shetani

Shetani (kwa Kiebrania שָׂטָן Satan, kwa Kigiriki Σατανᾶς Satanâs, kwa Kilatini Sátanas) ni jina linalomaanisha "Mpinzani"; "Mshtaki".

Shetani anajulikana pia kama Ibilisi (kutoka Kigiriki Diabolos, -ou, "Anayetenganisha"), Mtawala wa giza, Mkuu wa ulimwengu huu, Belzebub (jina la dhihaka kwa mungu Baal linalotafsiriwa "Bwana wa nzi"), Belial, Lusiferi (kutoka Kilatini Lucifer, "Mleta mwanga").

Kadiri ya imani ya dini mbalimbali, hasa zile zinazokubali ufunuo waliopewa Waisraeli, shetani ni malaika, roho, au mungu mdogo anayewakilisha uovu unaopingana na Mungu. Baadhi ya watu, kwa mfano Wakristadelfiani, hufundisha kwamba Shetani si nafsi hai, bali mfano tu wa uovu na dhambi.
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Eli Nino inatoka Kwa Mungu ama Kwa shetani?

    Nashindwa kuelewa. Kama inatoka kwake Mungu je analengo Gani na watu wake? Kama inatoka Kwa shetani kwanini asiizuie kabla haijaleta madhara? Tuamini ni janga la asili ambalo si la ki-Mungu Wala kishetani? I
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania KKKT mmekubali kukumbatia Nyoka, acha awang'ate, Shetani hana rafiki

    Alichokifanya Makonda hapo kanisa la KKKT ni utovu mkubwa sana wa nidhamu. ndo maana watu wote walikuwa wanamshangaa tu akiendelea kubwabwaja utopolo. Huwezi kupewa microphone 🎤 kanisani halafu uanze kuwasema vibaya maaskofu wanaokosoa serikali na kudhinda mtandaoni. Kanisa na maaskofu wana...
  3. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Kitabu hiki cha Kiislamu kinasema Shetani ni Muislamu

    Kitabu cha Asili ya majini ukurasa wa 20 kimeandikwa na Sheikh Ahmad. Nanukuu "Ni bahati mbaya kwamba Adam na Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha Shetani na wanaye kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu. Ni Mtume Muhammad tu ndiye aliyemwisilisha Shetani akawa Muislamu..."
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Turkey anafanya madhara kwa wakurdi, syria na cyprus. UAE anafadhili machafuko huko Sudan lakini tunapaswa kufundishwa kuwa US na Israel ndio shetani

    Ukiwa sio mtalaam wa GEOPOLITICS za duniani, ukiwa hauna exposure ya SHADOW WARFARE na ukiwa haujui chochote kuhusu deep state syndicates basi utabebeka kirahisi na itikadi za kusimuliwa kwenye redio za mbao
  5. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje kila dini na Mungu wake lakini shetani akawa mmoja

    Yaani kuna dini 2 tofauti ukristo na uislamu hizi dini kulingana na mafundisho /imani au itikadi yake zinaamini Mungu yupo ila kila dini ina Mungu wake.na hapo hapo zinamini kuna shetani je !shetani wa dini fulani ndio huyu huyu wa dini ingine au nayo dini fulani ina shetani wake!au shetani ni...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini unamchukia shetani?

    Kwa nini unamchukia shetani? Kuna jambo gani shetani alilowahi kukufanyia binafsi hadi likakufanya umchukie?
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo Mungu Ndie Muumba wa Dunia Hii, Inawezekana ni Shetani Ndie Mtawala wa Dunia Hii?, Haiwezekani WaKweli Wana Sulubiwa Huku Mungu Anaangalia Tuu!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kumtafakari Mungu, kuna maswali nimekuwa najiuliza kumhusu huyu Mungu wa Wakristo na Waislamu ambaye ni Mungu Mmoja,Mungu wa Ibrahimu na wanae Ismail na Isaka,na sheria ya Mungu kwa dini hizi mbili ni sheria ya moja ya Musa, ambaye japo ndie Muumba wa dunia hii...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kati ya ndoto ya Mungu na ya shetani

    Kuna tofauti kati ya ndoto ya Mungu na ya shetani Maarifa yanayohusiana na ndoto ni mapana. Hata hivyo, kwa ufupi, zipo ndoto za aina tatu. 1. Ndoto zinazotokana na shughuli unazofanya Ndoto hizi ndizo mara nyingi zinamjia mtu. Kwa mfano: mtu alikuwa anafanya shughuli fulani siku nzima, usiku...
  9. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Vita vya Shetani Dhidi ya Mwanzo Mpya

    Baada ya kuamua kumfuata Mungu shetani anaoneshwa kukasirika... Imagine, saying to yourself kuanzia leo na acha kitu fulani, only to get the temptation right infront of your face? Imagine saying to yourself you love God only to get a disappointment just to make you bitter, urudi kama mwanzo...
  10. bless on

    JamiiForums Tanzania Haki Sawa: Silaha ya Shetani Dhidi ya Ndoa?

    Shetani alimtumia mwanamke kumuangamiza mwanaume. Hata mzungu anamtumia mwanamke kumuangamiza mwanaume wameleta Kitu kiitwacho haki sawa, mipango ni kuwapa Wanawake kiburi, kutokuolewa na walioolewa washindwe kaendelea na ndoa zao. Ila kubwa zaidi kupingana na neno la Mungu. Watu wanasema hii...
  11. Surya

    JamiiForums Tanzania Watu wanaofanya kazi na shetani kula watu wenzao

    Yani elewa kabisa dunia hii ina watu mashuhuri wengi ambao kazi yao ni kula watu wengine. Shetani anatoa utajiri na Nguvu, Ukimfata ufanye nae mkataba anakupa Pesa, wewe unatoa ndugu na jamaa. waumiaji wa kwanza ni wale wajinga bongo lala. Sasa sikia anacho kifanya shetani ni Kumtumia kiongozi...
  12. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Kila ninapoiona sura ya Mama Abduli au kusikia sauti yake huwa nachukia ghafla. Ni heri nimuombee shetani asamehewe na Mungu kuliko mama Abduli

    Hakuna madhara ya moja kwa moja nimeyapata kupitia yeye. Ila niseme tu ukweli kwenye maisha yangu sikuwahi kumchukia mtu kuliko ninavyomchukia huyu mama abduli na genge lake. Ni heri nimuombee shetani asamehewe na Mungu kuliko mama abduli.
  13. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya shetani na ushawishi wa kisiasa

    Kuna shetani ananinishawishi kwamba, mwaka 2040 niingie kwenye siasa. Sijui kama nimsikilize au nimpuuze. Mnishauri, nifanye nini?Alloyce, P.R.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Shetani ni nani?

    https://youtu.be/H2zh2PO4M00?si=hpix_Gk8rn7STHGf
  15. Msanii

    JamiiForums Tanzania Shetani amezoea kulaaniwa na haachi uovu wake; vivyo hivyo tunailaani CCM na haitaacha maovu na ukatili wake

    Ifike mahala tuelewe kuwa hili dubwasha CCM limeishi kinafiki katika miaka yake ya ujana sasa limezeeka limegeuka kuwa shetani. Wanafikia kumdhuru yeyote anayekinyooshea kidole kusimamia ukweli. Wakosoaji wamekuwa wakiokotwa aidha wametteswa au wameuawa. CCM imemeza vyombo vyote vya Ulinzi na...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Huenda "Kuumbwa kwa watu" ndio sababu halisi iliyomfanya shetani amuasi Mungu

    Ukisoma story ya ENKI na ENLIL unaweza kupata picha ya ninacho kisema hapa. Huenda hii Ikawa ndio sababu halisi kwanini shetani alimuhasi Mungu... Shetani hakupendezwa na mpango wa Mungu kumuumba binadamu na kuja kumtesa hapa duniani.. Ndio maana akaamua kuanzisha uasi huko mbinguni...
  17. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Ibilisi ametia nanga Velvet club Sinza

    Hatimaye vacation yangu ndani ya Dasalamu imeharibika rasmi na kuingia nuksi baada ya kujichanganya na kukanyaga Velvet club Sinza! Muhudumu anakuja kukusikiliza huku anakuletea nyonyo kifusi zimazima usoni. Kisha mkwanja wa bili unatakiwa uuchopeke katikati ya mtindi. Mbaya zaidi na...
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Matembezi ya shetani usiku huu

    Usiku huu, ulimwengu wa roho unashuhudia matembezi makali ya shetani na jeshi lake la mapepo, usiku unaoambatana na dhoruba za kila aina ya uharibifu ambapo mkuu wa giza anajipenyeza kama upepo wa sumu akitafuta milango ya fikra na ndoto zilizowazi ili kupandikiza mbegu za hofu ya kifo, magonjwa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Shetani anatumia mbinu kubwa 10 kutuangamiza

    Shetani anatumia mbinu kubwa 10 kutuangamiza Maandiko katika kitabu cha Zaburi 119:105, yanasema: “Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu”. Hakika tukilifahamu Neno la Mungu, hata tukifungiwa katika chumba chenye giza tukapewa mshumaa na Biblia tu, tutaweza kueleza mambo yote...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumshinda shetani

    Jinsi ya kumshinda shetani Shetani ni nani? Tafsiri ya jina shetani ni ‘mshitaki’ au ‘mchongezi’. Kazi yake ni kuwashitaki watakatifu mbele za Mungu. Jina lingine la shetani ni Lusifa, maana yake nyota ya alfajiri (Isaya 14:12). Jina hili Lusifa aliitwa kabla hajaasi, baada ya kuasi ndipo...
Back
Top Bottom