ujenzi

 1. Jp Omuga

  Serengeti: Ujenzi Holela Hifadhini

  Ulishawahi kusikia ujenzi holela? Basi tazama hiyo picha hapo utajifunza kitu. Huwezi amini kuwa hayo ni majengo ya mojawapo ya hoteli za kitalii zinazoendelea kuibuka kama uyoga ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti! (Ninazo picha nyingi sana, nitaambatanisha nyingine very soon!). Hivi NEMC...
 2. Hharyson

  Nunua vifaa tukujengee nyumba, pia tunatoa ushauri pamoja na mambo yahusuyo ramani karibuni

  TUNAFANYA KAZI KWA UBORA ZAIDI KUANZIA MICHORO HADI UTEKELEZAJI CALL US/WHATSUP +255624004650
 3. Boniphace Kichonge

  Dkt Bashiru akagua na kuridhishwa na ujenzi wa soko la kisasa Morogoro

  Katibu Mkuu wa CCM Dk Bashiru Ali Kakurwa leo Jumamosi Februari 15, 2020 ametembelea na kukagua hatua za mwisho ujenzi wa Soko kuu la kisasa katika Manispaa ya Morogoro. Soko hilo la kisasa linatarajiwa kukamilika Machi 30, 2020 limegharimu kiasi cha *T. Shs Billioni 11,267,070,127.77...
 4. S

  Zitto Kabwe vs Prof. Kitila Mkumbo juu ya ujenzi wa SGR

  Zitto Kabwe: Uharibifu wa Uchumi unaofanywa na Serikali yaMagufuli ni mkubwa sana. Itachukua miaka 10 kurudi Hali ya mwaka 2015 ( ambayo nayo haikuwa nzuri) iwapo ataondolewa madarakani mwaka huu. Akipata miaka 5 mingine itachukua miongo 2 ( miaka 20, two decades) na Marais 2 kurudi 2015 Zitto...
 5. Ole

  Msalato International Airport

  Africa's ambitious infrastructure: Tanzania secures $272m for new airport ''Several African countries, and the African Union itself have prioritised infrastructure development as a means of integrating the continent and connecting people to markets, with an objective of lifting millions out of...
 6. N

  Natafuta wateja wa kokoto za ujenzi

  Wanajamvi, Kampuni yetu ya SASIL LTD inatafuta wateja wa kokoto bora kabisa za kujengea barabara, madaraja,majumba nk. Bei ni maelewano na ni nafuu sana. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwenye simu namba 0782094435. Ofisi yetu ipo Dar es Salaam lakini tunaweza kupeleka mkoa wowote kwa...
 7. miss zomboko

  Tanzania yaongoza Afrika Mashariki kwa kuwa na miradi mingi ya ujenzi na yenye thamani kubwa sana. Kenya yafuata

  Wakati serikali ikiendelea kuwekeza katika miradi mikubwa ya maendeleo hasa katika sekta ya miundombinu, ripoti ya ujenzi ya The Africa Construction Trends Report (2019) iliyoandaliwa na Kampuni ya Deloitte kutoka nchini Uingereza inaonesha kuwa Tanzania inaongoza Afrika Mashariki kwa kuwa na...
 8. Kididimo

  Mawaziri wa Ujenzi na Mawasiliano katika kipindi cha miaka 10 iliyopita wawajibike: Barabara na madaraja mengi yalijengwa chini ya kiwango

  Tumejionea katika mvua hizi namna madaraja yanavyokatika kama chapati au keki. Ni aibu, mengine yana vinondo vya kama lenta za vibanda vya sokoni. Hili halisemwi, ni kwanini? Nini kinafichwa. Ukiangalia barabara nazo zinazolewa na mvua za wastani tu. Mifano ipo ya kutosha kuanzia Katavi...
 9. FRANC THE GREAT

  Israel: Ujenzi wa mfumo mpya wa ulinzi wa chini ya ardhi

  Israel imeanza hii leo kuchimba eneo la mpaka wake na Lebanon kwa ajili ya kufunga mfumo wa kujilinda utakaopita chini ya ardhi hii ikiwa ni mujibu wa jeshi la nchi hiyo. Luteni kanali Jonathan Conrius amesema kwenye mfumo huo kutafungwa vifaa vya kutambua shughuli zozote za uchokozi. Amesema...
 10. Khan

  Karibu uanze mwaka 2020 kwa kujipatia ramani na michoro bora kabisa ya Ujenzi wako

  Habari za Muda huu wadau, Poleni na majukumu ya kila siku, Ni tumaini langu mko vema kama ilivyo ada. Natumai kuna watu wanajenga msimu huu kuuanza mwaka 2020 kwa mafanikio ya aina yake, sasa iko hivi nipo hapa kuwarahishia majukumu yetu kwa namna hii, na design ramani za Nyumba (Architectural...
 11. elivina shambuni

  Bil 3/- zatua Mwanza kulipa fidia ujenzi daraja Kigongo - Busisi

  JUMLA ya Sh bilioni 3.145 zimepokelewa mkoani Mwanza na Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kwa ajili ya kuwalipa fi dia wananchi. Watu hao ni watakaopisha ujenzi wa Daraja la Kisasa la Kigongo- Busisi lililopo Wilaya za Misungwi na Sengerema mkoani Mwanza. Hilo ndilo daraja...
 12. S

  Waziri Ndalichako aagiza mhandisi, mshauri elekezi ujenzi wa VETA kukamatwa

  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Joyce Ndalichako ameagiza kukamatwa mhandisi wa mradi wa ujenzi wa chuo cha Veta mjini Sumbawanga mkoani Rukwa, Dingi Fubing na mshauri elekezi, Swalehe Kyabega kwa kutosimamia kikamilifu ujenzi huo. Sumbawanga. Waziri wa Elimu...
 13. FRANCIS DA DON

  Napendekeza ujenzi wa flyover juu ya Tazara flyover ili iwe interchange kama Ubungo

  Kwa wale wanaotoka mjini kuelekea Airport and vice versa mambo ni murua, lakini wanaotoka Buguruni kuelekea bandarini na vice versa ni kiama kama awali if not worse. Solution ni rahisi, wajenge flyover nyingine juu ya Tazara flyover ili kuokoa matrillioni ya pesa yanayopotea kutokana na malori...
 14. FRANCIS DA DON

  Ni mwaka sasa tangu ujenzi uanze, sijaona kilichofanyika Bwawa la Rufiji

  Nasikia kuna trilioni kadhaa zimeshatumbukizwa huko, nilitegemea by now kuona walau bwawa limeinuka angalau hata sentimita 50, lakini wapi! Kuna anayefahamu kinachokwamisha?
 15. JOH CARLOS

  NAKODISHA MASHINE ZA UJENZI ( pedestrian roller,plate compactor ,mixer,jumping hummer ...)

  mashine nzuri za ujenzi ,za compaction ,za kuvunja etc jumping hummer (mguu wa jini) hand roller plate compactor jerk hummer air compressor call. 0768048752
 16. elivina shambuni

  AfDB yamwaga mabilioni ujenzi barabara Mombasa - Bagamoyo

  WATU zaidi ya milioni tatu katika nchi za Tanzania na Kenya, watanufaika na Euro milioni 345 kutoka Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) kusaidia ujenzi wa barabara. Barabara zitakazohusika ni za Mombasa-Lunga Lunga/Horohoro na Tanga-Pangani-Bagamoyo katika awamu ya kwanza, ikiwa ni asilimia 78.5...
 17. elivina shambuni

  Mkoa wa Kigoma na ujenzi wa masoko kudhibiti umasikini

  MKOA wa Kigoma unatekeleza miradi miwili ya ujenzi wa masoko katika maeneo ya mpakani mwa Tanzania na Burundi ili kutatua changamoto ya mazao ya kilimo kukosa soko. Masoko hayo ni yale yanayojengwa katika Kijiji cha Muhange, wilayani Kakonko na lile la Kijiji cha Mkarazi Wilaya ya Kibondo...
 18. miss zomboko

  Benki ya Maendeleo Afrika yatoa mabilioni ya pesa kwa ajili ya ujenzi wa barabara Kenya na Tanzania

  Watu zaidi ya milioni tatu katika nchi za Tanzania na Kenya, watanufaika na Euro milioni 345 kutoka Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) kusaidia ujenzi wa barabara. Barabara zitakazohusika ni za Mombasa-Lunga Lunga/Horohoro na Tanga-Pangani-Bagamoyo katika awamu ya kwanza, ikiwa ni asilimia 78.5...
 19. N'yadikwa

  How do you say it in English "Wako katika ujenzi wa taifa"?

  Msaada tafadhali wanabodi kama mjuavyo hiki kizungu kilikuja na meli, sie zetu mashua.
Top