uzazi wa mpango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Mnaoanzisha familia bila mpangilio mnawatesa watoto

    Assume binti mdogo kabisa hana chakula wala pakulala mwisho wa siku anajiingiza kwenye umalaya apate hela ya kula ili apate kuishi unajiuliza wazazi wa huyu mtoto wako wapi? Hakika kuna mtu akikupa historia ya maisha yake unaweza pata trauma kwanini mnazaa haliyakuwa hammudu kuwahudumia hao...
  2. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Mkoa, Dkt. Omary Sukari: Geita ina kiwango kikubwa cha uzazi hiyo inafanya uzazi wa mpango kuwa kipaumbele kikubwa

    Mganga Mkuu wa Mkoa wa Geita (RMO), Dkt. Omary Sukari, alieleza jinsi mradi wa Scaling up Family Planning (SuFP) ulivyosaidia mkoa huo katika kuboresha mifumo ya takwimu na utoaji wa huduma za uzazi wa mpango. Haya ndiyo mambo makuu aliyoyazungumza Juni 18, 2026 Jijini Dodoma: 1. Mafunzo na...
  3. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yasema huduma zilizotolewa katika Mradi wa Kupanua Huduma za Uzazi wa Mpango (SuFP) zitaendelea kutolewa nchini

    Viongozi wa serikali, washirika wa maendeleo, wataalamu wa afya, asasi za kiraia pamoja na wawakilishi wa jamii wamekutana jijini Dodoma, Juni 18, 2026 katika kongamano la kujifunza lenye kaulimbiu “Kudumisha Mafanikio Yaliyopatikana katika Afya ya Uzazi na Jinsia”, kuadhimisha kufungwa rasmi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanaoacha kutumia Sindano za Uzazi wa Mpango inawachukua muda gani kubeba ujauzito?

    Unaweza kutumia njia mbalimbali za uzazi wa mpango ili kuzuia mimba, hiyo ni haki yako kama ilivyo kuwa ni haki yako kuchagua aina ya njia ambayo inafaa zaidi kwako. Upande mwingine kuna dhana kuwa ukitumia dawa hizo hasa Sindano ya Uzazi wa Mpango zinaweza kuzuia usipate ujauzito tena lakini...
  5. Zurie

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu wenye vitanzi (IUD), mnaendeleaje?

    Habari, Hii ni kwa wanawake wenzangu ambao wanatumia uzazi wa mpango aina ya IUD (Intra-uterine Device) au Kitanzi. How are you guys? Vinawapa maudhi kama kilivyoninyoosha mimi au mmetulia? I have to say nili-opt kutumia IUD sababu niliambiwa haina maudhi, na niliweka a copper IUD nikiambiwa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Uzazi wa mpango upi salama?

    Habari wana JF?. Mimi Niko kwenye ndoa mwaka wa pili, nimebahatika kupata mtoto Mmoja ana mwaka na miezi miwili saiv. Tulikuwa tunatumia njian ya UZAZI WA MPANGO WA kitanzi na mke WANGU, na kitanzi chenyewe kawekewa kina kama miezi nane tu ila chakushangaza alikuwa hajaingia period tangu wiki...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Zaeni Watoto mtakaoweza kuwatunza, acheni kuwatesa uzao wa kwanza (firstborn) kwa Majukumu

    SIJUI NIONGEZE VOLUMEEE
  8. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Msaada njia ya uzazi wa mpango ya kibaiolojia kwa mwanaume: ndani ya miaka miwili mimba wanawake wanne

    Salaam alaikum Wana Jambi... Mimi kijana mwenzenu middle of 30's watoto wawili ila mtihani mpaka sasa Kuna wanawake wengine wanne nshawapa ujauzito ndani ya miaka hii miwili, nahisi kuvurugwa japo wenyewe hawaoneshi kujali...... Najua njia mbili kwa mwanaume kunizuia kutia mimba ikiwa ni 1...
  9. Nkulu wa nchito

    JamiiForums Tanzania Njia za uzazi wa mpango

    Nauliza eti hizi njia za uzazi wa mpango kuna baadhi ya wanawake zinawaathiri wasiwe na hamu ya kufanya mapenzi au anatumia sababu hiyo kuninyima mbususu
  10. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Fanya yote ila usimzalie mtoto huyo mwanaume!

    Mabinti, hasa nyie wadogo wa alfu mbili, hata akuambiaje, Usijichanganye kumzalia mtoto. Hakuna jukumu kubwa kwenye maisha zaidi ya kuzaa na kulea watoto. Mwanaume akikuambia bado hayuko tayari kukuoa ila anataka umzalie, huyo ni tapeli kama matapeli wengine tu. Kama huna kipato cha kueleweka...
  11. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Wazungu walikuwa sahihi kuweka sera ya uzazi wa mpango, ona wachina wanavyoteseka na wahindi walizaa sana bila mipango leo hii wanaishia kuangaika !

    Jamii ambazo ziliendekeza Sera za kuzaa Sana Kama India na China , kwa sasa raia wake ndo hawa wanakuja kuanzisha Madube huku wakijiita wawekezaji. Yaani unatoka China kuja kuwaibia wananchi miambili zao kupitia Madube. Ukiwaangalia Wachina na Wahindi unaona kabisa kuwa ni ujinga Sana kuzaa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Njia ya asili ya uzazi wa mpango kwa kupima vichocheo (Homoni) vilivyopo kwenye mkojo wa mwanamke

    Leo nimekutana na hii njia ya asili ya uzazi wa mpango ambayo watumiaji wake wakubwa wako nchi zilizoendelea. Njia hii inaitwa Marquette Method kwa sababu ilianzishwa na wataalamu waliopo chuo kikuu cha Kikatoliki cha Marquette cha nchini Marekani. Njia hii huhusisha mwanamke kupima mkojo wake...
  13. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Ijue Njia Ya Uzazi wa Mpango Ya Kumwaga Nje Shahawa.

    Njia ya uzazi wa mpango ya kumwaga nje shahawa inayojuliakana pia kwa kitaalamu kama withdrawal method/pulling out method ni ni mbinu ya uzazi wa mpango inayotegemea mwanaume kutoa uume wake kutoka kwenye uke wa mwenza wake kabla ya kufikia kileleni (kumwaga shahawa) wakati wa tendo la ndoa ili...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake Wengi Hawataki kutumia Uzazi wa Mpango ila wanapenda Kugegeduana Pekupeku, Kibaya hawataki mimba au Kuzaa;Hii imekaaje?

    Unajua kuna principle moja kwenye moja ya physchosocial model inasema "we are the product of our decision". Turudi kwenye mada, wanawake wa kisasa ukiwa naye wanapenda kugegeduana pekupeku, yaani wanapenda kuisikilizia skin to skin vibaya sana, ila likija suala la kumshauri kutumia uzazi wa...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Mwitikio wa Wananchi kupata huduma za uzazi wa mpango Halmashauri ya Mji wa Korogwe watajwa kuongezeka

    Mratibu wa Afya ya Uzazi na Mtoto katika Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Monica Nalinga amesema idadi ya watu wanaonufaika na huduma za Uzazi wa Mpango imeongezeka ikiwa ni matokeo ya ushirikiano baina ya Serikali na wadau ambao wamejitokeza kuunga mkono jitihada hizo. Akizungumzia huduma hizo...
  16. Thabit Madai

    JamiiForums Tanzania Pemba kunahitajika zaidi elimu ya uzazi wa mpango, Watoto wanateseka

    Naandika andiko hili fupi nikiwa Unguja - Zanzibar baada ya safari ya takribani Wiki Mbili nikiwa kisiwani Pemba. Mimi ni Mwandishi wa habari na nimepata bahati ya kutembelea maeneo mengi Tanzania bara na Visiwani ila nilichokikuta Pemba bado kinanijastaajabisha hadi sasa naandika andiko hili...
  17. Blender

    JamiiForums Tanzania Mimi Kuna Kitu Kinanichanganya Sana Kwenye Hii Serikali Yetu

    Mimi Kuna Kitu Kinanichanganya Sana Kwenye Hii Serikali Yetu Wanasema Mimba Na Mtoto Ni mali ya Serikali Lakini Kwanzia Ujauzito Na Mtoto Unahudumia Wewe Sasa Kwanini Kama Mtoto Ni mali ya Serikali Usiwekwe Mfumo Wa Kuwalipa Wazazi Posho Za Malezi Ya Mtoto/ Watoto Wao? Hapo Nachoka Kabisa. Au...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amekosa hisia na mimi baada ya kuweka uzazi wa mpango

    Mimi ni kijana nina miaka 24 tafadhari nina shida. Naomba unisaidie maana Nina mke na mtoto mmoja toka mke wangu amejifungua kiufupi Sina furaha na maisha kabisa maana baada ya kujifungua tu tulikwenda hospitali na tukaweka uzazi wa mpango lakini baada ya hapo mke wangu amekosa hisia na Mimi...
  19. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba Flagly (Metronidazole) ile ya njano inazuia mimba kuingia?

    Heshima kwenu nyote Ni wazi kuwa sie wabongo ni watu wa kujaribu vitu hata vile tusivyo visomea. Nitaweka baadhi ya dawa(vidonge) ambavyo vinatibu ugonjwa fln lakni Kwa ujuaji wa kibongo vidonge hivo hutumika Kwa matumizi mengine na kuleta manufaa. Baadhi ya vidonge Hivi ni kama(sitatumia...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Watoto hawana faida, hasa kwa masikini. Kuzaa watoto ni mateso ya kujitakia tu

    Miaka ya 1980 kurudi nyuma watoto walikuwa sehemu ya nguvu kazi ya familia. Hivyo mtu akiwa na watoto wengi alihesabika kana kwamba anamiliki matrekta kadhaa ya kumsaidia ktk kilimo. Siku hizi mambo yamebadilika. Watoto hawana thamani tena, sana sana wamegeuka kuwa sawa na kujitwisha zigo la...
Back
Top Bottom