kakobe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tpaul

    Askofu Kakobe: Tanzania ni mpango wa shetani; Tanganyika inakuja!

    Wakati akihubiri kwenye kanisa lake la FGBF, Mwenge jijini Dar es Salaam, Askofu Zakary Kakobe amesikika akisema kuwa Tanzania ni mpango wa shetani ndio maana kila mara hoja ya kuitaka Tanganyika inaibuka. Hebu msikilize wewe mwenyewe: MAONI YANGU Askofu Kakobe ni miongoni mwa viongozi wa dini...
  2. figganigga

    Askofu Zachary Kakobe yupo wapi? Mwaka wa pili haonekani Uraiani

    ASKOFU wa Kanisa la Full Gospel Bible Felloship (BGBF), Zachary Kakobe yupo wapi? Ni mwaka wa pili sasa haonekani Kanisani. Hata Mke wake anaweza kuja Kanisani mara Moja kwa mwezi. Je, kuna aliyemuona Askofu huyu huko mliko au kukutana naye? Na wanaosambaza habari eti kapoteza kumbukumbu...
  3. Msanii

    Mtoto wa Zachary Kakobe: Mfikishieni salamu baba yangu namtafuta, sijaonana naye kwa Miaka 20, nikienda Kanisani sipati nafasi ya kumuona

    Amani iwe kwenu. Katiba pitapita zangu nimekutana na hii clip ya Youtube inayoonesha Mtoto wa Askofu Kakobe akizungumza mahusiano na madhila anayopitia baina yake na baba yake yaani Askofu Kakobe. click hiyo link hapo uweze kuona mwenyewe umsikie. ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ Mtoto wa Askofu Kakobe aibuka na...
  4. Msanii

    Askofu Zachary Kakobe kumbuka neno hili UPENDO. Mkumbuke mwanaMpotevu na safari ya Mbinguni

    Amani iwe kwenu. Katiba pitapita zangu nimekutana na hii clip ya Youtube inayoonesha Mtoto wa Askofu Kakobe akizungumza mahusiano na madhila anayopitia baina yake na baba yake yaani Askofu Kakobe. click hiyo link hapo uweze kuona mwenyewe umsikie. ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ Mtoto wa Askofu Kakobe aibuka na...
  5. Naipendatz

    #COVID19 Askofu Kakobe: Msidanganyike pateni chanjo

    Msikilize hapo chini...! Huyu ni mmojawapo wa maaskofu ambao analitendea vyema hilo jina ASKOFU.
  6. Elisha Sarikiel

    #COVID19 Askofu Kakobe: Chanjo ya COVID-19 siyo chapa ya 666

    TAZAMA VIDEO YA SOMO CHANJO YA CORONA SIYO CHAPA YA 666 Baada ya maombi ya Maaskofu na Wachungaji kadha wa kadha, wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo; jana Alhamisi 12.8.2021, akiwa ofisini kwake Askofu mkuu Zachary Kakobe amefundisha Somo muhimu, lenye kichwa, "CHANJO YA CORONA SIYO CHAPA...
  7. Elisha Sarikiel

    Askofu Kakobe: Tulipomchagua Magufuli kuwa Rais; tulimchagua Rais mtarajiwa mhe.Samia kwa mujibu wa Katiba !

    YALIYOJIRI KONGAMANO LA WATUMISHI WA MUNGU KUMWOMBA NA KUMSHUKURU MUNGU KWA SIKU 100 ZA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUWA MADARAKANI KUONGOZA NCHI YA TANZANIA Kongamano lilianzia kwa maneno ya salamu za viongozi mbalimbali wa dini sawa na kusudi la kongamanona sambamba na...
  8. Mkaruka

    Jumba la Kifahari la Askofu Kakobe

    Sema chochote.
  9. Elisha Sarikiel

    Kwa Askofu Kakobe - Baada ya kufunga ndoa, maharusi wapanda daladala na pikipiki kwenda makwao

    Ilikuwa siku ya Ijumaa 19.2.2021, ni siku nyingine ya kukumbukwa, katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Dar-Es-Salaam, lililoko Barabara ya Sam Nujoma; pale ambapo jumla ya wahusika 84 waliposhiriki katika kufungwa kwa Ndoa 21, zilizofungwa kwa pamoja katika Ibada ya Ndoa...
Back
Top Bottom