tetesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tetesi:, Rais Dr samia wetu,na Dr.Nchimbi,wapo pamoja na wanawasiliana kwa jina la kaka na dada kila siku.

    Ndiyo habari iliyopo,wanawasiliana kama ndugu kila uchwao, kwa kuitana ""kaka na dada""kazi mnayo nyie vizabina zabina,mnaopenda biff. ""INAITWA CHENGA YA MWILI""
  2. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuhusu makamu wa rais mfukuzwa Nchimbi hayupo Tanzania

    Tetesi nilizodaka toka kwenye vyombo vya usalama ni kwama Nchimbi hayupo Tanzania. Ametoweka kuogopa kutekwa Wanangu chimbeni na kufuatilia hili ili tuivue nguo CCM.
  3. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kilicho nyuma ya kujiuzulu kwa Nchimbi: Tetesi, ‘Yuda’, Katiba na mapambano ya ndani ya CCM

    Hatimaye, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi, amejiuzulu wadhifa wake baada ya miezi ya tetesi, mijadala ya kisiasa na mashambulizi yaliyokuwa yakimlenga ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Taarifa ya kujiuzulu kwake imetumwa kwenye akaunti zake za X...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa ajili ya tetesi mpya za One UI 9.5.

    Habari za wakati huu wana JF, huu ni uzi mahususi kwa ajili ya kujuzana tetesi mpya za One UI 9.5 kwa kadri zinavyozidi kuvuja na kusambaa. Ni takriban miezi mitatu sasa tangu Samsung walipoachia One UI 9.0 beta katika series za S26 katika baadhi ya maeneo. Hata hivyo tukiwa tupo karibu kupata...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna mpango wenye nia ovu kukwamisha michango ya CHADEMA kwa kigezo cha fedha haramu na utakatishaji fedha

    Kuna tetezi zimegaa mitaani kuwa serikali ya CCM inataka kuanza kufanya figisu. Figisu zenyewe ni kutaka kuifuatlia michango ya Cdm ambayo mpaka sasa imefikia Tsh 90 mil+ Wanataka kuleta zengwe kuwa michango hiyo ni fedha haramu na kuna utakatishaji fedha ambao utatumika kufanya uharamia.
  6. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Tetesi. Mgpmo wa madwreva wa malori kesho.

    Kutakuwa na mgomo wa madereva wa malori yanayosafirisha mizigo kesho. Nimepakia mzigo wangu kwenye lori ila nimepewa angalizo, kwamba kesho hawatashusha sababu kutakuwa na mgomo. Labda kama watafika kabla ya saa 12 ahsubuhi ndio naweza kushusha. Nimeongea na m1 wa madereva ambao huwa namtumia...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wamarekani Wanamuandaa Na Kumtaka Michelle Obama Kuwania Urais 2028. Japo Yeye Anakataa Kuridhia Ombi Hilo La Wamarekani.

    Ndugu zangu Watanzania, Chama cha Democratic Baada ya Kupoteza katika Uchaguzi Uliopita kumeibuka tetesi na minong'ono mingi sana ya chama cha Democratic Kumuadaa Michelle Obama Mke wa Barack Hussein Obama Rais wa 44 wa Marekani Tangia kupata uhuru wa Taifa hilo Mwaka 1776 . Uamuzi unaoonekana...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Zipo tetesi baadhi ya viongozi wapo kama wamepigwa ganzi wanasubiri teuzi, tutawatoa

    "Mheshimiwa Spika, zipo tetesi katika baadhi ya maeneo kwamba viongozi wapo kama wamepigwa ganzi. Wanasubiri nini PDF, mkeka, teuzi. Haya ni mambo ya ajabu. Mambo ya ajabu. Kuwa ofisini na kusubiri teuzi ni mambo ya ajabu. Haya haya ni mambo ya ajabu ajabu tu. Niendelee kuwaelekeza; mmepewa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nawaonea huruma mnaoenda kuandamana, kuna tetesi ya vipenyo wenye bunduki na mabomu ya mkono kuwadhuru waandamanaji bila lawama

    Sio vitisho ila mambo yanaweza kuwa hivyo Itaonekana kwamba waandamanaji wamelipua biashara za watu na wao kwa wao wameuana na kujeruhiana.
  10. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tetesi: JasusiTV: Hatimaye yamekuwa. Hoja ya kum - impeach VP Dr Emmanuel Nchimbi yaweza kusomwa wakati wowote katika bunge hili la bajeti!

    https://youtu.be/ZY0-McsJUgM?si=BKQSHy6agElfKKdu Eti na mwisho wake uwe hivi👉🏻: Kwamba, Albert Bashite Malyangili a.k.a Paul Makonda ndiye achukue nafasi ya Dr Emmanuel Nchimbi - awe Makamu wa Rais🤔🤔 Acha ncheke 😁😁na kusikitika miye.. ======================= Ni patamu hasa. Ni mpambano mkali...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi za kuachwa loemba na siasa za Mo

    Baada ya usajili wa dirisha dogo miongoni mwa watu waliosifiwa ni Jayrutu hasa kwa kumsajili Inno Loemba. Sifa hizi zilimfanya hadi mwenyekiti wa bodi ya Simba Magori kutoka na kuongea na waandishi wa habari, kuwaambia yule mchezaji kasajiliwa na Simba. Wakati huo tajiri anayependa kususa timu...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi za ndani kabisa Beki kisiki Bakari Mwamnyeto atakuwa uwanjani leo akiiongoza Yanga dhidi ya JKT kwenye

    Hizo ni taarifa za ndani kabisa
  13. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali itoe ufafanizi kuhusu tetesi za mfumo wa uhamiaji KuCollapse maana kuna baadhi ya viashiria vipo

    Moja kwa moja. Juzi niliona Uzi wa member wa Jf ambaye amelelemika kuwa wiki nzima anarudishwa uhamiaji wakati wa kufuatilia passport anaambiwa kuwa Kuna Virus kwenye mfumo na data hazipo , kaambiwa atulie . Na Mimi mwenyewe ndugu zangu zaidi ya wawili wanasubiri Visa ya kwenda nchi Fulani...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili Ligi Kuu msimu wa 2026/27

    1. Vilabu vya Yanga na Azam vinawania saini ya Ramadhani Chobwedo kutoka TRA United 2. Buba Jmameh ataachwa na Yanga mwishoni mwa msimu huu ( Done deal) 3. Kelvin Nashon anatakiwa na Simba SC. ( Done deal) 4. Mohamed Bajaber ataachwa na Simba SC mwishoni mwa msimu ( Done deal) 5. Ladack Chasambi...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Msaliti wa ndani na mhafidhina anayeungwa mkono na Marekani ameshaidhinishwa anasubiri kukabidhiwa madaraka kuongoza serikali

    Wadau hizo ni tetesi kwa mujibu wa vyanzo kadhaa tuvute subira tuone hatima. Mhusika ni mhafidhina mkubwa aliyeamua kubadili gia angani baada ya kuona fursa Mchakato umesalia mdogo kabla ya hitimisho ambalo ni kumkabidhi serikali.
  16. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Msemaji mkuu wa kijeshi wa M23 aua na jeshi la serikali ya DRC

    Taarifa zinazotoka Kivu kaskazini,zinasema msemaji mkuu wa jeshi la M23 ameuawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani. Inasemekana pia shambulio hilo,limemjeruhi kiongozi wa kundi hilo Gen Sultani Makenga. Wakati huo,baada ya raisi wa Angola kutoka kwenye uongozi wa African Union, ametuma...
  17. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Amkeni, mnachezewa akili tetesi za tukio la kamanda katili kuchukuliwa na makamanda wa kulipiza kisasi

    Hili tukio la yule jamaa katili sana kutekwa na wabeba mawe kwenye mabegi ni la kulichukulia kwa tahadhari na akili kubwa. Huenda la kweli au uzushi. Wanaosambaza uvumi huu wote hawaweki ushahidi bali wanasema tuwaamini. Kila anayesambaza anaanza au kumalizia maelezo yake kwa furaha kwa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kimenuka! mtawala wa Emirati alishwa sumu, tetesi kaaga!

    Amepachikwa jina la utani: "Shetani wa Waarabu", kutokana na uovu wake alioueneza nchi zote za Kiarabu. Mohammed bin Zayed, anapumulia mashine, na taarifa nyingine zinasema "kisha kitoa". Ulimwengu mzima wa Kiarabu uko katika shamra shamra za kufurahia, hata kama haijathibitishwa rasmi kifo...
  19. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania TETESI: Mkuu wa BLACKWATER, Erik D. Prince ajikuta mikononi mwa makomando wa M23

    Taarifa ambazo hazikudhibitishwa na serikali ya DRC au kundi la M23, zimedai kwamba mnamo tarehe 5 February, 2026, bwana Erik D. Prince, mwenye kampuni ya mamluki nchini Marekani, alikamatwa na kundi la M23 huko Kivu kusini. Prince aliwasili nchini DRC akitokea nchi jirani ya Burundi...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Siri zimevuja kuna wimbi la account fake mpya za wanafunzi wa chuo mitaondoni lazima tujiulize hivi kweli tumefika hapa sisi ?

    :
Back
Top Bottom