huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kariakoo bora ukamatwe na Trafiki si Manispaa, huduma yao lazima ikuingize matatizoni

    Sisi tunaoendesha usafiri wa Bajaj na Bodaboda hasa Taksi Mtandao tunaomba utaratibu wa Kariakoo wa kushusha abiria uwekwe wazi na katika mpangilio unaeleweka. Hatujui ni wapi pakupakia wala kushusha, tunakamatwa na kutozwa pesa nyingi kila mara imekuwa ni bora ukamatwe na Traffic Police na...
  2. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Moshi yazindua Mfumo wa E-Ardhi huduma popote, Wananchi 890 wapimiwa ardhi

    Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Ndugu Godfrey Mnzava, amekabidhi hati 50 za ardhi kwa Wananchi wa Kijiji cha Koresa, Kata ya Kirua Vunjo Kusini, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Mfumo wa Ardhi Kliniki Kidijitali, maarufu kama “E-Ardhi Huduma Popote.” Uzinduzi huo umeenda sambamba na utoaji wa elimu kwa...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Huduma ya usafiri imerejea kama kawaida

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Oystebay jijini Dar es Salaam. Pamoja na mambo mengine, Viongozi wamekubali kusitisha...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Jacqueline, Wananchi Chala, Sumbawanga wafurahia Vifaa Tiba Vya 312m vilivotolewa na Serikali

    Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkansi, Manispaa ya Sumbawanga na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Jacqueline Mzindakaya, wameeleza kufurahishwa na jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuimarisha huduma za afya, huduma za uchunguzi...
  5. huskryderz

    JamiiForums Tanzania RITA, Huduma Zafungwa Kisa "Kunyonyesha"

    Hello Wadau, Naomba tusaidiane kupaza sauti kuhusu suala hili. Leo nimefika Registration, Insolvency and Trusteeship Agency (RITA) kwa ajili ya kupata huduma. Nilifika ghorofa ya tatu, nikakutana na afisa mmoja wa RITA ambaye sikufanikiwa kupata jina lake. Nilimuuliza kuhusu huduma...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Huduma ya AVA ya Akili Unde (AI) yazinduliwa leo Septemba 29, 2026

    Taasisi ya Jamii Afrika imezindua Huduma ya AVA (Ask Viamo Anything), teknolojia ya akili unde (AI) inayomuwezesha mtumiaji kuuliza maswali na kupata majibu kupitia simu bila kuhitaji intaneti Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Ziada Seukindo, Mkuu wa Programu kutoka Jamii Afrika, amesema...
  7. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania SERIKALI YAENDELEA KUTOA HUDUMA ZA ARDHI KUPITIA KLINIKI KIDIJITI

    RUVUMA Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kutoa huduma kwa wananchi kupitia Kliniki za Ardhi, zinazolenga kupunguza migogoro ya ardhi na kuongeza uelewa kuhusu sheria na taratibu za umiliki wa ardhi. Kwa mkoa wa Ruvuma, kliniki hiyo ya Ardhi ya Kidigiti...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kafulila na PPP yake walete viwanda binafasi vya kuuza maji kutoa huduma ya maji majumbani kwa PPP.

    Tanzania ni nchi ya ajabu sana, unakuta sehemu nyingi zenye viwanda vya maji vinavyouza maji ya chupa nchi nzima raia wanaozunguka hivyo viwanda hawana maji safi laini ya bomba hata ya kunywa na kupikia tu. Sasa kwa sababu viwanda vya maji vya akina Azam, Kilimanjaro, GSM, Hill Water na vingine...
  9. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz: Rayvanny au Jux Atanipa Huduma Gani?, Tutadanganyana, Tunamhitaji Mtumishi Joel

    Diamond Platnumz Akosoa Mtazamo wa Jamii Kuhusu Huduma za Kiroho, Aeleza Faida ya Mchungaji Joel na Kutetewa kwa Joel Lwaga Msanii nguli wa muziki wa Bongo Flava, Diamond Platnumz, ametoa ushuhuda na maelezo ya kina jukwaani wakati wa ibada na hafla ya kiroho kuhusu maana halisi ya kutoa na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunashindwa kupata huduma kupitia mfumo wa Madini Portal. Tunaomba suala hili lishughulikiwe haraka

    Tunaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto ya kushindwa kupata huduma kupitia mfumo wa Madini Portal, hali ambayo imekuwa ikisababisha usumbufu na hasara kwa waombaji na wadau wa sekta ya madini. Madini Portal ni mfumo muhimu unaotumika kutoa na kufuatilia huduma mbalimbali zinazohusiana...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma mbovu parking ya Hospitali ya Taifa Muhimbili: Nimelipishwa "Lost Ticket" TZS 20,000 baada ya kulipia parking

    Wakuu, salaam. Leo, tarehe 27 Septemba 2026 majira ya saa 1 usiku, nilikumbana na tukio ambalo nimeona ni muhimu kulishirikisha ili watumiaji wengine wa huduma ya parking katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wawe makini. Nilifika kwenye kibanda cha malipo ya parking ili kulipia huduma hiyo...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tanzania inakaribia kuzindua huduma za usafiri wa kamba ( cable transport )

    Tanzania inaelekea kuanzisha huduma za usafiri wa magari ya kamba (Cable Transport) baada ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kuanzisha kitengo maalum kitakachosimamia na kudhibiti aina hiyo ya usafiri. Mkurugenzi Mkuu wa LATRA, Habibu Suluo, amesema Kitengo cha Udhibiti wa Usafiri...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halotel iboreshe huduma zake Zanzibar, huduma ya Internet yao ina changamoto

    Naishi Zanzibar, Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Magharibi B, ni mtumiaji wa Mtandao wa Halotel kwa takribani miaka nane sasa, lakini kwa kipindi hiki nimekuwa nikikumbana na changamoto ya kutopatikana kwa huduma ya mtandao katika baadhi ya maeneo. Nikifanya safari kutoka Mkoa wa Mjini...
  14. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Wafamasia wafundishwe huduma ya kwanza huko vyuoni.

    Leo ni siku ya wafamasia duniani. Wataalamu hawa wa afya upande wa dawa ni wa muhimu sana. Kwa Tanzania hii ni sehemu muhimu ya huduma ya afya. Mtu akiumwa kwanza kabisa anakimbilia duka la dawa, na wengi wanaponea huko huko. Duku duku langu ni kuwa, hawa wakiwa moja ya watu wa kwanza kwanza...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wanakijiji wa Machemba - Tunduru wamwambia Ado Shaibu kuwa hawana huduma ya maji safi

    Wananchi wa Kijiji cha Machemba, Wilaya ya Tunduru wameiomba Serikali kuwapatia vyanzo salama vya maji baada ya kueleza kuwa wanategemea kisima ambacho, kwa mujibu wao, hakikidhi viwango vya usalama kwa matumizi ya kila siku. Ombi hilo limetolewa Seotemba 23, 2026 baada ya Mbunge wa Tunduru...
  16. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wananchi Mwanza waendelea kuufaika na huduma za ardhi kupitia ardhi kliniki

    Wananchi mkoani Mwanza waendelea kunufaika na huduma mbalimbali zinazotolewa kupitia Kliniki ya Ardhi, ikiwemo elimu, ushauri na utatuzi wa changamoto zinazohusu masuala ya ardhi. Kliniki hiyo inaendeshwa katika mikoa yote Tanzania Bara ambapo ilianza Septemba 22 na itahitimishwa Oktoba 03...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RESOLVED NACTVET: Tatizo la kimtandao lililosababisha kukosekana kwa huduma zetu za mtandaoni limetatuliwa

    Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linapenda kuufahamisha umma kuwa, tatizo la kimtandao lililosababisha kukosekana kwa huduma zetu za mtandaoni limetatuliwa na kwa sasa huduma zote zimerejea kama kawaida.Baraza linaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa huduma za afya kati ya China na Tanzania wawaletea wagonjwa uchunguzi unaotumia akili bandia

    Katika chumba cha exray katika Hospitali ya Lumumba Unguja, Zanzibar, mabadiliko ya kiteknolojia yanabadilisha namna madaktari wanavyochunguza magonjwa, kufanya maamuzi, na kuokoa maisha. Katika kisiwa hicho, mifumo ya akili bandia (AI) inawasaidia madaktari kutafsiri picha za exray, huku...
  19. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania MWANANCHI NJOMBE AFURAHISHWA NA HUDUMA YA e-ARDHI, APATA HATI NDANI YA SIKU MOJA

    NJOMBE Mwananchi kutoka Halmashauri ya Ludewa mkoani Njombe, Bw. Leonard Paul Ngimba, ameonesha kuridhishwa na matumizi ya mfumo wa e-Ardhi baada ya kufungua maombi ya hati ya umiliki wa ardhi kupitia mfumo huo na kukamilishiwa huduma ndani ya siku moja. Leonard ameyasema hayo leo, Septemba...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Responded NACTVET: Tunakabiliwa na changamoto ya kimtandao, Tunashughulikia kuhakikisha huduma zetu zote za kimtandao zinarejea

    Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linapenda kuufahamisha umma, wadau, wanafunzi, vyuo na taasisi zote zinazohudumiwa na Baraza kuwa, kwa sasa linakabiliwa na changamoto ya kimtandao inayosababisha kutopatikana kwa huduma zinazotolewa kwa njia ya mtandao...
Back
Top Bottom