Jeshi la Majini la China hivi karibuni lilipata mafaniko katika jaribio la kombora jipya la kimkakati lililorushwa chini ya maji katika Bahari ya Pasifiki. Hii ni hatua nyingine muhimu katika maendeleo ya nguvu ya nyuklia ya kimkakati ya China, kufuatia jaribio la kombora la kuvuka bara...
Wanaukumbi.
Qatar — imetatua tatizo la mwisho: $12 bilioni katika mali za Iran zilizogandishwa. Mkataba huo unahamia kwa sababu ya Doha.
🇮🇷 Iran — inapata mabilioni ya pesa zilizogandishwa, vikwazo vya mafuta vimeondolewa, ada za Hormuz zimerejeshwa. Bei: makubaliano ya nyuklia ya siku zijazo...
Baada ya Ukraine kuwashambulia URUSI kwa drones na kwenda kupiga kwenye Shule ya Watoto wa Primary usiku wa kuamkia Jana, leo Rais Putin kaidhinisha vikosi vyote vya Nyuklia kuanza mazoezi na kujiandaa kumshambulia Adui yao atakayeivamia nchi yao lakini haijawekwa wazi Adui huyo ni nani...
Tanzania inaendeleza nishati ya nyuklia kama sehemu ya mkakati wake wa muda mrefu wa kubadilisha vyanzo vya nishati na kuunga mkono ukuaji endelevu wa uchumi. Ili kuongoza juhudi hizi, tumeandaa mpango kabambe wa kitaifa wa maendeleo ya nishati ya nyuklia ili kuongeza uwezo wa megawati 1,200 za...
Kama kuna jambo moja kubwa tulilojifunza kutoka vita ya Iran, vita ya Ukraine na kutekwa kwa Maduro, basi somo hilo ni, njia pekee ya kujihakikishia usalama kama nchi ni kumiliki silaha za nyuklia.
Ni ukweli uliobayana kuwa kama huna mabomu ya nyuklia, pamoja na teknolojia ya kuweza kuyarusha...
Kutokana na hali inayoendelea ya hawa Makafir kujipigia kila sehemu watakayo ndani ya Iran na ndege zao kuranda randa nchini.
Je mheshimiwa Spika. Huu si wakati mzuri sasa wa kuanza kutumia mabomu ya Nyuklia ambayo tumekuwa nayo mengi sana yanayoweza teketeza dunia nzima na akhera?
Lakini je...
My people,
Kwanza nianze kwa kusema Mimi ni shabiki namba moja hapa Afrika Mashariki wa Islamic Republic of Iran,na nina sababu za kufanya hivyo.
Ni Taifa ambalo limekuwa likiangaliwa katika mlengo hasi siku zote,shutuma za kuhatarisha amani Mashariki ya kati wao,shutuma kwamba ni wafadhili wa...
Kama Meli kubwa la Kimarekani USS Gerald R. Ford (CVN -78) badala ya Disel ai Petroli linatumia Nyuklia kama mafuta na linauwezo wa kukaa baharini miaka 20 hadi 25 bila kukuishiwa power.
Sisi tunajivunia rasilimali hii adhimu ya Uranium.
Na shauri sasa ni wakati wanasayansi wetu wa COET, DIT...
''Iran imelipa gharama kubwa kwenye programu ya amani ya nyuklia na urutubishaji wa uranium.-Abbas Araghchi
- Kwanini tunasisitiza sana kwenye urutubishaji wa uranium na hatuna mpango wa kuachana na programu hii hata kama vita vikiletwa kwetu ?Ni kwasababu hakuna nchi ambayo inaweza kuamuru...
Afisa mwandamizi wa Ofisi ya Waziri Mkuu ya Japan hivi karibuni alisema hadharani kwamba, kutokana na mazingira magumu ya usalama yanayoizunguka Japani, nchi hiyo inapaswa kumiliki silaha za nyuklia. Baada ya hapo, Waziri wa Ulinzi wa Japan Shinjiro Koizumi alisema hakuna chaguo linaloweza...
Wakati mwingine tushukuru kwa kila jambo. Waafrica huwa tunalia sana kwa nini hatuna nguvu duniani na kutamani na sisi tungetawala dunia.
Ila embu waza aina ya viongozi tunaowapata karibu nchi zetu nyingi. Ukimaliza, waza hawa viongozi wangekuwa na access ya silaha za nyuklia. Kwamba nchi...
Wapalestina kadhaa waliohojiwa na gazeti la Jerusalem post,wamesema wamechoka na mateso na wamekata tamaa na hawana imani na yeyote.
Baadhi yao walipohojiwa wamesema wameshahama mara nyingi kote Gaza kufuata maeneo waliyoambiwa ni salama lakini kila wanapofika maafa ni yale yale.
Mmoja wao...
Mvutano kati ya Iran na mataifa matatu ya Ulaya — Ufaransa, Ujerumani na Uingereza maarufu kama E3 — umeongezeka baada ya mataifa hayo kutishia kurejesha vikwazo vyote vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran. Mataifa hayo ya E3 yametoa masharti matatu kwa Iran:
Kuanza tena mazungumzo na Marekani...
Wataalamu wa Shirika la Ujasusi la Kijeshi la Ukraine (HUR) wamefanikiwa kuvunja ulinzi wa Jeshi la Majini la Urusi na kupata nyaraka za ndani zinazohusu manowari mpya ya daraja la Project 955A Borei, Knyaz Pozharsky, iliyowekwa rasmi kwenye huduma chini ya wiki mbili zilizopita.
Kwa mujibu wa...
Trump ameitishia urusi kwa kuamuru nyambizi zenye mabomu ya nyuklia zisogee karibu na urusi! Hilo ni tishio kubwa kuliko yote LA kutumia silaha za nyuklia. Putin amepuuza na kuamua kukaa kimya maana anajua kuwa Trump hana jeuri hiyo wala hana kichaa hicho!!
Huwezi kuitetea nchi yako kwa kutumia...
Rais wa Marekani Donald Trump anasema ameamuru manowari mbili za nyuklia "kuwekwa katika maeneo yanayofaa" kujibu matamshi "ya uchochezi" ya Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev.
Trump alisema alitenda hilo "ikiwa tu kauli hizi za kipumbavu na za uchochezi ni zaidi ya hayo. Maneno ni muhimu...
Hii ni baada ya kurushiana maneno na Medved, Trump anasema maneno ya kijinga ya vitisho vya nuclear yaliyotolewa na Medvedev sio ya kuchukuliwa kwa wepesi.
Abbas Araqchi, akimjibu Donald Trump, alisema, "Ikiwa uchokozi huo utarudiwa, bila shaka tutajibu kwa uamuzi zaidi. Jibu ambalo halitawezekana tena kufichwa."
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aliandika kwenye mtandao wa kijamii wa X: "Mashambulizi haramu ya hivi majuzi ya vituo vya nyuklia vya...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Kazem Gharibabadi, amesema kuwa, ujumbe wa masuala ya kiufundi kutoka Shirika la Nishati ya Atomiki (IAEA) hivi karibuni watazuru Tehran, lakini hawataruhusiwa kutembelea vituo vya nyuklia vya Iran.
Bw. Gharibabadi, ambaye yuko New York, alisema kuwa Iran...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.