makamu wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Shemeji wa makamu wa Rais alamba uteuzi, mashalaah

  2. Z

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Ndejembi ameanza vizuri sana. Ushauri kwa C-CEO Forum, na Latra, mabasi ya Kaskazini yaondokee Kawe, viwanja vya Tanganyika Packers.

    Makamu wa Rais Ndejembi ameanza vizuri sana. Anza dakika ya tisa. https://youtu.be/iAP0KlroFjI?si=rvQQ4kOAi75Q3BFA Point muhimu kwa c-ceo forum. Change the labour laws in Tanzania to be pro-young. Make the labour laws to allow for 50% part-time employment in the government civil service...
  3. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa Makamu wa Rais Deo dhidi ya Vijana naufanqnisha na mbwembwe za Makonda wakati yupo Arusha- hakunaga tija

    Strategies ya bwana Deo kuhusu interns kwenye corporate entities za serikali eti ndio mpango wa serikali kuwapa vijana uzoefu wa kuajirika serikalini ! Hii ni reactive strategies isiyokuwa na sustainability yoyote ahead ! Kama mpaka leo bado tunawaza kuongeza wig kwa vijana kuajiriwa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kiitifaki Makamu Wa Rais Anapaswa Kuzungumza Kama Makamu wa Rais Na Siyo Kama Rais Kamili. Ni Andiko Nililokuwa nataka Kulitoa Wakati Balozi Nchimbi

    Ndugu zangu Watanzania, Hili Ni Andiko nilikuwa nataka Kulitoa Wakati Ule Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Akiwa Makamu wa Rais . Nilitaka Kulitoa baada ya kuona kuna Mambo hayaendi sawa na kuna vitu na Matamshi yanatolewa ambayo ni kinyume na itifaki na pia ni Kinyume na majukumu na ni kinyume na...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Ndejembi akutana na Katibu Mkuu wa UN

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Mhe. Antonio Guterres, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa – New York nchini Marekani. Mazungumzo hayo yamefanyika...
  6. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kama Makamu wa Rais anaweza kunyamazishwa na wazee wa chama wasiozidi 5 na most of them wazanzibari kuna nchi hapo?

    Hili ni swali je kuna nchi ya namna hiyo hapa duniani? Kote duniani kwenye mataifa yote ya kidemokrasia na utawala wa raia viongozi hondolewa na; 1. Wananchi 2. Bunge 3. Mahakama Sasa hiki ni nini wazee? Are we MAD?
  7. polokwane

    JamiiForums Tanzania Asha rose migiro atuambie aliyekuwa makamu wa rais E.J.Nchimbi yupo wapi mana yeye ndiye alitutangazia kumvua uanachama.

    Tunahitaji jibu huyo mama atupe jibu
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Ndejembi aelekeza mgogoro wa Dampo la Pugu na mpaka wa Msitu wa Kazimzumbwi utatuliwe ndani ya siku 7

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amewaagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Waziri wa Maliasili na Utalii kufika ndani ya siku saba katika Dampo la...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Ndejembi atembelea ubalozi wa Tanzania, Vienna

    Tarehe 16 Septemba 2026 Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius John Ndejembi alitembelea Ubalozi na Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Vienna. Wakati wa ziara hiyo, Mhe. Makamu wa Rais alisaini kitabu cha wageni, kupitishwa kwenye Ofisi za...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amuwakilisha Makamu wa Rais kwa Rais wa Mfuko wa OPEC

    Mheshimiwa Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo, (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, alimwakilisha Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius John Ndejembi kwenye mazungumzo na Dkt. Abudlhamid Alkhalifa, Rais wa Mfuko wa Maendeleo wa OPEC...
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Kithure Kindiki Ahakikisha Uchaguzi Mkuu wa 2027 Utakuwa wa Haki na Uazi

    Makamu wa Rais wa Kenya, Kithure Kindiki, ametoa hakikisho kwa washirika wa maendeleo wa kimataifa na jumuiya ya kimataifa kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027 utakuwa wa haki, huru, na wa wazi bila ukiukaji wowote wa sheria. Akizungumza katika mkutano huo, Kindiki alisisitiza kuwa serikali iliyo...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Ndejembi Vienna kwa Jukwaa la IAEA

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi akiongoza kikao cha Maandalizi cha Viongozi na Wataalamu mbalimbali kutoka Tanzania, wanaoshiriki Jukwaa la Kisayansi la Wakala wa Kimataifa wa Nguvu za Atomu (IAEA Scientific Forum) mara baada ya kuwasili Vienna nchini...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Ndejembi aongoza Kikao cha maandalizi cha ujumbe wa Tanzania Vienna

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi akiongoza kikao cha Maandalizi cha Viongozi na Wataalamu mbalimbali kutoka Tanzania, wanaoshiriki Jukwaa la Kisayansi la Wakala wa Kimataifa wa Nguvu za Atomu (IAEA Scientific Forum) mara baada ya kuwasili Vienna nchini...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Taifa lina haki ya kujua Makamu wa Rais mstaafu yuko wapi, kama amepotea atafutwe

    Mnaweza kudhani kuwa kutoonekana kwa makamu wa rais mstaafu ni jambo dogo mbele ya wananchi. Hili siyo jambo dogo hata kidogo. Kutoonekana kwake hadharani kunawafanya wananchi wajiulize maswali mengi sana, miongoni mwa maswali hayo ni, 1. Je yuko hai au amekufa? 2. Je nchi hii iko salama kiasi...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais aagiza hatua za haraka kujiandaa kukabiliana na athari za mvua za El Niño

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameagiza Mamlaka na Taasisi zinazohusika kuchukua hatua za haraka kujiandaa ili kuzuia na kupunguza athari zinazoweza kusababishwa na mvua za El Niño zinazotarajiwa kuanza mwezi Oktoba 2026. Makamu wa Rais ametoa...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Ndejembi: Tuchukue hatua kwa haraka, kuna maeneo vifusi vimetelekezwa, mvua zikija barabara zinakuwa kero

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akizungumza na Viongozi wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Wizara ya Ujenzi pamoja na Taasisi zilizo chini ya Wizara hizo, katika kikao cha maandalizi ya namna ya kukabiliana...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kazi za Makamu wa Rais ikiwa Rais hayupo ofisini kwa dharura

    Kwa UZI huu nampinga Sheikh Mkuu kwa kusema at Mh Rais akiwa Eda miezi 4 na siku 10 anaweza kufanya kazi muhimu fulanifulani kinyume na Quran 2:234. We can never dilute the Quran Verses. Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, kazi na majukumu ya Makamu wa Rais...
  18. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Eda ni nini? Je, Rais Samia kuendelea kuongoza akiwa eda?

    Kifo cha Hafidh Ameir, mume wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kimeibua maswali kuhusu kipindi ambacho mwanamke Mwislamu huingia baada ya kufiwa na mume wake. Kipindi hicho kinachojulikana kama eda kina masharti gani, huchukua muda gani na kinatofautianaje na maombolezo ya kawaida? Soma...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Atangaza Msiba wa Mwenza wa Rais Samia

    TAARIFA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
  20. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Makamu wa Rais mpya, Mhe. Deogratius Ndejembi - safari yako inaanza, haya ni maoni yangu

    Wakuu, kama tunavyofahamu, hivi karibuni tumeshuhudia mabadiliko makubwa katika uongozi wa juu wa nchi yetu baada ya Dkt. Emmanuel Nchimbi kujiuzulu wadhifa wa Makamu wa Rais, na Bunge kumthibitisha Mhe. Deogratius John Ndejembi, aliyekuwa Waziri wa Nishati, kuwa Makamu mpya wa Rais. Ndejembi...
Back
Top Bottom