bajeti

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. At Calvary

  Msaada je naweza kupata PC desktop kwa bajeti isiozidi 250k. Iwe core i

  Wakuu kwema. Kama mada inavyoeleza hapo juu. Ikiwa kuanzia generation ya 4 itakuwa better. Naombeni mwongozo.
 2. Bondpost

  Naomba kufahamishwa bajeti ya Uchaguzi wa Spika wa Bunge la Tanzania

  Waungwana habari zenu. Hapo mwishoni mwa mwaka 2021 na mwanzo wa 2022 nchi yetu imepita kwenye sekeseke la mvurugano wa mihimili mikuu miwili ya nchi yetu ambapo Bunge kwa kupitia Spika limeonekana kumshambulia Rais ambaye ni Executive kutokana na yanayodaiwa kwamba hatupaswi kukopa pesa ingali...
 3. B

  Bajeti ya Dawa ifutwe ni kiini macho na Upigaji wa Wazi

  Nimefika katika hospitali mbali mbali ndani ya msimu huu wa mafua ya kawaida na sikukuu za mwisho wa mwaka. Katika hospitali zote nilizokwenda kama mgonjwa au kupeleka wagonjwa nimethibitisha tashwishi yangu kuhusiana na bajeti ya dawa. Hakuna wagonjwa wanaopata huduma ya dawa. Dawa zote...
 4. B

  Nahitaji Toyota IST bajeti 7 Milioni

  Wakuu NAHITAJI mtu mwenye gari aina ya Toyota Ist aniuzie. Iwe Cc 1290. Isiwe imerudiwa rangi au kusushwa injini. Namba DF na kuendelea. Awe mwenye gari sio dalali. Mwenye nayo anicheck- PM
 5. T

  Mwenye RAV 4 J namba D rangi bluu,kijani au silva kwa bajeti ya 9m anipm haraka tumalize biashara

  Nahitaji rav 4 J yenye rangi twajwa hapo juu
 6. Jabali la Siasa

  FY2021/22 Bajeti ya barabara Singida yaongezwa kwa 370% kutoka TZS 6.1BL hadi TZS 22.4BL

  === WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Mhe. Ummy Mwalimu amewataka Wananchi wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida kuzitunza barabara zilizojengwa na Serikali ili ziweze kudumu muda mrefu. Mhe. Ummy ametoa ombi hilo wakati akizungumza na wananchi hao...
 7. K

  Gharama za harusi ya Aristote ni kufuru

  Jionee mwenyewe.
 8. ommytk

  Nataka gari aina ya Toyota IST, bajeti 5 to 6m

  Nahitaji gari aina ist bajeti yangu ni 5 to 6m gari iwe yako sio dalali sinunui kwa dalali
 9. KndNo1

  Bajeti ya gari za mkononi

  Gari za kununua mikononi kulingana na bajeti yako na kupata best bang kwa hela yako..! 2-5M Corolla/Sprinter.. Gari simple na ngumu.. GX 100..ukipata yenye 1G Matumizi ya mafuta yatakuwa juu kidogo.. Ila hautakuwa mnyonge barabarani..! Vits.. Ukipata ya 3 doors hapa ujiandae kukunja siti ili...
 10. Superbug

  Andaa bajeti ya duka la milioni moja kwenye mtaa wa walalahoi unaotazamana na kilabu cha pombe kilichoko mjini

  Imagine unaishi mjini halafu unataka kuanzisha duka ambalo Lina frem tayari Ila duka Hilo linatazamana na kilabu cha pombe za kienyeji japo cha kisasa Ila wewe una mtaji wa milioni moja hebu sema utanunua vitu gani? Ambavyo unadhani piga ua hapo lazima vinunuliwe Ila pia kuna kijiwe kikubwa cha...
 11. B

  Tulilalamika ununuzi wa ndege nje ya bajeti, Soko la Kariakoo litajengwa kwa bajeti iliyopitishwa Bungeni?

  Naomba wanaojua Kama fedha za kujenga soko jipya Kariakoo zipo kwenye bajeti au zimetoka kwa Mhe Rais. Kama zinatoka kwa Rais je yeye anazitoa wapi? Au tunaendelea kuwa taasisi inayopanga namna kinyume na Bunge Kama ilivyokuwa awamu ya Tano? Auditing yake itakuwaje? Value for money itapimwaje?
 12. Wisdom Flag

  NATAFUTA CAMERA NZURI USED BAJETI YANGU 800K

  Mwenye camera nzur used naomb tuwasiliane wakuuu bajet yangu 800k
 13. sky soldier

  Paka kuchukuliwa kama mwanafamilia kwa kutengewa bajeti yake, inakubalika?

  Kuna paka na mbwa hapa nyumbani kwangu, Sina tatizo na gharama za mbwa kwa sababu ana msaada kiasi kwenye swala la ulinzi. Kwa huyu paka huwa inanifikirisha sana maana hatuna tatizo la panya ila watoto wangu kwa kuwa wanapenda paka nikaamua niwarusu wamfuge. Kimbembe kipo huku mama yao (mke...
 14. peno hasegawa

  Bajeti ya Serikali ya Tanzania ilisomwa July 2021 sasa ni October 2021 Hakuna miradi ambayo imefanyika.

  Bunge la Bajeti limemalizika July2021, hadi sasa hakuna mradi Hata mmoja umeanza au umefanyika kutoka na Bajeti ya 2021/22. Ukinipa Tarura wako hoi, REA wapo hoi, tanesco wako hoi, halmashauri ziko hoi, Tanroads wako hoi, Kila Anakotembelea Rais Amess Hata kuitaja ilani ya ccm 2020/25 ...
 15. CM 1774858

  Rais Samia 2021|22 amepunguza mikopo na misaada kutoka nje

  Kwamsiofahamu, Rais wetu katika kuitegemeza bajeti ya Serikali tayari taratibu ameanza kupunguza misaada na mikopo ya wahisani mfano kwenye bajeti yake ya 2021|22 amepunguza kidogo kutoka 8.2% hadi 8.1% || Nikweli Tanzania tunapokea misaada ila hatuitegemei. " Hakuna kama Samia " Sisi...
 16. CM 1774858

  Ujenzi wa JNHPP na Usambazaji wa umeme: Rais Samia aongeza bajeti kwa 230% kutoka TZS 1.01T hadi TZS 2.34

  Ujenzi wa bwawa la JNHPP pamoja na Usambazaji wa umeme vijijini Rais Samia ameongeza bajeti kwa 230% kutoka TZS 1.01T FY2020|21 hadi TZS 2.34T FY2021|22, " Hakuna kama Samia " Lengo la Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ifikapo mwaka 2026 Tanzania iwe na umeme wa Uhakika...
 17. beth

  Nigeria: Serikali kukopa zaidi ya Dola Bilioni 10 kufadhili Bajeti

  Rais Muhammadu Buhari amesema Serikali imepanga kukopa zaidi ya Dola za Marekani Bilioni 10 ili kusaidia kufadhili Bajeti ya takriban Dola Bilioni 40 kwa mwaka 2022 Kumekuwa na malalamiko kuhusu Mikopo ya mara kwa mara ya Serikali lakini Rais Buhari ameendelea kusisitiza kiwango bado ni...
 18. CM 1774858

  Bajeti moja ya barabara ya Rais Samia inaweza kujenga marambili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita

  Bajeti moja ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita, "Hakuna kama Samia " Kasi ya Rais Samia katika kuwaletea maendeleo endelevu Watanzani hawa masikini inatetemesha kama...
 19. K

  Bajeti ni kuziambia pesa zako pa kwenda na cha kufanya, badala ya kukaa na kushangaa zilienda wapi na kufanya nini?

  Bajeti ni kuziambia pesa zako pa kwenda na cha kufanya badala ya kukaa na kushangaa zilienda wapi na kufanya nini. Hakikisha una bajeti ya pesa zako, Itakusaidia kujua kiasi gani kinaingia kutoka wapi na kiasi gani kinatoka kwenda wapi. Usianzishe jambo bila kujua gharama na faida zake...
 20. R

  Ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu Dar es Salaam unahitaji bajeti ya milioni ngapi?

  Salaam wakuu, Kama mnavyojua ndugu zangu ni lazima tuhame kwa wazazi wetu tukaanze maisha. Na kutokana na hayo hatuna budi kufikiria kuwa na makazi yetu. Uhalisia huo umenifanya niijiulize maswali mengi sana hasa ni gharama kiasi gani zinahitajika kutekeleza ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu...
Top Bottom