inahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwa kweli bandari ya Dar es Salaam inahitaji kuongezewa eneo

    Nilikuwa naona kama watu wa bandari walafi tu wa eneo. Ila ukilinganisha na bandari zingine, bandari ya Dar ina eneo dogo sana. Bandari kubwa(kwa mizigo) zaidi Afrika ni ya Tangier, Morocco. Ina eneo la ardhi la ekari 2,500. Bandari ya Mombasa, Kenya ina jumla ya eneo la ekari 3,000. Ban mydari...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji mtu wa aina hii.

    ..aliyemrithi aliwaadabisha tiss wa huko uchaguzi ukamleta huyu, sasa naye anafanya sehemu yake, tz imekalia maigizo ya tiss kupitia ccm nchi inazama mstaafu anakuwa na watu wake ndani ya serikali na wanamtii kuliko hata huyo aliyesaini hati za uteuzi wao..Masisi alikataa huo ujinga wa mstaafu...
  3. ngozimbili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania haihitaji lawama za upande mmoja — inahitaji ukweli, uwazi na uwajibikaji wa kila upande

    Kuna maswali ambayo lazima tuwaulize Serikali, upinzani, wanaharakati, wasomi na viongozi wa kiraia kuhusu yaliyotokea Oktoba 29, 2025. Kuna jambo moja nataka nilianze kwa kulisema wazi: Mimi sipingi maandamano. Ninaunga mkono haki ya wananchi kuandamana kwa amani. Maandamano ni sehemu ya...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vita ya Wema na Haki inahitaji Subira. Mikazo na kutokukata tamaa

    Habari za Sabato! Leo nilikuwa napitia hapa kitabu cha Asheri(Jasher). Nikaona kisa cha Waisrael kuwa utumwani kwa zaidi ya miaka 400 huko Misri. Kisa hicho kwa sehemu kubwa ni simulizi ya kisiasa lakini yenye mchanganyiko na Imani ya Miungu. Kupitia kisa hicho, moja yamambo niliyoyaona ni...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza magari used hapa TZ inahitaji mabadiliko makubwa sana

    Nimekuwa nikifatilia matangazo ya magari kwenye platforms mbalimbali na kuna jambo ambalo linahitaji mabadiliko makubwa. wauza magari hawatoi taarifa muhimu za magari, kwenye tangazo wanaongea maneno mengi ambayo hayana umuhimu, na kwenye muda wote wanaoongea vitu vya muhimu kuhusu hilo gari...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Dunia na jamii ya leo Inahitaji Kujua nini Kinachoendelea, Sio nini Kilichotokea

    Dunia Inahitaji Kujua Kinachoendelea, Sio Kilichotokea Katika ulimwengu wa teknolojia ya sasa, upatikanaji wa taarifa za moja kwa moja (live) na kwa wakati halisi bado ni changamoto. kutokana na uhaba wa teknolojia hiyo imechangia. Matukio mengi yanayoripotiwa kwa jamii kupitia vyombo vya...
  7. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Je Tanzania inahitaji Chama Dola au Dola Huru?

    Habari za wakati huu; Nachokoza mjadala kidogo ambao naamini kabisa ndio mjadala unaoendelea kwa sasa hapa nchini kwetu. Mara nyingi nimekuwa nikisikia tuhuma kwamba Chama Tawala CCM kimeungana na serikali sana na hivyo kinaitwa chama dola.Katika siasa tunapozungumzia Chama Dola tunazungumzia...
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu imeanza leo 14 Agosti 2026, timu yako inahitaji nini ili ibebe kombe la NBC?

    Wada wa michezo na wapenzi wa mpira wa miguu kwa nchi yetu leo ndio tunaanza kuhesabu magoli na ponti kwenye timu zetu. Leo dimba la Ligi kuu limeshafunguliwa kwa Pamba Jiji na Dodoma, Vipi timu yako unaona inahitaji nini ili muweze kubeba kombe la ligi kuu?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kisasa inahitaji mifumo ya kisasa

    Biashara ya kisasa inahitaji mifumo ya kisasa. T-CAMS inaleta uwazi, ufanisi na uhakika wa malipo katika sekta ya uwakala wa forodha, kwa manufaa ya mawakala, waagizaji wa mizigo na Serikali.
  10. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Watu wanajihusisha na mambo yao; Ni wewe tu unawawazia

    Ukitaka kufahamu uhakika wa kichwa cha habari nilichoandika tafakari juu ya mtu anapokufa waliobaki huwa wanafanya nini? (Jiulize tu kwa dhati ya moyo wako na ujijibu). Jibu la swali hilo ndiyo uhakika wa maisha yalivyo. Ni wewe tu umekaa unawawazia wao ila kwa hakika watu wana mawazo yao na...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Je, Kampuni au Taasisi Yako Inahitaji Mfumo Maalum?

    Peculiar Enterprises Ltd. ni kampuni ya teknolojia inayobuni na kutengeneza mifumo ya kidijitali kwa makampuni, mashirika, taasisi na biashara zenye mahitaji ya kitaasisi. Mbali na kuendesha mfumo unaosimamia zaidi ya biashara 20,000 Africa unaojulikana kama SmartBusiness, pia tunatengeneza...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Biashara yako inahitaji mtaji wa kukua? SmartBusiness imekurahisishia!

    Habari njema kwa wajasiriamali na wafanyabiashara! 🎉 Sasa kupitia SmartBusiness, unaweza kuomba mkopo wa biashara kwa urahisi, moja kwa moja ndani ya app. Hakuna safari ndefu wala mchakato mgumu. 💼 Unaweza kutumia mkopo kwa: ✅ Kuongeza bidhaa dukani ✅ Kuongeza mtaji wa biashara ✅ Kuboresha...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kofia(boshori) zibauso achia macho zinazoanza kushamiri mitaani sio nzuri kiusalama

    Hamjambo! 1. Siku za hivi karibuni ukipita mitaani na barabarani umezuka mtindo wa vijana kuwaona wakiwa wamevaa kofia boshori funikauso achiamacho aidha wakitembea barabarani au wakipita na bodaboda wakiwa wamepakizana. 2. Mtindo huu sio mzuri kiusalama hasa ukizngatia vijana wengi hawana...
  14. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hana washauri? Habari ya kupata Katiba Mpya inahitaji elimu ya miaka mitatu inatoka wapi? Tume ya Jaji Kisanga na rasimu ya Jaji Warioba?

    Nimeshangaa kusikia anasema eti ili mabadiliko ya katiba mpya wananchi wanatakiwa kupata elimu kwa miaka mitatu . Wajue nini kinafaa ndani ya katiba hii ya sasa na nini hakifai. Iliundwa tume ya Jaji Kisanga mwaka 1998 ikakisanya maoni ya Wananchi kupitia White paper. Serikali ya CCM chini ya...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Milango nusu ya vyoo vya umma Marekani inahitaji ujasiri sana kwa watumiaji

    Hii milango ya katika vyoo vya umma huwa inashangaza sana, unakuwa unajisaidia huku mtu mwingine kutoka nje anaweza kukuona akitaka na kusikia kila kitu unachofanya Hivi vyoo ukiwa na tumbo la kuhara lile la vuvuzela au tarumbeta ni shughuli pevu, inabidi ukimaliza usubirie kuhakikisha hakuna...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Viti Maalumu, Zainab: Siyo kila biashara inahitaji mtaji, zingine wazo tu, Vijana wakitumia mitandao vizuri wanaweza kupata 50,000 kwa siku

    Mbunge Viti Maalumu, Zainab: siyo kila biashara inahitaji mtaji, zingine wazo tu, kama kuwa MC unahigaji mtaji gani? Kama vijana watapatiwa uwezo wa kutumia mitandao ya kijamii vizuri, wataweza kutengenez vipato vyao na kuweza kupata 50,000 kwa siku, kupata 1500,000 kwa mwezi. Serikali imesema...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kitila: Duniani kote haki inapiganiwa, inahitaji ujasiri

    Akifanya mahojiano na The Chanzo Aprili 16, 2026, Waziri wa nchi ofisi ya Rais- Mipango na uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo "Tunao wajibu wa kuendelea kuelimisha watu wetu kwamba hii ni nchi yao, wapo katika nchi huru na ni haki yao kutoa maoni. Lakini duniani kote, haki huwa inapiganiwa. Kwa...
  18. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Nyumba yenye vyumba 6 inahitaji tofali ndogo ndogo za kuchoma ngapi?

    Jamaniiiiii habari za asubuhi! Kuna fundi anaeweza kunisaidia kukadiriae...? Nikitaka kujenga nyumba yenye vyumba 6 .. nahitaji kutumia tofali ndogo ndogo za kuchoma ngapi? Na bati ngapi?
  19. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya mauji ya Oktoba 29, CCM sasa inahitaji maridhiano kuliko hata wapinzani

    Huu ndio ukweli japo hawezi kukiri hadharani. Safari hii wanahitaji maridhiano sio tu na wapinzani, bali wanahitaji maridhiano na umma wa watanzania kupitia wapinzani. Japo wanaendelea kumshikilia Lissu kwa uonevu, bado wanatamani sana kupiga picha na Lissu kuliko mtu mwingine yoyote yule...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Sheria ya ndoa inahitaji maboresho

    Nilisikia kwenye Chombo cha Habari kuwa; Kwa sheria ya ndoa ya Tanzania, baba ndio anatoa hela za kila kitu kwenye Familia na hela ya Mke haihusu familia...... 1. Baba ana wajibu wa kulea na kutunza familia ikiwemo kujenga nyumba, kulipa ada na kila kitu cha familia yake. Nikaona hii ni ile...
Back
Top Bottom