UK Visa Changes Strengthen Protection for Zimbabwean Care Workers
New changes to UK visa rules could provide greater protection for Zimbabweans and other African migrants working in Britain’s care sector.
Under the revised rules, certain Skilled Worker visa holders who are formally recognised...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
MAOMBI YA VISA ZA CHINA KWA RAIA WA TΑΝΖΑΝΙΑ
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa kushirikiana na Ubalozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania zimeendelea kutoa taarifa za mara kwa mara kwa umma kuhusu mchakato wa maombi ya visa za...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inatarajia kufanya kuwa wa kudumu mpango wa majaribio unaowataka raia wa mataifa 50, mengi yakiwa ya Afrika, kutoa dhamana kubwa wanapoomba viza, huku gharama zake sasa zikitarajiwa kufikia hadi $20,000.
Ilani ya awali, iliyochapishwa Ijumaa katika Rejista...
Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu ugumu wa kupata nafasi ya kuwasilisha maombi ya Visa ya China nchini Tanzania. Watu wengi huilaumu Ubalozi wa China, lakini kwa mtazamo wangu, tatizo kubwa si ubalozi wenyewe, bali ni mtandao wa madalali na watu wa kati ambao wamejijengea mfumo wa kujipatia...
Mwaka jana mwezi March, kabla ya utaratibu mpya wa kuomba Visa kwenye ubalozi wa China hapo jijini Dar es Salaam.
Nikiwa nimeshajaza fomu zangu na nikiwa nimeshapewa notification ya appointment na kuwasilisha fomu ya maombi ya VISA pamoja na viambatanishi vingine nikafika ubalozi wa China...
07 Julai 2026
Saudi Arabia yazindua majaribio ya Package Visa ya Utalii ili kurahisisha usafiri
Julai 7, 2026 | 12:39 AM
Picha maktaba ya jiji ls Jeddah
Gazeti la Saudia
RIYADH — Saudi Arabia imezindua majaribio ya eVisa ya Kieletroniki kupitia watoa huduma za usafiri na utalii...
Museveni talks to the AFCON organising committee
Ugandan President Yoweri Museveni has endorsed a proposal to introduce a single East African entry visa for the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON), which Uganda will co-host with Kenya and Tanzania.
Museveni, according to a State House statement...
Kuna ugumu wa kupata Visa ya kwenda China kutoka hapa nchini, hali inayosababisha usumbufu mkubwa kwa waombaji wengi.
Tunalazimika kuamka saa tisa usiku ili kuwahi foleni, lakini hata hivyo hatufanikiwi kupata huduma tunazotarajia, baadhi ya waombaji tumeomba kwa siku ya tatu mfululizo bila...
Kama kuna mtu aliye karibu na Greyson Msigwa amfikishie huu ujumbe.
====================
By Amani K. Mrope | Washington Bureau.
June 19, 2026.
The Issue Is Not Money. It Is Tanzania Being Written Into the Official Record.
There are times when a country loses money. And there are times when a...
Niaje waungwana
Wakuu niliwahi kuandika humu mara kibao, kwamba Dunia inakwenda inabadilika hatua kwa hatua kiasi ya kwamba kuna mabadiliko mengine yanatokea, au yanaweza kutokea katika mazingira ambayo wengine hawakuyategemea.
Hii sio bahati mbaya, bali ni uhalisia wa Dunia jinsi...
Marekani inapanga kupunguza kwa kiasi kikubwa idadi ya balozi zake barani Afrika zinazoshughulikia maombi ya visa, hatua inayotarajiwa kuongeza udhibiti kwa wanaotafuta vibali vya kuingia nchini humo.
Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Habari la Associated Press (AP), mpango huo utaifanya...
Rais Denis Sassou Nguesso amesema kuwa uamuzi huo wa kufuta hitaji la visa kwa nchi yake utaanza rasmi 2027, ikiwa ni sehemu ya msisitizo na dhamira yake ya dhati kuelekea misingi ya Uafrika kwanza (Pan-Africanism).
“Kuanzia tarehe 1 Januari 2027, kuingia Jamhuri ya Kongo Brazzaville...
Kenya is seeking easier visa access to France as diplomatic and economic ties between the two countries continue to grow, with new multi-billion-dollar trade and investment agreements.
During high-level talks held alongside the Africa Forward Summit in Nairobi, Kenyan lawmakers urged France to...
Chama cha Reform UK kimesema kuwa kitapiga marufuku utoaji wa visa mpya kwa watu kutoka nchi zinazodai fidia ya utumwa kutoka kwa Uingereza, iwapo kitapata nafasi ya kuunda serikali ijayo. Zia Yusuf, msemaji wa masuala ya mambo ya ndani wa chama hicho, aliiambia The Daily Telegraph kuwa wito wa...
Shabiki wa soka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Michel Kuka Mboladinga, anayejulikana sana kama Lumumba Vea, amewaambia wafuasi wake kuwa hataweza kusafiri kwenda Mexico kuiunga mkono timu ya taifa, baada ya kunyimwa viza.
Shabiki huyo mwenye umri wa miaka 53 alijitokeza hadharani kwa...
Kwa mujibu wa Tamko la Rais Na. 10998, kuanzia tarehe 1 Januari 2026, Marekani imesitisha utoaji wa Viza za kutembelea zisizo za uhamiaji zilizo katika Makundi B-1/B-2, Viza za wanafunzi na programu za mabadilishano zilizo katika Makundi F, M, na J, pamoja na Viza zote za uhamiaji, kwa raia wa...
Somalia na Tanzania wamesaini makubaliano ya uhamiaji yanayoruhusu raia wa nchi hizo mbili kuingia nchini bila ya viza na pia kupata viza wanapowasili, hatua inayotarajiwa kuimarisha biashara, utalii, na masuala ya elimu.
Makubaliano hayo yalitiwa saini na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Somalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.