhari kubwa ya kisiasa.
Ingawa hatua hii inaongeza idadi ya wanachama, kuna uwezekano mkubwa ikawa ni mpango mkakati uliosukwa na CCM ili kupandikiza mamluki, kukusanya siri za ndani, na...
Wimbi kubwa la hivi karibuni la wanachama na viongozi wanaorejea CHADEMA linapaswa kutazamwa kwa tahadhari kubwa ya kisiasa.
Ingawa hatua hii inaongeza idadi ya wanachama, kuna uwezekano mkubwa ikawa ni mpango mkakati uliosukwa na CCM ili kupandikiza mamluki, kukusanya siri za ndani, na...
Tume ilibaini kwamba vikundi vya vijana vilifunzwa kwa zaidi ya siku 28 katika maeneo ya siri. Muda huu mrefu wa mafunzo unaonyesha wazi kwamba hii haikuwa ni operesheni ya haraka bali ni mkakati ulioandaliwa kwa uangalifu mkubwa, ukithibitisha haja ya mfumo bora wa ujasusi wa mapema wa...
HUYU MAMA(RAIS SAMIA)NI MTU HATARI SANA!
George Michael Uledi.
May 6,2026.12:10AM.
(ON EMBARGO)
Mara nyingi nyota ya mtu inabeba tabia zake za ndani za "kiungu" ambazo umtofautisha na mtu/binadamu mwingine katika dunia hii.Biblia inasema kwenye KITABU cha Zaburi👇🏽👇🏽
Zaburi 147:4 na Ayubu 9:9)...
Nyumba kwa nyumba wanachama washawishiwe kujiandikisha. Iundwe timu maalumu kushughulikia hili.
Ndani ya miezi sita Chadema itakuwa na wanachama wengi.
Gen Z iwe kipaumbele. .Baada ya hapo maandamano ya kuipinga serikali ambayo haikuchaguliwa na wanannchi yaandaliwe.
KUNA mkakati wa siri unaodaiwa kupangwa na vigogo walioguswa na hoja ya ufisadi bungeni ili kumshambulia mbunge wa Gairo, Ahammed Shabiby na Kangi Lugola wa Mwibala, wote kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mkakati huo umefichuka siku moja baada ya Mkurugenzi wa taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
Vuta picha maiti za polisi wameuawa barabarani au kambini mwao ziki trend Kwa mitandao zikifuatiwa na matamko kama hayo ya black mask huko mtandaoni!
Hali itakuaje Kwa viongozi wetu ambao wamekua wakiwatumia polisi kama shielding ya matamko na power walizobeba kimamlaka dhidi ya wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.